”MV Ruhuhu yasababisha watu kufa maji”
Na Albano Midelo WATU wanaendelea kupoteza maisha katika mto Ruhuhu kutokana na kuvuka mto huo kwa mtumbwi baada ya kivuko cha MV Ruhuhu pichani juu kushindwa kufanyakazi karibu msimu mzima wa mwaka. Kutofanyakazi kwa kivuko cha Ruhuhu kinachounganisha wilaya za Nyasa mkoani Ruvuma na Ludewa mkoani Njombe kunasababisha vifo vya watu wanaoamua kuvuka mto Ruhuhu kwa kutumia mitumbwi. Wiki hii watu wanne wamepoteza maisha wakati wanajaribu kuvuka mto Ruhuhu kwa kutumia mtumbwi,kasi ya maji ya...
KwanzaJamii
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM18 Feb
Magugu maji yasababisha kukwama kwa safari za majini ziwa victoria
Mimea ya magugu maji aina ya matende imetanda katika eneo la Kigongo wilayani Misungwi mkoani Mwanza kiasi cha kutatiza shughuli za usafiri na usafirishaji katika kivuko hicho ambacho ni kiungo muhimu cha usafiri kati ya mikoa ya Kanda ya Ziwa pamoja na nchi jirani.
Kutanda kwa mimea hiyo katika eneo lenye ukubwa wa takribani hekari 4 kulisababisha vivuko vya Mv Misungwi na Mv Sengerema kushindwa kutoa huduma ya usafiri na usafirishaji kwa takriban siku tatu mfululizo baada ya kukosa eneo...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-FQZcl15_6qo/XmO2M_KR7zI/AAAAAAALhu0/YVqcU7pEUKIEkB1kV4dBaZb71w4TR-cgQCLcBGAsYHQ/s72-c/PIX-01-1-768x432.jpg)
MVUA YASABABISHA VIFO VYA WATU WAWILI MOROGORO
![](https://1.bp.blogspot.com/-FQZcl15_6qo/XmO2M_KR7zI/AAAAAAALhu0/YVqcU7pEUKIEkB1kV4dBaZb71w4TR-cgQCLcBGAsYHQ/s640/PIX-01-1-768x432.jpg)
NA FARIDA SAIDY MOROGORO
Mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo Mbalimbali Mkoani Morogoro zimesababisha Vifo vya watu wawili jana March 6 majira ya saa moja usiku katika Mtaa wa Kihimbwa Kata ya Boma Manispaa ya Morogoro.
Afisa Mtendaji wa Kata hiyo Bw Antopas Ally amezungumza hayo na waandishi wa habari mara baada ya kufika Eneo husika na kusema kuwa waliokumbwa na maafa hayo ni mwanaume na mwanamke ambao walikuwa wanapata vinywaji katika duka moja lililopo karibu na daraja mtaani...
9 years ago
Global Publishers02 Jan
Gilla anusurika kufa maji
Gilla akiogelea
…akiokolewa baada ya kuzidiwa na maji.
…akipatiwa huduma ya kwanza
Stori:Mayasa Mariwata
MSANII wa filamu Bongo, Glasnost Kalinga ‘Gilla’ amejikuta akinusurika kifo wakati alipokuwa akiogelea kwenye ufukwe wa Coco jijini Dar baada ya maji kumzidi kiwango na kuokolewa na wasamaria wema juzi Alhamisi wakati watu wakiwa katika harakati za kuusubiria Mwaka Mpya.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, awali msanii huyo ambaye alifika mahali hapo mida ya jioni aliamua kutulia kwenye viti...
10 years ago
Habarileo12 Jan
7 wahofiwa kufa maji Kigoma
WATU saba wanahofiwa kufa maji na wengine 49 wameokolewa kutokana baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kukumbwa na dhoruba katika eneo la vijiji vya mwambao wa kusini wa Ziwa Tanganyika.
9 years ago
BBCSwahili28 Aug
Mamia wahofiwa kufa maji Libya
11 years ago
Tanzania Daima01 Apr
Wakulima saba wahofiwa kufa maji
WAKULIMA saba wanahofiwa kufa maji baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kutoka Utete kuelekea Mkongo kupigwa wimbi na kugonga boti kisha kupinduka. Ajali hiyo ilitokea juzi saa 11 jioni katika Kivuko...
10 years ago
BBCSwahili19 Apr
Mamia ya wahamiaji wahofiwa kufa maji
11 years ago
Habarileo11 Jan
SMZ yahofia 13 kufa maji ajali mv Kilimanjaro
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imeunda Tume kuchunguza ajali ya boti ya Kilimanjaro II iliyotokea mwishoni mwa wiki iliyopita katika mkondo wa Nungwi ambapo hadi sasa watu 13 hawajulikani walipo wakihofiwa kufa maji.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
WATU 200 WANUSURIKA KUFA