ARUMERU YAIMARISHA HUDUMA ZA AFYA
![](https://1.bp.blogspot.com/-1YjfflTvJAI/Xmj0WjXi1pI/AAAAAAALios/dNT_cZy3IGQ1-r6wa0aEjOvufTBN2HO7wCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200311-WA0259.jpg)
Na Woinde Shizza ,ARUMERU
Kanisa la Pentecoste Ngulelo linaloongozwa na Mwalimu Onesmo Nnko limekabidhi vifaa vya afya vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 9 kwa Mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro ikiwa ni sehemu ya kuimarisha mahusiano baina ya kanisa na Serikali.
Akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa hivyo ambavyo vimetolewa kutokona na sadaka za waumini wa kanisa la Pentecoste Arusha Jana , kiongozi wa kanisa hilo mwalimu Onesmo Nnko amesema wao kama kanisa wana kila sababu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo06 Jan
SMZ yaimarisha huduma za maji
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itaendelea kuimarisha huduma za maji safi na salama kwa lengo la kuhakikisha maendeleo yanawafikia wananchi wote.
10 years ago
Tanzania Daima08 Dec
TICTS yaimarisha huduma zao
MENEJA wa Operesheni katika kitengo kinachoshughulikia upakuaji na upakiaji wa makontena bandarini (TICTS), Donald Talawa amesema majukumu ya kitengo hicho yameimarika zaidi baada ya kupata vifaa vya kisasa vyenye thamani...
10 years ago
MichuziAIRTEL YAZINDUA MNARA WA HUDUMA ZA MAWASILIANO ARUMERU WILAYANI ARUSHA
10 years ago
GPLAIRTEL YAZINDUA MNARA WA HUDUMA ZA MAWASILIANO ARUMERU WILAYANI ARUSHA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uX0ODFdMLaf5Mvqu5oYa-Sld-Ljmi-Uc4UfmSD1ExIvJIrezxUZAoyrZ5cY1sMF2pzygAsErWx7GxnS2BNbIZ4nSg1xXJPvl/1.jpg?width=650)
9 years ago
StarTV22 Dec
Sera Ya Afya Kutotungiwa Sheria yasababisha  Wazee nchini wakosa huduma bora za afya
Kukosekana kwa huduma bora katika sekta ya afya inayowatambua wazee kupata matibabu bora na bure kunatokana na sera ya wazee kutotungiwa sheria tangu mwaka 2003 inayotoa muongozo kwa watendaji wa Serikali na taasisi mbalimbali kuwahudumia.
Licha ya sera hiyo kutoa mwongozo kwa kila zahanati, kituo cha afya na hospitali za wilaya na mkoa kuwa na chumba maalumu kwa ajili ya matibabu ya wazee ikiwemo daktari anayetambua magonjwa yao lakini bado sera hiyo haitekelezwi.
Naibu Mkurugenzi wa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-GGXZFf3Giq8/XptGuv9aQLI/AAAAAAALnXA/EqiS8UiTTEIzUhwbAZb9QxdIqmKPhYDCgCLcBGAsYHQ/s72-c/001.jpg)
SERIKALI YAZINDUA MUONGOZO WA MPANGO HUDUMA ZA AFYA KATIKA JAMII PAMOJA NA MATUMIZI YA DASHBODI YA VIASHIRIA YA AFYA
![](https://1.bp.blogspot.com/-GGXZFf3Giq8/XptGuv9aQLI/AAAAAAALnXA/EqiS8UiTTEIzUhwbAZb9QxdIqmKPhYDCgCLcBGAsYHQ/s640/001.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/04/002.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/04/003.jpg)
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto, Ummy...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-04fbZ0-S2PA/XkhHo-Ls2AI/AAAAAAALdiA/IVFY1Xm1NOo44phvfcJ42Er9lwRgD5lkQCLcBGAsYHQ/s72-c/8cfa2e7c-076b-41d4-b5df-fe242873b892.jpg)
WANAFUNZI SHULE YA SEKONDARI KITEFU WILAYANI ARUMERU WAPEWA ELIMU YA AFYA YA UZAZI
Na Jusline Marco-Arusha
Zaidi ya wanafunzi 200 walio katika shule ya sekondari Kitefu Wilayani Arumeru wamepatiwa elimu ya afya ya uzazi itakayo wasaidie kuepuka mimba za utotoni na kuwezesha kufikia malengo yao kielimu.
Elimu hiyo ambayo imetolewa na shirika la Center for women and Girls Empowerment kutoka Mkoani Arusha ni kutokana na kuwepo kwa idadi kubwa ya wanafunzi wanaopata mimba za utotoni kutokana kutopata elimu ambayo itamuwezesha kujikinga na mimba za utotoni.
Akizungumza katika...
10 years ago
Dewji Blog04 Sep
Ukosefu wa huduma za afya za kisasa na uhakika zadaiwa kuwa sababu kubwa ya watanzania kufuata huduma hiyo nje ya nchi
. Ukosefu wa huduma za afya za uhakika na za kisasa zinadaiwa kuwa sababu kubwa ya watanzania wengi kufuata huduma hizo nchi za nje.
Hospitali ya Apollo ilikuwa moja ya hospitali za mwanzo kabisa katika bara la Asia, na duniani kwa ujumla kuleta huduma zote za kiafya chini ya paa moja. Na kwa wakati huu, mpango huo kabambe umeifanya hospitali hiyo kufanikiwa katika Nyanja zote za matibabu.
Dr. Prathap C Reddy, muasisi wa huduma za kiafya za kisasa nchini india, alianzisha hospitali ya...