Huduma za umeme, maji, mafuta zalalamikiwa.
Na Blaya Moses,
Dodoma.
Huduma za umeme, maji safi na usafi wa mazingira na bei ya mafuta nchini zimeongoza kwa kulalamikiwa na wananchi katika baraza la ushauri la watumiaji wa huduma zinazodhibitiwa na EWURA kutokana na kuonekana kutokidhi mahitaji ya watumiaji.
Mamlaka zinazohusika na huduma hizo zimeshauriwa kutoa taarifa za matatizo yanayojitokeza mapema ili kuepusha usumbufu kwa watumiaji watumiaji nao wakitakiwa kuwasilisha malalamiko yao katika baraza hilo.
Hayo yamebainika mjini...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi12 Sep
‘Huduma za maji, umeme zimekua’
10 years ago
VijimamboMamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta (Ewura), imepunguza bei za mafuta kote nchini
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-pDH-jnHz_Ho/VQr53u2qXqI/AAAAAAAHLj0/O0GXxSgut8U/s72-c/Picha%2Bna%2B4.jpg)
MAADHIMISHO WIKI YA MAJI , MPIJI MAGOHE WATOA ARDHI BILA FIDIA KUPATA UMEME WA UHAKIKIA KWENYE CHANZO CHA MAJI
![](http://2.bp.blogspot.com/-pDH-jnHz_Ho/VQr53u2qXqI/AAAAAAAHLj0/O0GXxSgut8U/s1600/Picha%2Bna%2B4.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-TiIEhYdjVC8/VQr53lHgT7I/AAAAAAAHLjg/fykWROwrNRU/s1600/Picha%2Bna%2B5.jpg)
10 years ago
Dewji Blog20 Mar
Maadhimisho wiki ya maji, Mpiji Magohe watoa ardhi bila fidia kupata umeme wa uhakikia kwenye chanzo cha maji
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Said Meck Sadiki na Mbunge wa Ubungo Mhe. John Mnyika wakifungua maji ya bomba kwenye Zahanati ya Kijiji cha Mpiji Magohe mara baada ya kuzindua mradi wa maji katika kijiji hicho manispaa ya Kinondani jijini Dar es salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Said Meck Sadiki akizindua Tenki la kuhifadhia maji katika kijiji cha Mpiji Magohe, manispaa ya Kinondoni jijini Dar es salaam leo wakati wa mwendelezo wa maadhimisho ya Wiki ya Maji yanayoendelea...
11 years ago
BBCSwahili05 Jul
Bezi za mafuta na umeme zapanda Misri
10 years ago
Habarileo26 Aug
Msolwa kufua umeme wa maji
SHIRIKA la Kanisa Katoliki la Stig Martin Fathers, linajenga mradi wa kufua umeme wa maji katika Kijiji cha Msolwa Kata ya Kisanga wilayani Kilosa, utakaogharimu Sh bilioni 9 hadi utakapokamilika. Rais Jakaya Kikwete aliweka jiwe la msingi la mradi huo wa umeme, juzi.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-gvxRE_HfZpg/VArTulnMtXI/AAAAAAAGfsg/YKgykzTHpy8/s72-c/unnamed%2B(59).jpg)
KAMPUNI YA CORONA(T)LTD NI KINARA WA KUJAZA MAFUTA KUPITIA HUDUMA YA M PESA YA VODACOM
![](http://1.bp.blogspot.com/-gvxRE_HfZpg/VArTulnMtXI/AAAAAAAGfsg/YKgykzTHpy8/s1600/unnamed%2B(59).jpg)
11 years ago
Mwananchi23 Jan
Umeme bei juu, huduma zilezile
11 years ago
Habarileo26 Jul
900 wafaidika na huduma za umeme Mufindi
ZAIDI ya wateja 900 wa vijiji 14 vya kata za Ihanu, Luhunga na Mdabulo wilayani Mufindi mkoani Iringa wamepata umeme, ikiwa ni mwaka mmoja na nusu tangu mradi wa umeme wa Mwenga ukamilike.