Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


900 wafaidika na huduma za umeme Mufindi

ZAIDI ya wateja 900 wa vijiji 14 vya kata za Ihanu, Luhunga na Mdabulo wilayani Mufindi mkoani Iringa wamepata umeme, ikiwa ni mwaka mmoja na nusu tangu mradi wa umeme wa Mwenga ukamilike.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WANAFUNZI MKOANI MBEYA WAFAIDIKA NA HUDUMA YA BURE ZA MACHO KUPITIA BRIEN HOLDING VISION

Mratibu wa Mradi wa Macho kwa shule za msingi kupitia mradi wa afya ya macho kwa mtoto unaofadhiliwa na benki ya Standard Chartered (Seeing is Believing) kutoka shirika lisilo la kiserikali la Brien Holden Vision Institute Violeth Shirima (kushoto) akimkabidhi msaada wa sanduku la vifaa vya macho vyenye thamani ya shilingi milioni 48 Muuguzi Msaidizi wa Huduma za Macho wa Hospitali ya Wilaya ya Kyela, Monica Francis (kulia) wakati wa hafla iliyofanyika katika hospitali ya mkoa wa Mbeya....

 

10 years ago

GPL

WANAFUNZI MKOANI MBEYA WAFAIDIKA NA HUDUMA YA BURE ZA MACHO KUPITIA BRIEN HOLDING VISION‏


Mratibu wa Mradi wa Macho kwa shule za msingi kupitia mradi wa afya ya macho kwa mtoto unaofadhiliwa na benki ya Standard Chartered (Seeing is Believing)  kutoka shirika lisilo la kiserikali la Brien Holden Vision Institute Violeth Shirima  (kushoto) akimkabidhi msaada wa sanduku la vifaa vya macho  vyenye thamani ya shilingi milioni 48 Muuguzi Msaidizi wa Huduma za Macho wa Hospitali ya  Wilaya ya Kyela, Monica...

 

10 years ago

Michuzi

WANAWAKE MUFINDI WAMWANGUKIA ,MWENYEKITI WA UWT MUFINDI MARCELINA MKINI UBUNGE JIMBO LA MUFINDI KUSINI

Mwenyekiti wa UWT Mufindi na mjumbe wa NEC Taifa Bi Marcelina Mkini akiwapongeza  wanawake kwa kuonyesha kumkubaliMwenyekiti wa UWT wilaya ya Mufindi Bi Marcelina Mkini wa kwanza kushoto akiwa na mkuu wa wilaya ya Mufindi Mboni Mhita na mwenyekiti wa UWT mkoa wa Iringa Bi Zainabu Mwamwindi wakati wa kongamano la wanawake wilayani Mufindi.
 WAKATI joto  la uchaguzi  mkuu likiendelea  kushika kasi ndani ya chama  cha mapinduzi (CCM) kwa  wanachama  wake kujitokeza kutia nia ya kuwania urais...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanawake Mufindi wamwangukia , Mwenyekiti wa UWT Mufindi Marcelina Mkini ubunge jimbo la Mufindi kusini

Mwenyekiti wa UWT Mufindi na mjumbe wa NEC Taifa Bi Marcelina Mkini akiwapongeza  wanawake kwa kuonyesha kumkubali. Mwenyekiti wa UWT wilaya ya Mufindi Bi Marcelina Mkini wa kwanza kushoto akiwa na mkuu wa wilaya ya Mufindi Mboni Mhita na mwenyekiti wa UWT mkoa wa Iringa Bi Zainabu Mwamwindi wakati wa kongamano la wanawake wilayani Mufindi.

Na MatukiodaimaBLOG

WAKATI joto  la uchaguzi  mkuu likiendelea  kushika kasi ndani ya chama  cha mapinduzi (CCM) kwa  wanachama  wake kujitokeza kutia...

 

10 years ago

Michuzi

DC MUFINDI ATEMBELEA MRADI WA YA KUZALISHA UMEME -KIHANSI

Mkuu wa Wilaya ya Mufindi,Mhe. Mboni Mhita (Kushoto) akiwa ameambatana na watendaji wengine amefanya ziara ya kutembelea mradi wa Kihansi unaotoa huduma ya kuzalisha Umeme,Kushoto ni Mhandisi wa Kihansi akitoa maelezo juu ya shughuli za uzalishaji wa Umeme.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Huduma za maji, umeme zimekua’

Wakati huduma za umeme na maji zikilalamikiwa na wananchi kwamba hazijaboreshwa, takwimu zilizotolewa na Serikali zinaeleza kuwa huduma hizo zimekua mara mbili zaidi mwaka huu.

 

10 years ago

StarTV

Huduma za umeme, maji, mafuta zalalamikiwa.

Na Blaya Moses,

Dodoma.

 

Huduma za umeme, maji safi na usafi wa mazingira na bei ya mafuta nchini zimeongoza kwa kulalamikiwa na wananchi katika baraza la ushauri la watumiaji wa huduma zinazodhibitiwa na EWURA kutokana na kuonekana kutokidhi mahitaji ya watumiaji.

Mamlaka zinazohusika na huduma hizo zimeshauriwa kutoa taarifa za matatizo yanayojitokeza mapema ili kuepusha usumbufu kwa watumiaji watumiaji nao wakitakiwa kuwasilisha malalamiko yao katika baraza hilo.

 

Hayo yamebainika mjini...

 

11 years ago

Mwananchi

Umeme bei juu, huduma zilezile

Serikali hivi karibuni ilitangaza kupandisha bei ya umeme baada ya mapendekezo yake kukubaliwa na Mamlaka ya Nishati na Maji (Ewura).

 

9 years ago

StarTV

Muhongo awataka wakurugenzi TANESCO kusimamia Utoaji Huduma Ya Umeme

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo amewataka wakurugenzi wa Shirika la Umeme nchini TANESCO wa Kanda, Mikoa na Wilaya kuhakikisha wanasimamia na kutoa huduma bora za umeme ili kukomesha mgao wa Umeme unaoendelea kwenye baadhi ya maeneo nchini.

Waziri Muhongo amesema changamoto kubwa iliyopo katika shughuli nzima ya utoaji huduma za umeme ni pamoja na kuwepo kwa uhaba wa maji unaosababishwa na shughuli za kibinaadamu kwenye vyanzo vya maji.

Amewataka maafisa hao kutoa elimu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani