Halmashauri zadai NFRA bilioni 1.3/-
WAKALA wa Hifadhi ya Taifa wa Chakula (NFRA) Kanda ya Sumbawanga mkoani Rukwa, inadaiwa na halmashauri mkoani humo zaidi ya Sh bilioni 1.3 zikiwa ni fedha za ushuru kwa mahindi waliyoiuzia wakala huyo kwa msimu huu wa kilimo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo22 Nov
Halmashauri ya Kilwa yaidai TPDC bilioni 3/-
SHIRIKA la Maendeleo la Taifa la Petroli Tanzania (TPDC) limetakiwa kuilipa Halmashauri ya wilaya ya Kilwa mkoani Lindi Sh bilioni tatu kutokana na kutolipa ushuru na fidia mbalimbali kwenye kiwanja wanachokimiliki.
10 years ago
Dewji Blog03 Feb
Mchina aiomba Serikali Bilioni 3 kujenga jengo la Halmashauri Singida
Mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa Singida, Joseph Mchina, akizungumza kwenye kikao maalum cha kupitisha bajeti ya 2015/2016 kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa kanisa la katoliki mjini Singida. Wa pili aliyeketi ni mstahiki meya wa manispaa ya Singida na sheikh wa mkoa wa Singida, Salum Mahami na wa kwanza kushoto ni Makamu meya, Hassan Mkatana wa kwanza kulia ni Katibu tawala wilaya ya Singida.
Na Nathaniel Limu, Singida
HALMASHAURI ya manispaa ya Singida, imetoa maombi maalum...
11 years ago
Dewji Blog23 Apr
Halmashauri Mkoa na Manispaa Singida zadaiwa zaidi shilingi 6.3 bilioni na wakandarasi
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Mizengo Pinda.
Na Nathaniel Limu, Singida
SEKRETARIETI ya Mkoa na Halmashauri za wilaya na manispaa mkoani Singida zinadaiwa na wakandarasi,wazabuni na watumishi wa umma zaidi ya shilingi 6.3 bilioni hadi novemba mwaka jana.
Madeni hayo yameainishwa kwenye taarifa ya madeni ya mkoa wa Singida iliyotolewa mbele ya kikao cha kamati ya ushauri wa mkoa (RCC) kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa chuo cha VETA mjini Singida.
Taarifa hiyo...
10 years ago
StarTV28 Jan
Halmashauri Gairo yaidai Halmashauri Kilosa Sh. Mil. 253
Na Kasilda Mgeni Mulimila,
Morogoro.
Halmashauri ya wilaya Mpya ya Gairo mkoa Morogoro imeiangukia Serikali kuwasaidia kurejeshwa kwa fedha za mapato ya ndani zaidi ya shilingi milioni 250 ambazo zimechukuliwa na halmashauri mama ya wilaya ya Kilosa hali inayofanya Gairo kuonesha upungufu katika makusanyo ya ndani.
Halmashauri ya wilaya ya Kilosa imekuwa ikichukua mapato ya ndani ya halmashauri ya Gairo kupitia wakala wa kukusanya mapato walioingia mkataba na wilaya hiyo ya Kilosa kabla...
10 years ago
Mwananchi14 Nov
NFRA kununua mahindi Gairo
11 years ago
Tanzania Daima28 Aug
NFRA yashindwa kulipa milioni 600
WAKALA wa Akiba ya Chakula wa Taifa (NFRA), ameshindwa kulipa deni la zaidi ya sh. milioni 600 zinazodaiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa kutoka kwenye ushuru wa...
11 years ago
Tanzania Daima29 Oct
NFRA yaombwa kununu tani 55,000
MKOA wa Tanga umeiomba Wakala wa Taifa wa Chakula (NFRA), kununua zaidi ya tani 55,000 za mahindi baada ya kukosa soko. Kauli hilo ilitolewa na Katibu Tawala wa mkoa huo, Salum...
11 years ago
Habarileo02 Aug
NFRA yajipanga kununua mahindi Sumbawanga
WAKALA wa Hifadhi ya Taifa ya Chakula (NFRA) Kanda ya Sumbawanga mkoani Rukwa, wamejipanga kununua mahindi kwa wakulima katika msimu huu wa ununuzi kwa kuzingatia viwango vya ubora.