Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NFRA yashindwa kulipa milioni 600

WAKALA wa Akiba ya Chakula wa Taifa (NFRA), ameshindwa kulipa deni la zaidi ya sh. milioni 600 zinazodaiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa kutoka kwenye ushuru wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ugiriki yashindwa kulipa deni la IMF

Ugiriki imeshindwa kulipa deni la IMF wakati muda uliokuwa umepangwa kulipa deni hilo ukimalizika

 

10 years ago

Habarileo

Milioni 85 kutumika kulipa fidia Ruangwa

Amosi MakalaNAIBU Waziri wa Maji Amosi Makala amewahakikishia wananchi wa kijiji cha Chinongwe wilayani Ruangwa kwamba Wizara ya Maji imesikia kilio chao cha muda mrefu kuhusu fidia katika mradi wa usambazaji wa maji kupitia mradi mkubwa wa Mbwinji na kwamba tayari fedha za fidia hizo zimeshapatikana.

 

10 years ago

Mwananchi

RT yasaka Sh9 milioni kulipa deni la tiketi

Licha ya kuingia kwenye 10 bora ya riadha duniani, Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) linahaha kusaka Dola 5904 (sawa na Sh 9, 446, 400) kulipia deni la tiketi za wanariadha walioiwakilisha nchi kwenye mbio za dunia za nyika.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ugiriki kulipa deni la dola milioni 450

Ugiriki inatarajiwa leo Alhamisi kulipa nusu ya deni lake la dola milioni 450 inayodaiwa na shirika la fedha Duniani IMF.

 

5 years ago

Michuzi

RAIA WAWILI WA INDIA WAHUKUMIWA, KULIPA FAINI YA SH. MILIONI 230


 Wafanyabiashara wawili raia wa India waliohukumiwa leo katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wamehukumiwa  kutumikia kifungo cha nje kwa mwaka mmoja na kulipa faini ya sh. Milioni 230 baada ya kukiri shtaka moja lililokuwa linawakabili la kukutwa na mazao ya misitu (magogo) yenye thamani ya sh. Milioni 505.1 bila ya  kuwa na kibali cha wakala wa Misitu, (TFS).
Baadhi ya Magogo yaliyo kwenye makontena ambayo walikutwa nayo wafanyabiashara wa nchini India.

Na Karama...

 

5 years ago

Michuzi

MWANDISHI ERICK KABENDERA AHUKUMIWA KULIPA SHILINGI MILIONI 273, MAHAKAMA YAMUACHIA HURU

Na Karama Kenyunko Globu ya Jamii

MWANDISHI maarufu wa Habari za uchunguzi Erick Kabendera amehukumiwa kulipa faini na Fidia ya jumla ya sh. Milioni 273 baada ya kukiri makosa ya utakatishaji fedha na kukwepa kodi.
Aidha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu Kabendera kulipa faini ya sh.250,000 ama kutumikia kifungo cha miezi mitatu jela baada ya kukiri kosa la kukwepa kodi huku pia akifutiwa kosa la kuongoza genge la uhalifu.

Hata hivyo mshtakiwa Kabendera ameishalipa Sh. Milioni 100 na...

 

5 years ago

Michuzi

RAIA WA CAMEROON AHUKUMIWA KULIPA FAINI YA SH. MILIONI 100 AMA KWENDA JELA MIAKA MITATU

RAIA wa Cameroon Kohnson Tebo (32) amehukumiwa kulipa faini ya Sh milioni 100 ama kwenda gerezani miaka mitatu baada ya kukiri shtaka moja la kusafirisha fedha bila ya kuzitolea taarifa.
Pia Mahakama imeamuru kutaifishwa kwa USD 84,300 alizokutwa nazo mshtakiwa.
Hukumu hiyo imesomwa na Hakimu Mkazi Mwandamizi, Rashidi Chaungu baada ya mshtakiwa kukiri kosa lake.
Kabla ya kusomwa kwa hukumu hiyo Wakili wa Serikali Mkuu, Shadrack Kimaro aliomba mahakama pamoja na adhabu ya kulipa faini aliomba...

 

10 years ago

Bongo5

Wasanii wa Tanzania watakaotaka kufanya show Mombasa wanatakiwa kulipa Tsh Milioni 4 ili kupewa kibali

Gazeti la The Star la Kenya limeripoti kuwa wasanii kutoka nje ya Mombasa watakaoenda kufanya maonesho mjini humo, watalazimika kulipa kiasi kikubwa cha pesa ili kupewa kibali. Gazeti hilo limemnukuu Gavana wa Mombasa akisema kuwa , wasanii kutoka mikoa mingine nje ya Mombasa ikiwa ni pamoja na wale wa Nairobi , watalazimika kulipa shilingi ya […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani