Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI CHIZA ATEMBELEA SOKO LA MAHINDI NFRA DODOMA

Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika,Mhe. Eng Christopher Chiza (Mb) akijibu kero za wakulima na wafanyabiashara waliopeleka mahindi NFRA Dodoma kwa ajili ya kuyauza,Wakati alipowatembelea jana.
Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika,Mhe. Eng Christopher Chiza akionyesha uchafu uliokuwa kwenye magunia ya mahindi yaliyopelekwa na wakulima na wafanyabiashara NFRA Dodoma kwa ajili ya kuyauza.
Mahindi yaliyonunuliwa na kituo cha NFRA Dodoma yakipangwa nje kitaalamu kwa ajili ya kuhifadhiwa.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Waziri Chiza awahakikishia soko wakulima wa mpunga

>Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher Chiza amewahakikishia wakulima wa mpunga wa bonde la Mto Kilombero na wengine nchini kuwatafutia soko lenye tija ndani na nje ya nchi ili kila mkulima wa zao hilo anufaike na kushawishi wengine.

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA NFRA NA UJENZI WA OFISI YA MKURUGEZI PERAMIHO

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mahindi yaliyohifadhiwa nje ya majengo ya maghala ya  Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula NFRA mjini Songea  akiwa katika ziara ya siku tatu mkoani Ruvuma Januari 4, 2016.  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mahindi yaliyohifadhiwa nje ya majengo ya maghala ya  Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula NFRA mjini Songea  akiwa katika ziara ya siku tatu mkoani Ruvuma Januari 4, 2016.  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mahindi yaliyohifadhiwa nje ya...

 

10 years ago

Mwananchi

NFRA kununua mahindi Gairo

Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) ina mpango wa kununua tani 2,500 za mahindi katika Wilaya ya Gairo.

 

11 years ago

Habarileo

NFRA yajipanga kununua mahindi Sumbawanga

WAKALA wa Hifadhi ya Taifa ya Chakula (NFRA) Kanda ya Sumbawanga mkoani Rukwa, wamejipanga kununua mahindi kwa wakulima katika msimu huu wa ununuzi kwa kuzingatia viwango vya ubora.

 

10 years ago

Mwananchi

NFRA kuuza tani 75,000 mahindi kuepusha kuharibika

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Hifadhi ya Taifa ya Chakula (NFRA), Charles Walwa amesema wakala huyo atauza tani 75,000 za mahindi zilizonunuliwa mwaka jana na kununua tani nyingine 200,000 katika msimu huu.

 

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA ATEMBELEA SOKO LA MIEMBENI MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua bei ya mahindi katika soko la Miembeni mjini Dodoma Machi 8, 2015. Alipita sokoni hapo kukagua upatikanaji wa vyakula.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwapa maelezo kuhusu kilimo cha zabibu Walimu wa Shule za Kata ya Zuzu, Dodoma waliokwenda shambani kwake Machi 8, 2015 kwa ziara ya kujifunza. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATEMBELEA SOKO LA NAFAKA LA KIMATAIFA LA KIBAIGWA, DODOMA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea soko la nafaka la kimataifa la Kibaigwa mkoani Dodoma katika siku ya kwanza ya ziara yake mkoani humo Agosti 28, 2014 , ambapo alijionea shehena kubwa sana ya mahindi iliyoletwa kutoka mashambani na kusafirishwa kila pembe ya nchi. Mwaka huu, kama ilivyokuwa mwaka jana, mavuno ya mahindi yamekuwa makubwa kiasi hata cha kupatikana kwa mavuno ya ziada yanayolemea maghala yaliyopo, ikiwa ni muendelezo wa mafanikio ya sera ya kilimo kwanza ambayo...

 

10 years ago

Mwananchi

Tani 7,400 za mahindi zakosa soko

Zaidi ya tani 7,400 za zao la mahindi zilizozalishwa na wakulima wadogo wa kata za Galapo na Qash wilayani Babati mkoani Manyara zimekosa soko na kurundikwa katika Soko la Galapo, eneo ambalo zinaweza kuharibika wakati wowote.

 

9 years ago

Dewji Blog

Majaliwa atembelea NFRA na ujenzi wa ofisi ya Mkurugenzi Peramiho

IMGS7705

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Peramiho akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Januari 4, 2015.   (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGS7592

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mahindi yaliyohifadhiwa nje ya majengo ya maghala ya  Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula NFRA mjini Songea akiwa katika ziara ya siku tatu mkoani Ruvuma Januari 4, 2016.

IMGS7613

IMGS7628

IMGS7659

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akivalishwa vazi la jadi la Wangoni baada ya kuwasili kwenye   kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani