Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Bilal ahimiza wanawake vijijini kutumia huduma za afya

MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal amewataka akinamama Zanzibar kujitokeza kwa wingi kuzitumia huduma za afya zilizopo vijijini kwa ajili ya kupunguza vifo vinavyotokana uzazi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MUSOMA VIJIJINI HUDUMA ZA AFYA, MAJI SAFI, ELIMU NI TATIZO KUBWA

Musoma Vijijini ni moja kati ya wilaya sita zinazounda Mkoa wa Mara. Upande wa Kaskazini, inapakana na Tarime na Musoma Mjini, Upande wa Mashariki, kuna Wilaya ya Sengerema, Kusini kuna Wilaya ya Bunda na Magharibi inapakana na Ziwa Victoria. Mheshimiwa Nimrod Mkono. Pia Musoma Vijijini ni jimbo la uchaguzi linaloongozwa na Mheshimiwa Nimrod Mkono kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM). Wiki iliyopita, Uwazi lilifunga safari...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Plan kutumia mil. 161/- kuboresha huduma ya afya

SHIRIKA lisilo la kiserikali la Plan Ifakara linakusudia kutumia sh milioni 161 katika mwaka wa fedha 2013/2014 ili kuboresha huduma za afya katika kata saba wilayani Kilombero. Akizungumza katika kikao...

 

9 years ago

Dewji Blog

Taasisi,Mashirika na Makampuni yaaswa kutumia sehemu ya faida wanayopata kusaidia Huduma za AFYA

image Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam(CBE) Prof.Emanuel Mjema(kushoto) akizungumza na viongozi  na baadhi ya watumishi wa Hospitali ya wilaya ya Kisarawe leo  kabla ya kukabidhi msaada wa  shuka 176 kusaidia wodi ya Wazazi ya hospitali hiyo.

Aron Msigwa -MAELEZO. [Kisarawe, PWANI]. Wito umetolewa kwa Taasisi, mashirika na makampuni kote nchini kujenga utamaduni  wa kutumia sehemu ya faida wanayoipata katika kuisaidia jamii kupitia sekta ya afya ambayo inakabiliwa na changamoto...

 

9 years ago

Michuzi

TAASISI, MASHIRIKA NA MAKAMPUNI YAASWA KUTUMIA SEHEMU YA FAIDA WANAYOPATA KUSAIDIA HUDUMA ZA AFYA.

  Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam(CBE) Prof.Emanuel Mjema(kushoto) akizungumza na viongozi  na baadhi ya watumishi wa Hospitali ya wilaya ya Kisarawe leo  kabla ya kukabidhi msaada wa  shuka 176 kusaidia wodi ya Wazazi ya hospitali hiyo. Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam(CBE) Prof.Emanuel Mjema(kushoto) akikabidhi msaada wa shuka 176 kwa Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Kisarawe Dkt.Martin Msokela (kulia) leo. Mashuka hayo yametolewa na chuo...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA 14 WA WATAALAM WA HUDUMA ZA HABARI NA MAKTABA ZA AFYA AFRIKA (AHILA) JIJINI DAR

Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akifungua mkutano wa 14 wa Chama cha Wanataaluma wa Habari za Afya Afrika (AHILA) .
Rais wa wa Chama cha Wanataaluma wa Habari za Afya Afrika (AHILA), Nasra Gathoni akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa 14 wa Chama cha Wanataaluma wa Habari za Afya Afrika (AHILA) unaoendelea katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. 
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akimkabidhi cheti mwanachama wa Chama cha Wanataaluma wa Habari za Afya Afrika...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA 14 WA WATAALAM WA HUDUMA ZA HABARI NA MAKTABA ZA AFYA AFRIKA (AHILA) JIJINI DAR ES SALAAM


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati akifungua rasmi Mkutano wa 14 wa Wataalam wa Huduma za Habari na Maktaba za Afya Afrika (AHILA) uliofanyika kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 20, 2014.Baadhi ya wadau wa mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akiwahutubia alipokuwa akifungua rasmi Mkutano wa 14 wa Wataalam wa Huduma za Habari na Maktaba za Afya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wanawake wajawazito Manyoni wanapoteza maisha kwa kufuata Huduma za Afya umbali wa zaidi ya KM 30 hadi 40

SAM_0161

Mmoja wa watoto waliofika katika ofisi za Kijiji cha Maweni kwa ajili ya kuhudhuria Kliniki tembezi kutoka katika Hospitali ya misheni ya Kilimatinde,wilayani Manyoni akipimwa uzito na wahudumu wa afya wa Hospitali hiyo.

SAM_0159

Watoto wakisalimiana wakati wakisubiri kupatiwa huduma za chanjo kutoka kwa wataalamu wa afya kutoka katika Hospitali ya misheni ya Kilimatinde,wilayani Manyoni.

SAM_0153

Jengo la zahanati inayojengwa kwa nguvu za wananchi ambayo itakapokamilika inatarajia kutumia zaidi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani