Dk. Bilal ahimiza vijana wabunifu kujiajiri
Makamu wa Rais Dokta Mohamed Gharib Bilal amewataka vijana kutumia kazi za ubunifu kama sehemu ya kujiongezea ajira na kuchangia zaidi kwenye pato la taifa kwa kutumia nguvu walizonazo.
Amesema, kwa wakati huu ambapo sekta ya ajira inakabiliwa na changamoto nyingi, hususan nafasi chache kwenye ajira rasmi, vijana hawana budi kuzingatia elimu ya ubunifu ili kukidhi upungufu uliopo.
Makamu wa Rais, Dkt. Bilal ameyasema hayo Jijini Dar es salaam wakati wa uzinduzi wa huduma ya kurudisha taarifa...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
Vijana Dar watakiwa kujiamini, kuwa wabunifu na kujiajiri
10 years ago
Habarileo16 Nov
Profesa ahimiza wahitimu kujiajiri
WATANZANIA wametakiwa kuondoa dhana potofu ya kupata elimu na kukaa maofisini tu, badala yake watumie elimu kunufaisha jamii inayowazunguka na kutatua tatizo la ajira nchini.
10 years ago
Dewji Blog10 Sep
Mhe.Eng.Hamad Masauni afungua mafunzo ya vijana wa TUEPO kuwajengea uwezo vijana kujiajiri wenyewe
10 years ago
VijimamboMHE. ENG.HAMAD MASAUNI AFUNGUA MAFUNZO YA VIJANA WA TUEPO KUWAJENGEA UWEZO VIJANA KUJIAJIRI WENYEWE
11 years ago
Mwananchi30 Dec
Kutana na vijana walioamua kujiajiri
11 years ago
Tanzania Daima26 May
Nick wa Pili kuwahamasisha vijana kujiajiri
MKALI wa hip hop nchini, Nick wa Pili, ameanzisha taasisi yake inayojulikana kwa jina la ‘Twaonekana’ ambayo itakuwa inasaidia vijana wa Tanzania kuwa na moyo wa kujiajiri wenyewe. Nick ambaye...
9 years ago
StarTV02 Dec
Vijana waliohitimu VETA watakiwa kujiajiri
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya mafunzo na ufundi stadi VETA Kanda ya Magharibi Tabora Dokta Gerson Nyadzi amewataka vijana waliohitimu elimu ya ufundi kujiajiri badala ya kutegemea ajira rasmi ambayo kwa sasa ni finyu.
Wahitimu wa fani mbalimbali wa chuo cha ufundi stadi VETA mkoa wa Tabora wametakiwa kutekeleza lengo la Serikali la kuanzisha chuo hicho kwa kuitumia elimu waliyoipataka kujiajiri wenyewe ili kupambana na soko la ajira nchini.
Dr. Gerson Nyadzi ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi...
10 years ago
Habarileo20 Mar
Bilal awapa somo wabunifu wa majengo
MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal amewataka wabunifu wa majengo wa nchi za Afrika ya Mashariki na Kati kubuni mbinu mbadala katika ujenzi wa majengo zenye kulinda mazingira na kupunguza gharama za umeme na maji.
10 years ago
Michuzi
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari ahimiza watumishi wake kuendelea kuwa wabunifu katika kutekeleza majukumu yao

