Vijana Dar watakiwa kujiamini, kuwa wabunifu na kujiajiri
![](http://4.bp.blogspot.com/-mdg7W3cpkWI/Vb3tShdK9QI/AAAAAAAHtPQ/_vn1s2jUUYs/s72-c/unnamed%2B%25283%2529.jpg)
Vijana mkoani Dar es Salaam na nchini kwa ujumla wametakiwa kujiamini na kuwa wabunifu kwa kuanzisha miradi ya ujasiriamali na kutumia fursa zilizopo kupiga vita tatizo la ajira ili kukukuza vipato vyao na kuchangia ukuaji wa pato la taifa. Akizindua Programu ya kukuza na kuendeleza ujasiriamali kwa vijana wa mkoa wa Dar es Salaam na viunga vyake ijulikanayo kama Kijana Jiajiri, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Bw. Said Meck Sadiq amesema vijana hawana budi kuonyesha juhudi na hamu ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Tanzania03 Aug
Vijana watakiwa kujiamini, kuwa wabunifu
VIJANA nchini wametakiwa kujiamini na kuwa wabunifu kwa kuanzisha miradi ya ujasiriamali na kutumia fursa zilizopo kupiga vita tatizo la ajira.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa programu ya kukuza na kuendeleza ujasiriamali kwa vijana wa Mkoa wa Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick alisema vijana wanapaswa kuonyesha juhudi na hamu ya kufanikiwa.
Programu hiyo ijulikanayo kama ‘Kijana Jiajiri’ inalenga kukuza na kuendeleza ujasiriamali kwa...
9 years ago
MichuziVIJANA WATAKIWA KUWA WABUNIFU, WAJASIRIAMALI
10 years ago
Tanzania Daima21 Oct
Makamanda vijana kata watakiwa kuwa wabunifu
KAMANDA wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Wilaya ya Kalambo, Rosweeter Kasikila amewataka viongozi walioteuliwa hivi karibuni kuwa makamanda wa vijana ngazi za kata kuwa wabunifu kwa kuandaa mazingira...
9 years ago
StarTV10 Sep
Dk. Bilal ahimiza vijana wabunifu kujiajiri
Makamu wa Rais Dokta Mohamed Gharib Bilal amewataka vijana kutumia kazi za ubunifu kama sehemu ya kujiongezea ajira na kuchangia zaidi kwenye pato la taifa kwa kutumia nguvu walizonazo.
Amesema, kwa wakati huu ambapo sekta ya ajira inakabiliwa na changamoto nyingi, hususan nafasi chache kwenye ajira rasmi, vijana hawana budi kuzingatia elimu ya ubunifu ili kukidhi upungufu uliopo.
Makamu wa Rais, Dkt. Bilal ameyasema hayo Jijini Dar es salaam wakati wa uzinduzi wa huduma ya kurudisha taarifa...
9 years ago
StarTV02 Dec
Vijana waliohitimu VETA watakiwa kujiajiri
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya mafunzo na ufundi stadi VETA Kanda ya Magharibi Tabora Dokta Gerson Nyadzi amewataka vijana waliohitimu elimu ya ufundi kujiajiri badala ya kutegemea ajira rasmi ambayo kwa sasa ni finyu.
Wahitimu wa fani mbalimbali wa chuo cha ufundi stadi VETA mkoa wa Tabora wametakiwa kutekeleza lengo la Serikali la kuanzisha chuo hicho kwa kuitumia elimu waliyoipataka kujiajiri wenyewe ili kupambana na soko la ajira nchini.
Dr. Gerson Nyadzi ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi...
10 years ago
Tanzania Daima12 Nov
Wataalam watakiwa kuwa wabunifu
Waatalamu wa Sekta za Nishati na Madini, wametakiwa kuwa wabunifu katika maandalizi na usimamizi wa miradi ili sekta hizo ziwe na mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi wa nchi. Wito...
11 years ago
Tanzania Daima15 Apr
Madiwani Mbeya watakiwa kuwa wabunifu
MADIWANI nchini wameaswa kuepuka tofauti zao za kisiasa, badala yake kuwa wabunifu wa miradi ya maendeleo ili kuhakikisha wanaleta maendeleo katika halmashauri zao. Mjumbe wa Kamati Tendajii ya Jumuiya ya...
9 years ago
Dewji Blog18 Dec
Makandarasi wanawake watakiwa kujiamini
Mratibu wa mafunzo hayo mhandisi Rehema Myeya akimkaribisha mgeni rasmi Bi, Elizabeth Tagora ili kufungua mafunzo hayo.
Mgeni rasmi wa mafunzo ya makandarasi wanawake Bi, Elizabeth Tagora akizungumza wakati akifungua mafunzo hayo.
Washiriki wa mafunzo ya makandarasi wanawake wakifuatilia mjadala wa mafunzo hayo mjini Kibaha mkoani Pwani.
Mgeni rasmi wa mafunzo ya makandarasi wanawake Bi. Elizabeth Tagora katika picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo hayo.
Makandarasi wanawake nchini...
9 years ago
Dewji Blog10 Sep
Mhe.Eng.Hamad Masauni afungua mafunzo ya vijana wa TUEPO kuwajengea uwezo vijana kujiajiri wenyewe