VIJANA WATAKIWA KUWA WABUNIFU, WAJASIRIAMALI
Mwanzilishi wa Chuo Kikuu cha Afrika Tanzania, Mchungaji Joshua Lee akisisitiza jambo wakati wa mafunzo ya ujasiriamali na teknolojia jana jijini Dar es Salaam, mafunzo hayo yaliyotayarishwa na chuo hicho kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Handong cha Korea na UNESCO.
Mkuu wa wilaya ya Temeke, Bi. Sophia Mjema (katikati) akiwa pamoja na Mwanzilishi wa Chuo Kikuu cha Afrika Tanzania, Mchungaji Joshua Lee (kulia) pamoja na mjumbe wa kamati ya chuo hicho, Bw. Gaudens Kayombo wakati wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Tanzania03 Aug
Vijana watakiwa kujiamini, kuwa wabunifu
VIJANA nchini wametakiwa kujiamini na kuwa wabunifu kwa kuanzisha miradi ya ujasiriamali na kutumia fursa zilizopo kupiga vita tatizo la ajira.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa programu ya kukuza na kuendeleza ujasiriamali kwa vijana wa Mkoa wa Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick alisema vijana wanapaswa kuonyesha juhudi na hamu ya kufanikiwa.
Programu hiyo ijulikanayo kama ‘Kijana Jiajiri’ inalenga kukuza na kuendeleza ujasiriamali kwa...
10 years ago
Tanzania Daima21 Oct
Makamanda vijana kata watakiwa kuwa wabunifu
KAMANDA wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Wilaya ya Kalambo, Rosweeter Kasikila amewataka viongozi walioteuliwa hivi karibuni kuwa makamanda wa vijana ngazi za kata kuwa wabunifu kwa kuandaa mazingira...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-mdg7W3cpkWI/Vb3tShdK9QI/AAAAAAAHtPQ/_vn1s2jUUYs/s72-c/unnamed%2B%25283%2529.jpg)
Vijana Dar watakiwa kujiamini, kuwa wabunifu na kujiajiri
10 years ago
Tanzania Daima12 Nov
Wataalam watakiwa kuwa wabunifu
Waatalamu wa Sekta za Nishati na Madini, wametakiwa kuwa wabunifu katika maandalizi na usimamizi wa miradi ili sekta hizo ziwe na mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi wa nchi. Wito...
11 years ago
Tanzania Daima15 Apr
Madiwani Mbeya watakiwa kuwa wabunifu
MADIWANI nchini wameaswa kuepuka tofauti zao za kisiasa, badala yake kuwa wabunifu wa miradi ya maendeleo ili kuhakikisha wanaleta maendeleo katika halmashauri zao. Mjumbe wa Kamati Tendajii ya Jumuiya ya...
10 years ago
Dewji Blog21 Oct
Waajiriwa wapya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo watakiwa kuwa waadilifu
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akiongea kwa msisitizo kuhusu maadili ya Utumishi wa Umma wakati wa ufunguzi wa mafunzo elekezi kwa waajiriwa wapya wa Wizara hiyo leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Utawala na Menejimenti ya Rasirimali Watu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Barnabas Ndunguru akifafanua jambo wakati wa mafunzo elekezi kwa waajiriwa wapya wa Wizara hiyo iliyofanyika leo katika Ukumbi wa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-O0G_uiMvGjY/XoMMyg0Cq8I/AAAAAAALlqI/YLsWnhWAC8wAmhkrqF3HuaufLNPmkrElgCLcBGAsYHQ/s72-c/5416940e-bf1a-43fc-98b3-610aca94b79c.jpg)
VIJANA NCHINI WATAKIWA KUWA WAZALENDO, KUHAMASISHA WANANCHI KUCHUKUA TAHADHARI YA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-O0G_uiMvGjY/XoMMyg0Cq8I/AAAAAAALlqI/YLsWnhWAC8wAmhkrqF3HuaufLNPmkrElgCLcBGAsYHQ/s640/5416940e-bf1a-43fc-98b3-610aca94b79c.jpg)
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi akizungumza na kamati tendaji ya viongozi wa serikali za wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu (Tahliso) katika mkutano wa pamoja jijini Dodoma.
![](https://1.bp.blogspot.com/-SUXCsj5qhmc/XoMMxoLE7WI/AAAAAAALlqE/iG23k_Ig_FcxsiQhARsdIk6e9ix1gyAggCLcBGAsYHQ/s640/6945cc39-e4db-4b76-a28f-24c94f181f48.jpg)
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi akiwa katika picha ya pamoja na kamati tendaji ya viongozi wa serikali za wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini (Tahliso).
Charles James, Globu ya Jamii
VIJANA nchini wametakiwa kuwa wabunifu katika kufikia ndoto zao na siyo kukaa vijiweni wakilalamikia ugumu wa...
11 years ago
Mwananchi06 Mar
Costech kusaidia vijana wabunifu
9 years ago
Habarileo10 Nov
Vijana waambiwa wawe wabunifu
VIJANA wameshauriwa kuwa wabunifu wa miradi mbalimbali na kufikiri njia mbadala za kujipatia kipato ili kuweza kujiajiri na kuepukana na ajira tegemezi.