Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makandarasi wanawake watakiwa kujiamini

IMG_1546

Mratibu wa mafunzo hayo mhandisi Rehema Myeya akimkaribisha mgeni rasmi Bi, Elizabeth Tagora ili kufungua mafunzo hayo.

IMG_1531

Mgeni rasmi wa mafunzo ya makandarasi wanawake Bi, Elizabeth Tagora akizungumza wakati akifungua mafunzo hayo.

IMG_1528

Washiriki wa mafunzo ya makandarasi wanawake wakifuatilia mjadala wa mafunzo hayo mjini Kibaha mkoani Pwani.

IMG_1535

IMG_1548

Mgeni rasmi wa mafunzo ya makandarasi wanawake Bi. Elizabeth Tagora katika picha ya pamoja na washiriki  wa mafunzo hayo.

Makandarasi wanawake nchini...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WANAWAKE WATAKIWA KUJIAMINI KATIKA NAFAZI ZAO ZA UONGOZI -KAIRUKI

Nabu waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Angela Kairuki akizungumza na wanawake katika mkutano wa kuwajengea uwezo wanawake katika masuala ya uongozi uliofanyika katika hoteli ya serena jijini Dar es Salaam. Katibu mtendaji wa uongozi institue,Profesa Joseph Semboja  akizungumza katika mkutano wa kuwajengea uwezo wanawake katika masuala ya uongozi uliofanyika katika hoteli ya serena jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wanawake walioshiriki mkutano wa kuwajengea uwezo katika masuala...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Vijana watakiwa kujiamini, kuwa wabunifu

VIJANA nchini wametakiwa kujiamini na kuwa wabunifu kwa kuanzisha miradi ya ujasiriamali na kutumia fursa zilizopo kupiga vita tatizo la ajira.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa programu ya kukuza na kuendeleza ujasiriamali kwa vijana wa Mkoa wa Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick alisema vijana wanapaswa kuonyesha juhudi na hamu ya kufanikiwa.

Programu hiyo ijulikanayo kama ‘Kijana Jiajiri’ inalenga kukuza na kuendeleza ujasiriamali kwa...

 

10 years ago

Michuzi

Vijana Dar watakiwa kujiamini, kuwa wabunifu na kujiajiri

Vijana mkoani Dar es Salaam na nchini kwa ujumla wametakiwa kujiamini na kuwa wabunifu kwa kuanzisha miradi ya ujasiriamali na kutumia fursa zilizopo kupiga vita tatizo la ajira ili kukukuza vipato vyao na kuchangia ukuaji wa pato la taifa.  Akizindua Programu ya kukuza na kuendeleza ujasiriamali kwa vijana wa mkoa wa Dar es Salaam na viunga vyake ijulikanayo kama Kijana Jiajiri, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Bw. Said Meck Sadiq amesema vijana hawana budi kuonyesha juhudi na hamu ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mengi ataka wanawake kujiamini

MWENYEKITI wa Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF), Reginald Mengi, amewataka wanawake kujiamini na kutambua kuwa wanaweza kuleta mabadiliko katika nchi hasa ya kiuchumi. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana katika...

 

11 years ago

Michuzi

Mama Maria Nyerere awaasa Wanawake Wajasiliamali kujiamini

 Mama Maria Nyerere akitoa nasaa wakati wa Ufunguzi wa Semina kwa Wanawake Wajasiliamali kutoka Mikoa yote ya Tanzania, akiwa ni Mwanamke Mjasiliamali pia, amewahakikishia wanawake mafanikio iwapo watajiamini na kumsirikisha Mungu katika kazi zao.   Mwenyekiti wa EOTF Mama Anna Mkapa, akitoa utangulizi wa Mafunzo na ntambulisho wa Waalikwa, wakati wa ufunguzi wa Mafunzo ya siku tatu kwa Wanawake Wajasiliamali, kuanzia Juni 23-25/2014, kuanzia saa2  asubuhi  katika ukumbi wa Bwalo la...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanawake watakiwa kutambua haki zao

WAWANAKE mkoani Iringa wametakiwa kuzitambua haki zao sambamba na sheria za utawala bora ndani ya jamii katika kukabiliana na vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia. Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanawake Mtwara watakiwa kuchangamkia fursa

WANAWAKE mkoani Mtwara wametakiwa kuchangamkia fursa za ujasiriliamali kutokana na wingi wa watu na makampuni ya uwekezaji. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Mwenyekiti wa muda wa Taasisi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanawake watakiwa kuwania uongozi majimboni

CHAMA cha Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG) kimewakata wanawake wenzao kujitokeza kuwania nafasi mbalimbali badala ya kusubiri nafasi za uteuzi. Kauli hiyo ilitolewa mjini hapa jana na Makamu Mwenyekiti wa chama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani