Rooney ashinda tuzo ya mchezaji Bora wa Mwaka 2015 Uingereza
Mchezaji wa Manchester Wayne Rooney ametwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka kwa 2015 nchini Uingereza akitetea tena tuzo ambayo pia aliizoa mwaka 2014.
Hii ni mara ya 4 Rooney kushinda tuzo hii ambayo hupigiwa kura na wanachama wa Chama cha Mashabiki wa Soka England.
Mwezi Desemba Shirikisho la Soka la England liliyaweka hadharani majina ya wagombea wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka nchini humo.
Mwaka wa 2015 Rooney alii isaidia England kufuzu kuingia fainali za Mataifa ya Ulaya, Euro 2016,...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog05 Jan
Rooney achaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwaka 2015 wa Uingereza
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Uingereza na klabu ya Manchester United, Wayne Rooney (pichani) amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwaka 2015 wa Uingereza baada ya fanikiwa kuvunja rekodi ya kufunga magoli mengi katika timu ya taifa ya magoli 49 ambayo awali ilikuwa imewekwa na Sir Bobby Chalton na baade kuweka ya kwake ya magoli 50.
Rooney mwaka 2015 aliichezea Uingereza michezo 8 na kufanikiwa kuifungia magoli 5 ambayo yaliisaidia Uingereza kujihakikishia nafasi...
9 years ago
BBCSwahili06 Jan
Rooney mchezaji Bora wa Mwaka 2015.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jNrZ7iSqItZO31rwxMJHwLx0UqwIS6yXpp-EDvFV3r6M43SEsO94JM2bLhyrip-V2sUNzoyRLk-K7GpQnXEXC2ZNEKPFFv8W/bbc.jpg?width=650)
BRAHIMI ASHINDA TUZO YA BBC YA MCHEZAJI BORA WA MWAKA 2014 AFRIKA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/N9SP9Z4W-DclNr69IFO*rIKF984nNAfd-NGx6fXT6Ii3Mg*zSCrB54ejK8lJUa8s1EWKsz-DTMMRNGfgIJypI-f7Ewb-UOUH/JAYDEE620x360.jpg)
LADY JAYDEE ASHINDA YA TUZO YA WIMBO BORA WA MWAKA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/IxPfzOrgAhfuug-gQ1pyqQcoQ**6nyacOrVenjUMX7pkyAgDBHtjdf9CoH0kUktkvsRnca5vFif2-YOZVYiUMyHknDlVT7sk/HAZARD.jpg?width=650)
EDEN HAZARD ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWAKA ENGLAND
9 years ago
BBCSwahili09 Dec
Merkel ashinda tuzo ya Time ya mwaka 2015
9 years ago
Dewji Blog03 Nov
CAF yatangaza majina ya wachezaji 10 wanaowania tuzo ya mchezaji Bora Afrika 2015
Mmoja wa wachezaji wanaowania tuzo za Caf mwaka huu, Andrew Ayew.
Shirikisho la Soka barani Africa limeyataja majina 10 ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora barani Afrika kwa mwaka wa 2015. Katika majina hayo pia ameorodheshwa mchezaji bora kwa mwaka 2014, Mchezaji wa timu ya taifa ya Ivory Coast na klabu ya Mnachester City.
Kwa upande wa taifa nchi ya Algeria na Ivory Coast yamefanikiwa kuingiza wachezaji wawili kila moja kwa upande wa Algeria wachezaji ambao wameingia katika...
9 years ago
Dewji Blog01 Dec
Haya ndiyo majina matatu (3) ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora duniani 2015
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Shirikisho la soka duniani (FIFA) limetaja majina matatu (3) ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa dunia kwa mwaka 2015.
Majina hayo matatu (3) yamepatikana kutoka kwa majina 23 aliyokuwa yamependekezwa awali. Majina hayo ni;
Cristiano Ronaldo (Ureno – Real Madrid)
Lionel Messi (Argentina – Barcelona)
Neymar da Silva Santos (Brazil – Barcelona)
Kwa upande wa wanawake FIFA imewataja;
Carli Lloyd (Houston Dash -USA)
Aya Miyama (Okayama Yunogo Belle –...
9 years ago
Dewji Blog03 Nov
SPORT NEWS: CAF yatangaza majina ya wachezaji 10 wanaowania tuzo ya mchezaji Bora Afrika 2015
Mmoja wa wachezaji wanaowania tuzo za Caf mwaka huu, Andrew Ayew..
Shirikisho la Soka barani Africa limeyataja majina 10 ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora barani Afrika kwa mwaka wa 2015. Katika majina hayo pia ameorodheshwa mchezaji bora kwa mwaka 2014, Mchezaji wa timu ya taifa ya Ivory Coast na klabu ya Mnachester City.
Kwa upande wa taifa nchi ya Algeria na Ivory Coast yamefanikiwa kuingiza wachezaji wawili kila moja kwa upande wa Algeria wachezaji ambao wameingia katika...