BRAHIMI ASHINDA TUZO YA BBC YA MCHEZAJI BORA WA MWAKA 2014 AFRIKA
![](http://api.ning.com:80/files/jNrZ7iSqItZO31rwxMJHwLx0UqwIS6yXpp-EDvFV3r6M43SEsO94JM2bLhyrip-V2sUNzoyRLk-K7GpQnXEXC2ZNEKPFFv8W/bbc.jpg?width=650)
Yacine Brahimi akiwa na tuzo yake ya BBC. MSHINDI wa tuzo ya BBC ya mchezaji bora wa mwaka 2014 Afrika imekwenda kwa mchezaji wa Algeria na nyota wa Porto, Yacine Brahimi. Hapajawahi kutokea katika miaka 23 ya historia ya shindano hilo kwa mchezaji bora kutoka Algeria kuishinda tuzo hiyo, lakini Brahimi amefanikiwa kutwaa tuzo hiyo baada ya mwaka uliokuwa na mbwembwe nyingi. Brahimi amewabwaga wachezaji wengine nyota wakiwemo,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili10 Nov
Tuzo ya BBC ya mchezaji bora wa Afrika 2014
10 years ago
Mwananchi03 Dec
Mualgeria Brahimi ampiku Yaya Tuzo ya BBC Afrika 2014
9 years ago
Bongo506 Jan
Rooney ashinda tuzo ya mchezaji Bora wa Mwaka 2015 Uingereza
![150614192933_wayne_rooney__640x360_reuters](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/150614192933_wayne_rooney__640x360_reuters-300x194.jpg)
Mchezaji wa Manchester Wayne Rooney ametwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka kwa 2015 nchini Uingereza akitetea tena tuzo ambayo pia aliizoa mwaka 2014.
Hii ni mara ya 4 Rooney kushinda tuzo hii ambayo hupigiwa kura na wanachama wa Chama cha Mashabiki wa Soka England.
Mwezi Desemba Shirikisho la Soka la England liliyaweka hadharani majina ya wagombea wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka nchini humo.
Mwaka wa 2015 Rooney alii isaidia England kufuzu kuingia fainali za Mataifa ya Ulaya, Euro 2016,...
10 years ago
BBCSwahili07 Nov
Tuzo la BBC la mchezaji bora Afrika
9 years ago
BBCSwahili11 Dec
Toure ashinda tuzo ya BBC ya mwanasoka bora Afrika
9 years ago
Dewji Blog15 Nov
SPORT NEWS: Haya ndiyo majina matano ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora Afrika ya BBC 2015
Na Rabi Hume
Shirika la Utangazaji la Wingereza limetangaza majina matano (5) ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa mwaka 2015.
Katika orodha hiyo pia yupo mchezaji aliyetwa tuzo hiyo msimu uliopita, Yacine Brahimi anayekipiga katika katika klabu ya Porto inayoshiriki ligi kuu ya Ureno na timu ya Taifa ya Algeria.
Majina kamili ya wachezaji hao;
1. Pierre – Emerick Aubameyang (Gabon, Borussia Dortmund)
2. Andre Ayew (Ghana, Swansea)
3. Sadio Mane (Senegal,...
10 years ago
BBCSwahili01 Dec
Brahimi nyota wa BBC Afrika 2014
10 years ago
StarTV01 Dec
Brahimi ndiye mwanasoka wa BBC Afrika 2014
Mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika BBC mwaka huu amepatikana. Baada ya maelfu ya kura kuhesabiwa, mchezaji wa Algeria na nyota wa Porto, Yacine Brahimi ndiye mshindi wa mwaka huu.
Hapajawahi kutokea katika miaka 23 ya historia ya shindano hilo kwa mchezaji bora kutoka Algeria kuishinda, lakini Brahimi amefanikiwa kutwaa tuzo hiyo baada ya mwaka uliokuwa na mbwembwe wa 2014.
Aliingiza bao la ushindi dhidi ya mabingwa wa Hispania Barcelona, bao lengine la kisasa katika ligi ya mabingwa...
10 years ago
Bongo514 Jan
Lady Jaydee ashinda ya tuzo ya Wimbo Bora wa Mwaka Afrika Mashariki, ‘Yahaya’ kwenye Bingwa Music Awards -Kenya