Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Brahimi nyota wa BBC Afrika 2014

Mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika BBC mwaka huu amepatikana. Baada ya maelfu ya kura kuhesabiwa, mchezaji wa Algeria na nyota wa Porto, Yacine Brahimi ndiye mshindi wa mwaka huu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Brahimi ndiye mwanasoka wa BBC Afrika 2014

Mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika BBC mwaka huu amepatikana. Baada ya maelfu ya kura kuhesabiwa, mchezaji wa Algeria na nyota wa Porto, Yacine Brahimi ndiye mshindi wa mwaka huu.

Hapajawahi kutokea katika miaka 23 ya historia ya shindano hilo kwa mchezaji bora kutoka Algeria kuishinda, lakini Brahimi amefanikiwa kutwaa tuzo hiyo baada ya mwaka uliokuwa na mbwembwe wa 2014.

Aliingiza bao la ushindi dhidi ya mabingwa wa Hispania Barcelona, bao lengine la kisasa katika ligi ya mabingwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mualgeria Brahimi ampiku Yaya Tuzo ya BBC Afrika 2014

Nyota wa Algeria, Yacine Brahimi (pichani kulia) amechaguliwa kuwa mwanasoka bora wa mwaka wa BBC Afrika 2014.

 

10 years ago

GPL

BRAHIMI ASHINDA TUZO YA BBC YA MCHEZAJI BORA WA MWAKA 2014 AFRIKA

Yacine Brahimi akiwa na tuzo yake ya BBC. MSHINDI wa tuzo ya BBC ya mchezaji bora wa mwaka 2014 Afrika imekwenda kwa mchezaji wa Algeria na nyota wa Porto, Yacine Brahimi. Hapajawahi kutokea katika miaka 23 ya historia ya shindano hilo kwa mchezaji bora kutoka Algeria kuishinda tuzo hiyo, lakini Brahimi amefanikiwa kutwaa tuzo hiyo baada ya mwaka uliokuwa na mbwembwe nyingi. Brahimi amewabwaga wachezaji wengine nyota wakiwemo,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tuzo ya BBC ya mchezaji bora wa Afrika 2014

Tuzo ya BBC ya mchezaji bora wa Afrika mwaka wa 2014 imetangazwa

 

11 years ago

BBCSwahili

Nyota wa 'Bongo Movie' watembelea BBC

Je waigizaji filamu wa Tanzania wanafaidika kutokana na kazi yao?

 

11 years ago

Michuzi

mwanamuziki nyota wa nyimbo za injili wa congo Natalie Makoma atembelea BBC London

Mzee wa Macharanga Charles Hilary akiwa na Natalie Makoma, mwanamuziki wa nyimbo za Injili kutoka Congo alipotembelea  studio za BBC jijini London. Mwanamuziki huyu ni maarufu kwa nyimbo kibao zikiwemo 'Butu na Moyi', 'Moto Oyo, na 'Nzambe na Bomoyi' ulio katika mahadhi ya reggae. Hebu msikilize hapo chini

 

11 years ago

BBCSwahili

Nyota wa Tennis mahakamani Afrika.K

Bingwa wa zamani wa Tennis duniani, Bob Hewitt amefikishwa mahakamani nchini Afrika Kusini kwa tuhuma za ubakaji

 

10 years ago

Mwananchi

Mabondia nyota Afrika kuzipiga Tanzania

Shirikisho la Ngumi za kulipwa la Afrika (IBF Africa) kwa kushirikiana na Taasisi ya Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred Foundation (BAF) wameandaa mapambano ya ngumi ya kimataifa ya IBF yatakayoshirikisha mabondia nyota duniani.

 

11 years ago

Mwananchi

Komla Dumor, nyota ya Afrika iliyozama

“Nakifananisha kifo cha Komla Dumor, kuwa sawa na anguko la mbuyu uliomea katika ardhi yenye rutuba. Sikutarajia kama unaweza kuondoka mapema hivyo, ewe nyota angavu: Komla Dumor (41) alikuwa sura na sauti ya Afrika, kijana mchapakazi, mwenye weledi, aliyejaaliwa uthubutu.”

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani