Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


mwanamuziki nyota wa nyimbo za injili wa congo Natalie Makoma atembelea BBC London

Mzee wa Macharanga Charles Hilary akiwa na Natalie Makoma, mwanamuziki wa nyimbo za Injili kutoka Congo alipotembelea  studio za BBC jijini London. Mwanamuziki huyu ni maarufu kwa nyimbo kibao zikiwemo 'Butu na Moyi', 'Moto Oyo, na 'Nzambe na Bomoyi' ulio katika mahadhi ya reggae. Hebu msikilize hapo chini

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

CloudsFM

MUME WA MWANAMUZIKI WA NYIMBO ZA INJILI ADAIWA KUMBAKA SHEMEJI YAKE WA MIAKA 17

Mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili, (jina tunalihifadhi kwa sasa), anatuhumiwa kumbaka shemeji yake mdogo (17).
Taarifa za tukio hilo ziliripotiwa juzi saa 12 jioni katika Kituo cha Polisi Tabata (Tabata Shule), zikimtuhumu mwanamume huyo kwamba alimbaka binti huyo mara tatu na kumsababishia maumivu makali.
Binti huyo alifika katika kituo hicho cha polisi akiwa na ndugu zake wawili ambao walilalamika kwamba kulikuwa na jitihada kubwa kutoka upande wa mtuhumiwa wa kuzima kesi hiyo.
...

 

11 years ago

Michuzi

BAADA YA SHINYANGA,MWANAMUZIKI NYOTA WA INJILI KUTOKA AFRIKA KUSINI REBECCA MALOPE KUTUMBUIZA JIJINI MWANZA LEO



Mwimbaji Mahiri wa muziki wa nyimbo za Kiroho a.k.a Injili,Rose Muhando akiimba wimbo wake mpya wa Facebook na Twitter mbele ya mashabiki wake,katika uwanja wa Kambarage mapema jioni ya leo mkoani Shinyanga,ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa tamasha la Pasaka.Tamasha hilo linaloandaliwa na Msama Promotions Ltd  kesho jumapili linaendelea katika uwanja wa CCM Kirumba jijiini Mwanza,ambapo Nyota wa Nyimbo za Injili kutoka nchini Afrika Kusini,Rebecca Malope atawatumbuiza wakazi wa jiji hilo...

 

10 years ago

Michuzi

Mama Joyce Banda atembelea BBC London

Rais wa Zamani wa Malawi,Mama Joyce Banda akiwa na Mtangazaji wa BBC,Charles Hilary wakati alipotembelea Shirika hilo la Habari nchini Uingereza jana.Rais wa Zamani wa Malawi,Mama Joyce Banda akiwa kwenye picha ya pamoja na Watangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC London,Nchini Uingereza.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwanamuziki Natalie Cole afariki dunia

Natalie Cole, mwanamuziki nyota kutoka Marekani aliyeimba nyimbo maarufu kama vile Unforgettable, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 65.

 

9 years ago

Dewji Blog

Mwanamuziki nguli na mshindi wa tuzo za Grammy, Natalie Cole amefariki dunia akiwa na miaka 65!!

IMG_0072.JPG]]]]]]]]=======================================

Mwanamuziki nguli na mshindi wa tuzo mbalimbali zikiwemo za Grammy , Mwanamama Natalie Cole (Pichani)  amefariki dunia usiku wa Desemba 31. Nchini Marekani huku taarifa za kifo chake zikitaarifiwa mapema leo Januari Mosi.

Na Andrew Chale, Modewjiblog

Gwiji huyo ambaye mpaka anapatwa na mahuti, ameweza kufikisha umri wa miaka 65  ni miongoni mwa wanamuziki wakongwe waliotoka katika familia ya wanamuziki mahiri.  Natalie Cole  enzi za uhai wake ameweza kutoa albma kadhaa na ameweza kufanya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ni mtikisiko wa nyimbo za Injili Shinyanga, Mwanza

MALKIA wa muziki wa injili Afrika, Rebecca Malope wa Afrika Kusini, yu miongoni mwa waimbaji kutoka nje ya Tanzania ambao Jumapili ya Mei 4, watakuwa katika Uwanja wa CCM Kirumba,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wasanii nyimbo za Injili kujichubua, tujifunze nini?

HAKUNA jambo ambalo linanikera kama mtu anapobadili rangi ya ngozi yake, kwani hivi sasa imeshakuwa fasheni si tu kwa wanawake, bali hata kwa wanaume na mbaya zaidi, jinamizi hilo limehamia...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwimbaji nyimbo za Injili mwenye ndoto za uigizaji

Kuna watu wanaoamini kwamba wanaweza kupitia katika njia ya mawazo ya ndoto zao, pasipo kujishughulisha na mambo mengine tofauti na wanayowaza.

 

11 years ago

Michuzi

MUZIKI UPO KWENYE FAMILIA YETU-MWANAMUZIKI WA INJILI MILKA KAKETE

309253_4514172497095_415944777_nMwanamuziki wa Injili aliyetokea kwenye familia ya kidini Milka Kakete anasema alianza kuujua na kuufahamu muziki kwa kina tangu akiwa mdogo, kwani familia yake ni ya kikristo na amepata malezi ya kuwa karibu na kanisa siku zote. Milka ambaye ni mkazi wa Canada na familia yake akiwa ni mama wa watoto watatu na familia yake anaeleza kuwa anaipenda sana familia yake na anajaribu kuweka sawa maisha ya familia na uimbaji wa Injili. Hivi karibuni alitembelea idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani