Mwanamuziki nguli na mshindi wa tuzo za Grammy, Natalie Cole amefariki dunia akiwa na miaka 65!!
Mwanamuziki nguli na mshindi wa tuzo mbalimbali zikiwemo za Grammy , Mwanamama Natalie Cole (Pichani) amefariki dunia usiku wa Desemba 31. Nchini Marekani huku taarifa za kifo chake zikitaarifiwa mapema leo Januari Mosi.
Na Andrew Chale, Modewjiblog
Gwiji huyo ambaye mpaka anapatwa na mahuti, ameweza kufikisha umri wa miaka 65 ni miongoni mwa wanamuziki wakongwe waliotoka katika familia ya wanamuziki mahiri. Natalie Cole enzi za uhai wake ameweza kutoa albma kadhaa na ameweza kufanya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili02 Jan
Mwanamuziki Natalie Cole afariki dunia
5 years ago
BBCSwahili21 Mar
Mwanamuziki maarufu wa muziki wa Country Ken Rogers amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 81
5 years ago
Michuzi
Mwanamuziki maarufu wa muziki wa Country Kenny Rogers afariki dunia akiwa na umri wa miaka 81

Mwakilishi wa familia yake amesema kuwa "amekufa kwa amani nyumbani kwa kifo cha kawaida".
Rogers alikua juu katika chati ya wanamuziki wa pop na country katika miaka ya 1970 na 1980 ,na alishinda tuzo tatu za -Grammy.
Akifahamika kwa sauti yake ya kipekee na yenye mvuto hasa katika nyimbo zake -The Gambler, Lucille na Coward Of The County, kazi yake ya muziki ilivuma kwa zaidi ya miongo...
10 years ago
Bongo524 Feb
Damian Soul: Ntakuwa mwanamuziki wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kushinda tuzo ya Grammy (Audio)
11 years ago
Dewji Blog14 Apr
Mwanamuziki mkongwe Tanzania Muhidin Maalim Gurumo amefariki dunia
Mwimbaji Mkongwe wa Bendi ya Msondo Ngoma Muhidin Maalim Gurumo (pichani) amefariki Dunia leo jijini Dar katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Hivi karibuni Marehemu Muhidini Gurumo alitangaza kustaafu muziki baada ya afya ya kutetereka na kuamua kupumzika hadi mauti yalipomfika.
MOblog inaunga na familia ya marehemu, watanzania wote pamoja na mashabiki wake kuomboleza kifo chake.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema Peponi Amen.
11 years ago
Michuzi
mwanamuziki nyota wa nyimbo za injili wa congo Natalie Makoma atembelea BBC London

5 years ago
BBCSwahili26 Feb
Hosni Mubarak alikuwa nani? Rais wa Misri aliyengatulia madarakani aaga dunia akiwa na umri wa miaka 91.
10 years ago
GPL
ORODHA YA WASHINDI WA TUZO ZA GRAMMY
11 years ago
GPL
ERIC LAWSON 'MARLBORO' AFARIKI DUNIA AKIWA NA MIAKA 72