Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Damian Soul: Ntakuwa mwanamuziki wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kushinda tuzo ya Grammy (Audio)

Damian Soul ni msanii mwenye ndoto kubwa. Muimbaji huyo wa ‘Ni Penzi’ ameiambia BBC World Service kuwa atakuwa mwanamuziki wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kushinda tuzo ya Grammy. “Nina matarajio makubwa sana,” amesema Damian kwenye interview hiyo iliyofanywa na mtangazaji wa BBC, Alan Kasujja aliyekuja jijini Dar es Salaam kumhoji. “Nitakuwa mwanamuziki wa kwanza wa […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Sauti Soul wachukua tuzo ya utanashati Afrika Mashariki

sauti-solKAMPALA, UGANDA

KUNDI la muziki kutoka nchini Kenya, Sauti Sol, wanazidi kujitengenezea jina baada ya juzi kufanikiwa kuchukua tuzo ya kundi bora la wasanii watanashati Afrika Mashariki.

Tuzo hizo zilitolewa Kampala, nchini Uganda, kwenye ukumbi wa Abryanz Style, ambapo tuzo hizo zilipambwa na wasanii mbalimbali kufanya shoo.

Kundi hilo kwa sasa limekuwa na jina kubwa mara baada ya kuanza kutajwa kwenye tuzo za MTV EMA mwaka 2014, MTV MAMAs na BET, hivyo tuzo hiyo ambayo wameipata...

 

11 years ago

Michuzi

9 years ago

Dewji Blog

Mwanamuziki nguli na mshindi wa tuzo za Grammy, Natalie Cole amefariki dunia akiwa na miaka 65!!

IMG_0072.JPG]]]]]]]]=======================================

Mwanamuziki nguli na mshindi wa tuzo mbalimbali zikiwemo za Grammy , Mwanamama Natalie Cole (Pichani)  amefariki dunia usiku wa Desemba 31. Nchini Marekani huku taarifa za kifo chake zikitaarifiwa mapema leo Januari Mosi.

Na Andrew Chale, Modewjiblog

Gwiji huyo ambaye mpaka anapatwa na mahuti, ameweza kufikisha umri wa miaka 65  ni miongoni mwa wanamuziki wakongwe waliotoka katika familia ya wanamuziki mahiri.  Natalie Cole  enzi za uhai wake ameweza kutoa albma kadhaa na ameweza kufanya...

 

10 years ago

Bongo5

Audio: Kanye West adai hatoshiriki kwenye tuzo za Grammy hadi warekebishe makosa

Kanye West ameendelea kushikilia msimamo wake kuwa ni Beyonce ndiye aliyestahili kushinda tuzo ya Album of the Year kwenye Grammys badala ya Beck. Akiongea kwenye kipindi cha On Air With Ryan Seacrest jana (Feb. 12) Kanye alidai kuwa hatorudi tena kwenye tuzo hizo hadi pale atakakaa na waandaji wa tuzo hizo na kuzungumza jinsi ya […]

 

9 years ago

Bongo5

Sugua Gaga ya Shaa yawa video ya muziki ya kwanza kutoka Afrika Mashariki kufikisha views milioni 20 kwenye Youtube

Video ya wimbo wa Shaa, Sugua Gaga imekuwa video ya kwanza ya mwanamuziki kutoka Afrika Mashariki kufikisha views zaidi ya milioni 20 kwenye mtandao wa Youtube. Video hiyo iliyoongozwa na Adam Juma iliwekwa kwenye mtandao huo March 24, 2014. Hadi Jumanne hii, video hiyo ilikuwa imetazamwa mara 20,311,199. Video ya pili iliyotazamwa zaidi ni ya […]

 

11 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani