Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Audio: Kanye West adai hatoshiriki kwenye tuzo za Grammy hadi warekebishe makosa

Kanye West ameendelea kushikilia msimamo wake kuwa ni Beyonce ndiye aliyestahili kushinda tuzo ya Album of the Year kwenye Grammys badala ya Beck. Akiongea kwenye kipindi cha On Air With Ryan Seacrest jana (Feb. 12) Kanye alidai kuwa hatorudi tena kwenye tuzo hizo hadi pale atakakaa na waandaji wa tuzo hizo na kuzungumza jinsi ya […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Kanye West awaomba msamaha hadharani Bruno Mars na msanii aliyetaka kumnyakua mic wakati wa Grammy

Baada ya utani alioufanya Kanye West kutaka kumnyakua mic msanii wa rock, Beck kwenye tuzo za Grammy 2015 aliyeshinda kipengele cha ‘Album of The Year’ ambacho Kanye alipendelea ashinde Beyonce aliyekuwa pia akiwania, Kanye amemuomba radhi msanii huyo kupitia Twitter. Kanye pia amemuomba msamaha Bruno Mars ambaye amekiri kuwa alikuwa akimchukia kwa muda mrefu. Katika […]

 

10 years ago

Bongo5

Damian Soul: Ntakuwa mwanamuziki wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kushinda tuzo ya Grammy (Audio)

Damian Soul ni msanii mwenye ndoto kubwa. Muimbaji huyo wa ‘Ni Penzi’ ameiambia BBC World Service kuwa atakuwa mwanamuziki wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kushinda tuzo ya Grammy. “Nina matarajio makubwa sana,” amesema Damian kwenye interview hiyo iliyofanywa na mtangazaji wa BBC, Alan Kasujja aliyekuja jijini Dar es Salaam kumhoji. “Nitakuwa mwanamuziki wa kwanza wa […]

 

11 years ago

Bongo5

Ndoto iliyotimia: Kanye West adai aliomba kumuoa Kim Kardashian miaka saba iliyopita

Kanye West na Kim Kardashian walifunga ndoa May 24 huko Florence, Italy lakini miaka mingi iliyopita Kanye alikuwa anamzimikia Kim japo hakufanikiwa kuwa naye. Akitumbuiza kwenye tamasha la Wireless Ijumaa hii jijini London, rapper huyo kama kawaida yake alisimamisha show na kuongea mambo mbalimbali likiwemo suala la ubaguzi kwenye fashion. Lakini pia Yeezus alizungumza kuhusu […]

 

9 years ago

Bongo5

Kanye West ashiriki kwenye auditions za shindano la kusaka vipaji ‘American Idol’!

Katika hali ya kushangaza, mtangaza nia ya kugombea urais wa Marekani 2020, rapper Kanye West weekend iliyopita aliamua kupitia sehemu zilipokuwa zinafanyika auditions za shindano la kusaka vipaji ‘American Idol’ jijini San Francisco, na kuchukua namba ya ushiriki kisha kwenda mbele ya majaji na kuonesha kipaji chake, lol! Majaji wa shindano hilo Jennifer Lopez,Harry Connick, […]

 

11 years ago

CloudsFM

KIM KARDASHIAN APOST PICHA ZAKE ZA HARUSI NA KANYE WEST KWA MARA YA KWANZA KWENYE INSTAGRAM

Kim Kardashian na Kanye West wakiwa wameshikana mikono baada ya kufunga ndoa mwishoni mwa wiki iliyopita huko Forte di Belvedere Florence, Italia.

 

9 years ago

Bongo5

Video: Obama ampa Kanye West dondoo muhimu za kumsaidia kwenye uamuzi wake wa kuwania Urais wa Marekani

Barack Obama ameamua kumpa Kanye West dondoo muhimu anazopaswa kuzizingatia katika uamuzi wake wa kuwania urais wa Marekani. “Nina ushauri kwake,” Obama alisema kwenye hafla ya uchangishaji fedha uliohudhuriwa pia na rapper huyo ambaye alitangaza kuwania urais wa nchi hiyo mwaka 2020. “First of all, you’ve got to spend a lot of time dealing with […]

 

11 years ago

Bongo5

Kanye West afunga camera kibao kwenye nyumba anayoishi ili kumuona mwanae North hata akiwa ziarani

Kanye West amefunga idadi kubwa ya camera kwenye nyumba yake ili kumchunga na kumuona binti yake, North popote pale duniani. Rapper huyo mwenye miaka 37 amedaiwa kumkera mke wake Kim Kardashian kwa kufunga camera hizo kwenye kila chumba ndani ya nyumba yao ya Los Angeles hadi kwenye bafu ili kuhakikisha anamuona North muda wote. Chanzo […]

 

9 years ago

BBCSwahili

Mtoto wa Kim na Kanye West aitwa Saint West

Kim Kardashian West na Kanye West wamempa mtoto wao wa pili jina Saint West.

 

9 years ago

Bongo5

Hata Kim Kardashian hakujua kama Kanye West ana mpango wa kugombea urais 2020 mpaka alipotangaza kwenye VMA

Taarifa za rapper Kanye West kutaka kugombea urais wa Marekani ifikapo mwaka 2020, hazikuwashangaza watazamaji tu, bali hata mkewe Kim Kardashian hakuwa anafahamu mpaka aliposikia mumewe Kanye akitangaza kwenye tuzo za VMA. Akizungumza kwenye kipindi cha The Ellen DeGeneres Show, mama kijacho Kim K amesema anaamini kuwa mume wake Kanye yuko serious katika uamuzi huo […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani