Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sauti Soul wachukua tuzo ya utanashati Afrika Mashariki

sauti-solKAMPALA, UGANDA

KUNDI la muziki kutoka nchini Kenya, Sauti Sol, wanazidi kujitengenezea jina baada ya juzi kufanikiwa kuchukua tuzo ya kundi bora la wasanii watanashati Afrika Mashariki.

Tuzo hizo zilitolewa Kampala, nchini Uganda, kwenye ukumbi wa Abryanz Style, ambapo tuzo hizo zilipambwa na wasanii mbalimbali kufanya shoo.

Kundi hilo kwa sasa limekuwa na jina kubwa mara baada ya kuanza kutajwa kwenye tuzo za MTV EMA mwaka 2014, MTV MAMAs na BET, hivyo tuzo hiyo ambayo wameipata...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Damian Soul: Ntakuwa mwanamuziki wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kushinda tuzo ya Grammy (Audio)

Damian Soul ni msanii mwenye ndoto kubwa. Muimbaji huyo wa ‘Ni Penzi’ ameiambia BBC World Service kuwa atakuwa mwanamuziki wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kushinda tuzo ya Grammy. “Nina matarajio makubwa sana,” amesema Damian kwenye interview hiyo iliyofanywa na mtangazaji wa BBC, Alan Kasujja aliyekuja jijini Dar es Salaam kumhoji. “Nitakuwa mwanamuziki wa kwanza wa […]

 

10 years ago

Bongo5

Davido awa msanii pekee wa Afrika anayewania tuzo za ‘Soul Train Awards 2014’ Marekani

Staa wa Nigeria Davido ametajwa kuwania kipengele cha ‘Best International Performance’ kupitia hit yake ‘Aye’ kwenye tuzo za ‘Soul Train Awards 2014′ zilizopangwa kutolewa November 7 huko Las Vegas, Marekani na baadae kuoneshwa kupitia Centric na BET November 30. Davido ndiye msanii pekee wa Afrika aliyetajwa kuwania tuzo hizo. Katika kipengele hicho Davido anachuana na […]

 

10 years ago

Habarileo

TASAF yatunukiwa tuzo Afrika Mashariki

MFUKO wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) umetunukiwa tuzo ya uzingatiaji wa taratibu na kanuni za manunuzi kwa kipindi cha mwaka 2013/14 baada ya kuibuka mshindi miongoni mwa taasisi za serikali na mashirika ya umma kwa manunuzi bora.

 

11 years ago

Mwananchi

Machumu mshindi tuzo uongozi Afrika Mashariki

Kampuni inayofanya utafiti wa Utawala Bora katika nchi za Afrika ya CEO Titans Building Nations ya Afrika Kusini, imemtunuku tuzo mbili Mhariri Mtendaji Mkuu wa Mwananchi Communications Limited (MCL), Bakari Machumu.

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA NBC YASHINDA TUZO YA SUPERBRAND AFRIKA MASHARIKI

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Edward Marks (kulia) akipokea tuzo ya ubora ya Superbrand ya Afrika Mashariki  kutoka kwa Mkurugenzi Mradi wa Taasisi ya Superbrands Ukanda wa Afrika, Jawad Jaffer katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa NBC, Rukia Mtingwa.  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Edward Marks akizungumza katika hafla hiyo. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Edward Marks (wa pili...

 

11 years ago

Dewji Blog

TBL washindi wa jumla tuzo za RECP Afrika Mashariki

01

 Waziri wa Nchi wa Mazingira wa Uganda, Flavia Namugere (katikati) akiwakabidhi tuzo ya ushindi wa jumla ya RECP Afrika Mashariki ya usimamizi bora wa matumizi ya maji na nishati kwa Mhandisi wa Huduma za Kiufundi wa Kiwanda cha Mwanza cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Sunday Kidolezi (kushoto), na Mhandisi wa Mitambo wa kiwanda hicho, Erick Ernest ambayo kampuni hiyo ilituzwa katika hafla iliyofanyika hivi karibuni jijini Entebe, Uganda.

HERM6676[1]

 Tanzania Deputy Permanent Secretary for...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE APOKEA TUZO YA KIONGOZI BORA AFRIKA MASHARIKI

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amepokea Tuzo ya Kiongozi Bora Afrika Mashariki kutoka katika taasisi ya East Africa Book of Records yenye makao yake makuu jijini Kampala Uganda.Pichani kiongozi wa Taasisi hiyo Dkt.Paul Bamutize akimkabidhi Rais Kikwete tuzo hiyo wakati wa hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaanm leo asubuhi.Sambamba na Tuzo hiyo Rais kikwete amepokea tuzo ya kuitambua Tanzania kama taifa bora Afrika Mashariki kwa kudumisha Amani na Utulivu,Huduma bora za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani