Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ni mtikisiko wa nyimbo za Injili Shinyanga, Mwanza

MALKIA wa muziki wa injili Afrika, Rebecca Malope wa Afrika Kusini, yu miongoni mwa waimbaji kutoka nje ya Tanzania ambao Jumapili ya Mei 4, watakuwa katika Uwanja wa CCM Kirumba,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

BAADA YA SHINYANGA,MWANAMUZIKI NYOTA WA INJILI KUTOKA AFRIKA KUSINI REBECCA MALOPE KUTUMBUIZA JIJINI MWANZA LEO



Mwimbaji Mahiri wa muziki wa nyimbo za Kiroho a.k.a Injili,Rose Muhando akiimba wimbo wake mpya wa Facebook na Twitter mbele ya mashabiki wake,katika uwanja wa Kambarage mapema jioni ya leo mkoani Shinyanga,ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa tamasha la Pasaka.Tamasha hilo linaloandaliwa na Msama Promotions Ltd  kesho jumapili linaendelea katika uwanja wa CCM Kirumba jijiini Mwanza,ambapo Nyota wa Nyimbo za Injili kutoka nchini Afrika Kusini,Rebecca Malope atawatumbuiza wakazi wa jiji hilo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wasanii nyimbo za Injili kujichubua, tujifunze nini?

HAKUNA jambo ambalo linanikera kama mtu anapobadili rangi ya ngozi yake, kwani hivi sasa imeshakuwa fasheni si tu kwa wanawake, bali hata kwa wanaume na mbaya zaidi, jinamizi hilo limehamia...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwimbaji nyimbo za Injili mwenye ndoto za uigizaji

Kuna watu wanaoamini kwamba wanaweza kupitia katika njia ya mawazo ya ndoto zao, pasipo kujishughulisha na mambo mengine tofauti na wanayowaza.

 

11 years ago

GPL

MKUU WA WILAYA YA MAKETE AZINDUA ALBAMU YA NYIMBO ZA INJILI

 Mkuu wa wilaya ya Makete mhe. Josephine Matiro (kulia) akizindua albamu ya video ya msanii wa nyimbo za Injili Aldo Sanga wilayani Makete, kushoto ni MC wa shughuli hiyo Bi. Happy Ngogo.  Mwimbaji mahiri wa nyimbo za injili Happy Kamili akitumbuiza mashabiki waliofika kwenye uzinduzi huo.…

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA MATUMAINI 2014 WASANI NYIMBO ZA INJILI KUSHUSHA UPAKO

Watumishi wa Mungu wanaofanya kazi ya kusambaza Injili kupitia karama ya uimbaji, Upendo Nkone, Ambwene Mwasongwe, Angela, Paul Clement, Martha Mwaipaja na wengine wengi wanatarajiwa kushusha upako wa nguvu ndani ya Uwanja wa Taifa, Agosti 8, 2014 katika Tamasha la Matumaini. Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Upendo Nkone. Kwa mujibu wa mratibu wa tamasha hilo la kila mwaka, Luqman Maloto wasanii hao watafanya shoo ya kumtukuza...

 

9 years ago

Vijimambo

MSANII WA NYIMBO ZA INJILI, EMANUEL MBASHA ASHINDA KESI YA UBAKAJI

 Msanii wa nyimbo za Injili, Emanuel Mbasha, Munde akiwa amepiga magoti huku akilia kwa furaha baada ya kushinda kesi ya ubakaji katika mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam.(Picha na Francis Dande) Wakili wa Msanii wa nyimbo za Injili, Emanuel Mbasha, Munde Kalombola (kulia), akitaka kumuinua msanii huyo alipokaa chini na kulia baada ya kushinda kesi ya ubakaji iliyokuwa inamkabili kwenye mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam.
 Emmanuel Mbasha akitoka katika chumba...

 

11 years ago

GPL

MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI HAPPY KIMALI AHUKUMIWA KWENDA JELA

  Mwimbaji Maarufu wa Nyimbo za Kumtukuza Mungu, Happy Kamili. Mwimbaji Maarufu wa Nyimbo za Kumtukuza Mungu, Happy Kamili amehukumiwa  kifungo cha Miezi mitatu jela kwa kosa la Kugonga Gari iliyokuwa nyuma yake wakati alipokuwa akiirudisha nyuma Gari yake mwezi wa kwanza mwaka huu. Taarifa Kamili inakuja! CHANZO NI MBEYA YETU…

 

11 years ago

Dewji Blog

Mkuu wa Wilaya ya Makete azindua albamu ya nyimbo ya Injili wilayani hapo

DSC_0166

Mkuu wa wilaya ya Makete mh Josephine Matiro (kulia) akizindua albamu ya video ya msanii wa nyimbo za Injili Aldo Sanga wilayani Makete, kushoto ni MC wa shughuli hiyo Bi. Happy Ngogo.Picha na Edwin Moshi, Makete.

DSC_0132

 Mwimbaji mahiri wa nyimbo za injili Happy Kamili akitumbuisha mashabiki waliofika kwenye uzinduzi huo.

DSC_0134

Happy Kamili akiwajibika na wimbo wake mahiri wa Mpango wa Mungu.

DSC_0148

Msanii Aldo sanga ambaye albamu yake imezinduliwa akitoa burudani kwa mashabiki wake waliofika kushuhudia...

 

11 years ago

CloudsFM

MUME WA MWANAMUZIKI WA NYIMBO ZA INJILI ADAIWA KUMBAKA SHEMEJI YAKE WA MIAKA 17

Mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili, (jina tunalihifadhi kwa sasa), anatuhumiwa kumbaka shemeji yake mdogo (17).
Taarifa za tukio hilo ziliripotiwa juzi saa 12 jioni katika Kituo cha Polisi Tabata (Tabata Shule), zikimtuhumu mwanamume huyo kwamba alimbaka binti huyo mara tatu na kumsababishia maumivu makali.
Binti huyo alifika katika kituo hicho cha polisi akiwa na ndugu zake wawili ambao walilalamika kwamba kulikuwa na jitihada kubwa kutoka upande wa mtuhumiwa wa kuzima kesi hiyo.
...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani