Brahimi ndiye mwanasoka wa BBC Afrika 2014
Mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika BBC mwaka huu amepatikana. Baada ya maelfu ya kura kuhesabiwa, mchezaji wa Algeria na nyota wa Porto, Yacine Brahimi ndiye mshindi wa mwaka huu.
Hapajawahi kutokea katika miaka 23 ya historia ya shindano hilo kwa mchezaji bora kutoka Algeria kuishinda, lakini Brahimi amefanikiwa kutwaa tuzo hiyo baada ya mwaka uliokuwa na mbwembwe wa 2014.
Aliingiza bao la ushindi dhidi ya mabingwa wa Hispania Barcelona, bao lengine la kisasa katika ligi ya mabingwa...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili01 Dec
Brahimi nyota wa BBC Afrika 2014
10 years ago
Mwananchi03 Dec
Mualgeria Brahimi ampiku Yaya Tuzo ya BBC Afrika 2014
10 years ago
GPLBRAHIMI ASHINDA TUZO YA BBC YA MCHEZAJI BORA WA MWAKA 2014 AFRIKA
9 years ago
BBCSwahili11 Dec
Toure ashinda tuzo ya BBC ya mwanasoka bora Afrika
9 years ago
Bongo517 Nov
Watano kuwania tuzo ya mwanasoka bora BBC Afrika 2015
Wacheji watano ambao wanagombea tuzo ya BBC kwa mwanasoka bora wa mwaka 2015 wametangazwa kwenye hafla maalum iliyoandaliwa mjini Johannesburg, Afrika Kusini.
Mshindi wa tuzo hiyo mwaka 2014 Yacine Brahimi, yupo kwenye orodha hiyo pamoja na Pierre-Emerick Aubameyang, André Ayew, kutoka Ghana, Sadio Mané na Yaya wote wa Ivory Coast.
Mshindi ataamuliwa na mashabiki wa soka Afrika ambao watapewa fursa kupiga kura hadi tarehe 30, Novemba.
Unaweza kupiga kura mtandaoni kwa kubofya hapa au kwa...
10 years ago
BBCSwahili10 Nov
Tuzo ya BBC ya mchezaji bora wa Afrika 2014
10 years ago
BBCSwahili01 Dec
Mwanasoka bora kutangazwa leo na BBC
11 years ago
BBCSwahili09 Jan
Nani mwanasoka bora zaidi Afrika?
9 years ago
Mtanzania16 Nov
Watano kuwania mwanasoka bora Afrika
JOHANNESBURG, AFRIKA KUSINI
NYOTA watano wa soka ambao wanawania tuzo ya BBC mwaka 2015, wamewekwa hadharani juzi katika hafla maalumu iliyoandaliwa Johannesburg nchini Afrika Kusini.
Nyota hao ni pamoja na mshindi wa tuzo hiyo mwaka 2014, Yacine Brahimi kutoka nchini Algeria, Pierre-Emerick Aubameyang kutoka nchini Gabon, Andre Ayew, kutoka Ghana, Sadio Mane na Yaya Toure wa Ivory Coast.
Mshindi ataamuliwa na mashabiki wa soka Afrika ambao watapewa fursa ya kupiga kura hadi ifikapo tarehe...