Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIAMOND ASHINDA TUZO ZINGINE ZA KIMATAIFA HUKO NCHINI JAMAICA.

Msanii wa Bongo Flavour ambae anaendelea kufanya Vizuri siku baada ya siku Diamond Platnumz ametangazwa mshindi kwenye Tuzo za Kimataifa za International Reggae and World Music Awards (IRAWMA) kwenye kipengele cha Nyimbo Bora ya Kiafrika kupitia Track yake ya MdogoMdogo, Tuzo hizo zilizofanyika huko nchini Jamaica siku ya tarehe 4 mwezi huu. Kupitia Mitandao wa kijamii diamond aliandika “It always seems impossible until it's Done!...ningependa kuwataarifu Wadau wangu kwamba...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Diamond Platnumz ashinda tuzo nyingine nchini Burundi

Mwaka 2014 Diamond Platnumz amefanikiwa kuifungua vizuri milango ya kimataifa ambayo matunda tayari yameanza kuonekana. Tumeshuhudia akiwa nominated katika tuzo mbalimbali za kimataifa, na baada ya kushinda tuzo ya AFRIMMA hivi karibuni Platnumz ameshinda tuzo nyingine nchini Burundi kupitia hit yake ya ‘Number 1’. Platnumz amewashukuru mashabiki, wadau na vyombo vya habari kwa kumuwezesha kushinda […]

 

10 years ago

Bongo5

Diamond atajwa kuwania tuzo zingine Nigeria, ‘The African Entertainment Legend Awards’ (AELA)

Diamond Platnumz a.k.a Baba Tiffah yuko kwenye orodha ya waliotajwa kuwania tuzo zingine za nchini Nigeria, ‘The African Entertainment Legend Awards (AELA)’. Platnumz ametajwa kuwania vipengele viwili, ‘African Legends Artist of The Year’ akichuana na Dbanj, P-Square, Faze, Reggie Rockstone, Asa, R2bees pamoja na 2face. Kipengele cha pili anachowania ni ‘Best collabolation’ kupitia wimbo wake […]

 

11 years ago

Dewji Blog

Obedi Laiser wa kampuni ya Tigo Tanzania ashinda tuzo ya kimataifa katika sherehe ya wafanyakazi Mjini Miami

 

1B0A2391

  Meneja wa Fedha na Usalama wa Tigo Pesa Bw. Obedi Laiser na viongozi wa Millicom nchini Marekani.

1B0A2436

Tigo leo yamkaribisha  nyumbani Tanzania, Bwana Obedi Laiser, baada ya kushinda tuzo ya mfanyakazi wa kimataifa katika tukio la kifahari wiki iliyopita mjini Miami,USA iliyoandialiwa na Milicom,Kampuni ya mawasiliano na vyombo vya Habari kutiko Uswizi ,inayo imiliki Tigo/Kampuni ambayo inamiliki Tigo.

Bwana Laiser aliteuliwa na Mkurugenzi mkuu wa Tigo Bwana Diego Gutierrez kwa kazi yake...

 

10 years ago

Bongo5

Diamond ashinda tuzo nyingine Nigeria ‘The Future Awards Africa’

Diamond Platnumz ameongeza idadi ya tuzo za kimataifa alizopata mwaka huu 2014 baada ya kushinda tuzo nyingine ya ‘The Future Awards Africa’ (TFAA) zilizotolewa huko Lagos, Nigeria Dec.7 Kupitia Instagram mwimbaji huyo wa single mpya ‘Ntampata wapi’ ameshare picha ya tuzo na kuandika: “Thanks God, we have Cheated another one on The Future Awards Africa […]

 

10 years ago

Michuzi

Diamond Platnumz alamba tuzo nyingine huko Nigeria

Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz jana usiku aliweza kunyakua tuzo nyingine kutoka The Future Awards Africa 2014 huko jijini Lagos,Nigeria. Amelamba tuzo ya The Future Awards Africa Prize in Entertainment.

 

10 years ago

GPL

DIAMOND, VANESSA WASHINDA TUZO ZA 2014 AFRIMA HUKO NIGERIA

Peter Msechu akiwa amebeba tuzo ya Diamond Platnumz. Peter Msechu, Vanessa Mdee na Victoria Kimani katika pozi huko Lagos, Nigeria. MWANAMUZIKI Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' usiku wa kuamkia leo ametwaa tuzo ya Best Male Artist in East Africa kutoka Tuzo za 2014 AFRIMA zilizofanyika huko jijini Lagos nchini Nigeria. Mwanadada Vanessa Mdee yeye ameshinda tuzo ya Best Female… ...

 

10 years ago

Bongo5

Diamond ashinda tuzo ya ‘Worldwide Act Africa/India’ kwenye MTV EMA

Diamond Platnumz ameiletea sifa na heshima kubwa Tanzania kwa mara nyingine, kwa kushinda tuzo kubwa ya ‘Best Worldwide Act Africa/India’ kwenye tuzo za MTV Europe Music Awards 2015 zilizotolewa Milan, Italy usiku wa Jumapili Oct.25. Hii ni kwa mara ya kwanza kwenye historia ya tuzo za MTV EMA toka vipengele vya Worldwide Act vilipoongezwa kwenye […]

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND ASHINDA TUZO YA BEST AFRICAN ENTERTAINER ..NIYA 14 NDANI YA MWAKA 2014 PEKEE

Promoter  " DMK " Baada ya kuipokea Tuzo Hiyo ya IRAWMA kwa niaba ya  DIAMOND  PLATNUMZ


Diamond hakuweza kufika kwenye tuzo hizo zilizofanyikia Florida kwa mwaka huu kutokana na tarehe kugongana na shughuli zake za kazi.Diamond ameweza kujishindia tuzo 14 mwaka huu pekee ikiwa ni pamoja na Tuzo 7 za Kilimanjaro Award na 7 za kimataifa.Bwana "DMK" amepokea Tuzo hiyo  kwa niaba ya Msanii Diamond na kwasasa Tuzo hiyo iko Njiani Kuelekea Tanzania.Mungu azidi kumjalia afya Njema Mwanamuziki huyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani