Obedi Laiser wa kampuni ya Tigo Tanzania ashinda tuzo ya kimataifa katika sherehe ya wafanyakazi Mjini Miami
Meneja wa Fedha na Usalama wa Tigo Pesa Bw. Obedi Laiser na viongozi wa Millicom nchini Marekani.
Tigo leo yamkaribisha nyumbani Tanzania, Bwana Obedi Laiser, baada ya kushinda tuzo ya mfanyakazi wa kimataifa katika tukio la kifahari wiki iliyopita mjini Miami,USA iliyoandialiwa na Milicom,Kampuni ya mawasiliano na vyombo vya Habari kutiko Uswizi ,inayo imiliki Tigo/Kampuni ambayo inamiliki Tigo.
Bwana Laiser aliteuliwa na Mkurugenzi mkuu wa Tigo Bwana Diego Gutierrez kwa kazi yake...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog02 Dec
Tigo yashinda tuzo ya huduma bora ya kibunifu katika kutuma na kupokea fedha kimataifa
Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez.
Tigo Tanzania imeshinda tuzo ya “Huduma Bora ya Kibunifu” kutokana na huduma yake ya kutuma na kupokea fedha kimataifa kati ya Tigo Pesa Tanzania na Tigo Cash Rwanda katika kongamano na maonyesho ya kimawasiliano barani Afrika ijulikanayo kama AfricaCom iliyofanyika Cape Town, Afrika Kusini hivi karibuni.
Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez, alisema kwamba tuzo hii ni matokeo ya kuwa na mwaka wenye mafanikio tele katika huduma zake...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-gxpBZRkg108/VewplY3XjwI/AAAAAAAH2mM/UzVFroqmnzY/s72-c/001..jpg)
WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAPATIWA MAFUNZO YA UREMBO NA MSHAURI WA KITAALAMU WA KAMPUNI YA KIMATAIFA YA MARY KAY
![](http://2.bp.blogspot.com/-gxpBZRkg108/VewplY3XjwI/AAAAAAAH2mM/UzVFroqmnzY/s640/001..jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-3uehtsN8sSk/Vewpn4t-RuI/AAAAAAAH2mU/yMWdbiQWhkg/s640/003..jpg)
10 years ago
Dewji Blog22 Aug
Kampuni ya Tanzania Distilleries Ltd (TDL) yazindua kinywaji kipya cha kimataifa, Fyfe’s Scotch Whisky katika soko la Tanzania
Mkurugenzi mtendaji wa TDL David Mgwasa akielezea na kutoa ufafanuzi wa Kinywaji kipya aina ya Fyfe’s.Kampuni ya Tanzania distilleries ltd (tdl) Juzi Tarehe 20 mwezi wa 8 2014 imefanya uzinduzi wa kinywaji chake kipaya aina ya Fyfe’s katika hoteli ya Serena, Kinywaji hicho ambacho uhalisia wake na uzindikaji ni wa nchini scotland.Mkurugenzi wa TDL David Mgwasa amewaomba waTanzania kukipokea kinywaji hicho kwenye soko la vimiminika kwani kina ubora wa hali ya juu na kimetengenezwa kwa...
10 years ago
Vijimambo07 Oct
DIAMOND ASHINDA TUZO ZINGINE ZA KIMATAIFA HUKO NCHINI JAMAICA.
![](http://api.ning.com/files/l4W8jVdh3X8S*AUa5JCXB7xviN1I-yMnMthFlca7XXqNnq-PlKQseq7rbwbtpt5RL79VefEWXuESPr4LVwzYfhKjKsxyOx7V/ddddd.jpg?width=750)
10 years ago
Dewji Blog23 Jul
Tigo yampongeza msanii Diamond Platnumz kwa kushinda tuzo ya Kimataifa
Meneja wa huduma ya Tigo music, Balla Shareeph akiongea na waandishi wa habari kwenye mkutano wa kumpongeza msanii Nasibu Abdul maarufu ‘Diamond Platnumz’ kwa kupata tuzo ya msanii bora wa Afrika za MTV 2015 zilizofanyika mjini Durban, Afrika Kusini, Kampuni ya Tigo ilidhamini tukio hilo jana jijini Dar Es Salaam.
Msanii Nasibu Abdul maarufu ‘Diamond Platnumz’ akiongea na waandishi wa habari kwenye mkutano wa kumpongeza kushinda tuzo ya msanii bora wa Afrika za MTV 2015 zilizofanyika mjini...
10 years ago
Dewji Blog08 Aug
Kampuni ya Tigo yafungua Duka jipya la kisasa Sumbawanga Mjini
Katibu tawala mkoa wa Rukwa, ndugu Smythies Pangisa(kulia) akikata utepe ikiwa ni ishara rasmi ya uzinduzi wa duka la Tigo lililopo Sumbawanga mjini, kushoto ni Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Kusini Jackson Kiswaga na katikati ni meneja wa operesheni kwa wateja Tigo kanda ya kusini, Laverty Khana.
Meneja wa operesheni kwa wateja Tigo kanda ya kusini, Laverty Khana(katikati) akitoa maelekezo kwa mgeni rasmi Katibu tawala mkoa wa Rukwa ndugu Smythies Pangisa jinsi watakavyo hudumia wateja,...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-E2xl-p4U6FE/U-m33rmaSvI/AAAAAAAF-0M/kl0FtnLqvsE/s72-c/unnamed.jpg)
Tigo yaibuka kidedea katika sherehe za Nanenane mkoani Lindi
![](http://2.bp.blogspot.com/-E2xl-p4U6FE/U-m33rmaSvI/AAAAAAAF-0M/kl0FtnLqvsE/s1600/unnamed.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-PEuGV1ylMeY/U-m311_eaVI/AAAAAAAF-0E/bcTZq9YGczI/s1600/unnamed+(2).jpg)
11 years ago
Dewji Blog17 Jun
Onyo kuhusu utapeli wa ajira katika kampuni ya Tigo
Tumepata taarifa kwamba kuna baadhi ya watu wasiowaaminifu wanaojifanya wafanyakazi wa kampuni ya Tigo na kutumia mwanya huo kuwadanganya wananchi kujaza fomu feki kama njia ya kupata ajira katika kampuni yetu. Inadaiwa kwamba kila fomu inatozwa kiasi cha TZS 20,000 (Shilingi elfu ishirini).
Tigo inapenda kuwataarifu wale wote wanaotafuta ajira katika kampuni yetu na umma kwa ujumla kwamba hakuna fomu za aina hii zinazotolewa kutoka mawakala, matawi au idara yoyote ya kampuni yetu....
11 years ago
Michuzi29 Jun
LULU, MILARD AYO, KING MAJUTO WAIBUKA VINARA KATIKA SHEREHE ZA UTOAJI TUZO ZA WATU KATIKA HOTELI YA SERENA