WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAPATIWA MAFUNZO YA UREMBO NA MSHAURI WA KITAALAMU WA KAMPUNI YA KIMATAIFA YA MARY KAY
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakichagua vipodozi mbalimbali vya kampuni ya kimataifa inayojishughulisha na masuala ya urembo (Mary Kay) wakati wa mafunzo mafupi ya jinsi ya kujiremba kwa kutumia vipodozi hivyo.Mafunzo hayo yaliandaliwa na Idara ya Rasilimali watu ya kampuni hiyo mahususi kwa wafanyakazi wake. Jacqueline Macha ambaye ni mshauri wa kitaalamu wa kampuni ya kimataifa inayojishughulisha na masuala ya urembo ya Mary Kay akiwaonesha wafanyakazi wa Vodacom Tanzania...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboKAMPUNI YA UREMBO YA MARY KAY, YATOA DARASA KWA WAFANYAKAZI WA KIKE WA VODACOM KUHUSU MATUMIZI YA VIPODOZI
9 years ago
GPLWAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAPATIWA MAFUNZO YA UREMBO
10 years ago
MichuziBAADHI YA MAOFISA WA JESHI LA POLISI NCHINI WAPATIWA MAFUNZO MAALUM NA VODACOM TANZANIA
10 years ago
Vijimambo26 Jan
VIKUNDI VYA BENKI ZA KIJAMII"VICOBA"WAPATIWA MAFUNZO MAALUMU NA VODACOM TANZANIA
10 years ago
GPLBAADHI YA MAOFISA WA JESHI LA POLISI NCHINI WAPATIWA MAFUNZO MAALUM NA VODACOM TANZANIA
10 years ago
MichuziWAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAENDELEA KUNUFAIKA NA MAFUNZO YA JINSIA
10 years ago
GPLVIKUNDI VYA BENKI ZA KIJAMII"VICOBA"WAPATIWA MAFUNZO MAALUMU NA VODACOM TANZANIA
10 years ago
GPLWAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAENDELEA KUNUFAIKA NA MAFUNZO YA JINSIA
11 years ago
GPLWAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAANDALIWA FUTARI NA IDARA YA RASILIMALI WATU YA KAMPUNI HIYO