Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BAADHI YA MAOFISA WA JESHI LA POLISI NCHINI WAPATIWA MAFUNZO MAALUM NA VODACOM TANZANIA

Meneja huduma Vodacom Tanzania,Simon Martin,akitoa mafunzo kwa baadhi ya jeshi la polisi makao Makuu ya Trafiki Dar es Salaam juzi,jinsi ya matumizi ya simu za mkononi kwa kutumia Intaneti na kumiliki simu bila ya kuazimana.  Mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani nchini Kamanda Mohamed Mpinga(kushoto)akimuuliza swali Meneja huduma wa Vodacom Tanzania, Simon Martin(kulia) wakati alipokuwa akitoa mafunzo maalumu kwa baadhi ya Maofisa wa jeshi la polisi makao Makuu ya Trafiki Dar es Salaam...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BAADHI YA MAOFISA WA JESHI LA POLISI NCHINI WAPATIWA MAFUNZO MAALUM NA VODACOM TANZANIA‏

Mene jahuduma Vodacom Tanzania,Simon Martin,akitoa mafunzo kwa baadhi ya jeshi la polisi makao Makuu ya Trafiki Dar es Salaam juzi,jinsi ya matumizi ya simu za mkononi kwa kutumia Intaneti na jinsi ya kumiliki simu bila ya kuazimana.…

 

10 years ago

GPL

JESHI LA POLISI NA VODACOM TANZANIA WAENDELEZA MAFUNZO SHULE ZA MSINGI JIJINI

Ofisa polisi wa Usalama Barabarani (CPL) Rashid Msuya akiwafundisha wanafunzi wa Shule ya Msingi Mapambano Sinza jijini Dar es Salaam jinsi ya kuvuka barabara kwa kutumia alama za barabarani, ikiwa ni mwendelezo wa  kuadhimisha siku ya Afya na Usalama kazini Duniani. Hafla hiyo iliandaliwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika shule hapo. Wanafunzi wa Shule ya Msingi Msasani A na B ya jijini Dar es Salaam,wakimsikiliza...

 

9 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAPATIWA MAFUNZO YA UREMBO

Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakichagua vipodozi mbalimbali vya kampuni ya kimataifa inayojishughulisha na masuala ya urembo (Mary Kay) wakati wa mafunzo mafupi ya jinsi ya kujiremba kwa kutumia vipodozi hivyo. Mafunzo hayo yaliandaliwa na Idara ya Rasilimali watu ya kampuni hiyo mahususi kwa wafanyakazi wake. " width="800"]Jacqueline Macha ambaye ni mshauri wa kitaalamu wa kampuni ya kimataifa inayojishughulisha na...

 

10 years ago

Vijimambo

VIKUNDI VYA BENKI ZA KIJAMII"VICOBA"WAPATIWA MAFUNZO MAALUMU NA VODACOM TANZANIA

Baadhi ya waratibu mbalimbali wa Vikundi vya Benki za Kijamii VIKOBA wakimsikiliza Meneja huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Simon Martin,alipokuwa akitoa mafunzo juu ya matumizi ya simu za mkononi kwa kutumia Intaneti,mafunzo hayo yalifanyika makao makuu ya vikundi hivyo vya Benki za kijamii jijini Dar es Salaam yakiwa na lengo la kuwawezesha kujua namna ya kutumia mawasiliano katika kuboresha shughuli zao.Meneja huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Simon Martin(kushoto)akimwelekeza...

 

9 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAPATIWA MAFUNZO YA UREMBO NA MSHAURI WA KITAALAMU WA KAMPUNI YA KIMATAIFA YA MARY KAY

  Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakichagua vipodozi mbalimbali vya kampuni ya kimataifa inayojishughulisha na masuala ya urembo (Mary Kay) wakati wa mafunzo mafupi  ya jinsi ya kujiremba kwa kutumia vipodozi hivyo.Mafunzo hayo yaliandaliwa na Idara ya Rasilimali watu ya kampuni hiyo mahususi kwa wafanyakazi wake. Jacqueline Macha ambaye ni mshauri wa kitaalamu wa kampuni ya kimataifa inayojishughulisha na masuala ya urembo ya Mary Kay akiwaonesha wafanyakazi wa Vodacom Tanzania...

 

10 years ago

GPL

VIKUNDI VYA BENKI ZA KIJAMII"VICOBA"WAPATIWA MAFUNZO MAALUMU NA VODACOM TANZANIA‏

Baadhi ya waratibu mbalimbali wa Vikundi vya Benki za Kijamii VIKOBA wakimsikiliza  Meneja huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Simon Martin,alipokuwa akitoa mafunzo juu ya matumizi ya simu za mkononi kwa kutumia Intaneti,mafunzo hayo yalifanyika makao makuu ya vikundi hivyo vya Benki za kijamii  jijini Dar es Salaam yakiwa na lengo la kuwawezesha kujua namna ya kutumia mawasiliano katika kuboresha shughuli zao.… ...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI, IGP ERNEST MANGU KUFUNGA MAFUNZO YA UONGOZI WA MAGEREZA DARAJA LA PILI, JIJINI DAR

Katika jitihada zinazofanywa na Uongozi wa Jeshi la Magereza katika kujenga na kudumisha mahusiano baina ya Askari na Maafisa wote wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama, tarehe 22 Juni, 2015 saa 3:00 asubuhi Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest J. Mangu(pichani) anatarajia kufunga Mafunzo ya Uongozi wa Magereza Daraja la Pili, katika Chuo cha Maafisa Magereza Ukonga, Jijini Dar es Salaam.
Mafunzo hayo ambayo yamechukua muda wa miezi minne yalilenga kuwaandaa Maafisa kuwa viongozi wa kati...

 

10 years ago

Michuzi

MAAFISA, ASKARI NA WATUMISHI RAIA WA JESHI LA MAGEREZA WAPATIWA MAFUNZO YA JINSIA, ROMBO GREEN VIEW HOTEL - JIJINI DAR

Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akitoa hotuba fupi kwa niaba ya Kamishna Jenerali wa Magereza katika Ufunguzi wa Mafunzo ya Jinsia kwa Maafisa, Askari na Watumishi raia wa Jeshi la Magereza, leo Desemba 29, 2014 katika Ukumbi wa Rombo Green View Hotel. Mafunzo hayo yanafanyika kwa siku mbili ambapo yatafungwa rasmi kesho Desemba 30, 2014(kushoto) ni Mkuu wa Magereza Mkoani Morogoro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Kato Rugainunura(wa pili kulia) ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani