Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tigo yaibuka kidedea katika sherehe za Nanenane mkoani Lindi

  Makamu wa Rais Dkt  Mohamed Gharib Bilal (kulia) akimzawadia tuzo Meneja wa Tigo Kanda ya Kusini Bw. Daniel Mainoya pale kampuni hiyo ya simu ilipoibuka mshindi wa nafasi ya kwanza kwa kundi la taasisi za mawasiliano katika maonesho ya Nanenane yaliyomalizika hivi karibuni mkoani Lindi.Bw. Daniel  Mainoya na mfanyakazi mwenzake Joe wakionyesha cheti cha ushiriki pamoja na kombe la mshindi wa nafasi ya kwanza kwa kundi la taasisi za mawasiliano katika maonesho ya Nanenane kitaifa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Tigo yaibuka kidedea Nanenane mkoani Lindi

1

Makamu wa Rais, Mohamed Gharib Bilal (kulia) akimzawadia tuzo Meneja wa Tigo Kanda ya Kusini Bw. Daniel Mainoya pale kampuni hiyo ya simu ilipoibuka mshindi wa nafasi ya kwanza kwa kundi la taasisi za mawasiliano katika maonesho ya Nanenane yaliyomalizika hivi karibuni mkoani Lindi.

3

Mainoya na mfanyakazi mwenzake Joe wakionyesha cheti cha ushiriki pamoja na kombe la mshindi wa nafasi ya kwanza kwa kundi la taasisi za mawasiliano katika maonesho ya Nanenane kitaifa yaliyomalizika hivi...

 

11 years ago

Michuzi

Mama Kikwete katika sherehe za kutimiza miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani lindi

 Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi anayewakilisha Wilaya ya Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akimnadi Mgombea wa Udiwani wa Kata ya Kiwalala kupitia CCM, Bwana Shineni Hamis Zahoro wakati wa sherehe za miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi zilizofanyika kimkoa katika kijiji cha Kiwalala terehe 1.2.2014. .  Mama Kikwete akimwaga sera za CCM  Kicheko  Ngoma ya Tambiko inayochezwa na wananchi wa kabila la wamakonde nayo ilikuwa ni kivutio tosha wakati wa sherehe za...

 

10 years ago

Dewji Blog

Benki ya Maendeleo ya Kilimo yashiriki Nanenane Kitaifa mkoani Lindi

1

Mmoja wa wafanyakazi wa benki ya Maendeleo ya Wakulima, Geofrey Mtawa akizungumza na moja ya wadau waliotembelea banda lao katika maonyesho ya Nanenane.

Na Mwandishi wetu

Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania inashiriki maonesho ya kilimo ya Nanenane kitaifa kwa mara ya kwanza mkoani Lindi mwaka huu kwa lengo la kutambulisha huduma zake kwa wadau wake wakuu, wakulima.

Katika maonesho hayo yaliyofunguliwa rasmi jana jumanne na Waziri Mkuu Mh. Mizengo Kayanza Peter Pinda, benki hiyo inatoa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) yafanya Bonanza la Nanenane mkoani Lindi

1

Kaimu Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, Bi. Miriam Mtima akizungumza wakati wa kufungua bonanza la Nanenane lilioandaliwa na benki ya Maendeleo ya Wakulima (TADB), jana mkoani Lindi.

2

Mkurugenzi wa Mikopo wa benki ya Maendeleo ya Wakulima, Bwana Robert Paschal akitoa hotuba ya ufunguzi wakati wa uzinduzi wa bonanza la Nanenane katika viwanja vya Ilulu mkoani Lindi jana.

4

Kaimu Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, Bi Miriam Mtima akipiga mpira kuashiria ufunguzi wa bonanza la...

 

11 years ago

Michuzi

PSPF YASHIRIKI MAONYESHO YA WAKULIMA NANENANE MKOANI LINDI KWA MAFANIKIO

MKUU WA WILAYA YA LINDI MJINI DOKTA HAMID NASSORO (KATIKATI)  AKISAINI KITABU CHA WAGENI ALIPOTEMBELEA BANDA LA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF KWENYE MAONYESHO YA WAKULIMA NANENANE MKOANI LINDI, (WAPILI KULIA) NI AFISA MAKOSO WA PSPF RAHMA NGASSA. (KUSHOTO) NI OMARI KALILO AFISA MFAWIDHI WA PSPF MKOA WA LINDI. 
BALOZI WA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF, MRISHO MPOTO “MJOMBA” AKIFURAHIA JAMBO NA MENEJA MASOKO WA PSPF, RAHMA NGASSA WAKATI AKITOA BURUDANI KWENYE MAONYESHO YA WAKULIMA NANENANE MKOANI LINDI.

 

10 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA NIC LASHIRIKI MAONYESHO YA NANENANE MKOANI LINDI

ni7
Mkurugenzi wa Bima za Maisha Shirika la Bima la Taifa NIC Bi. Rose Lawa wa pili kutoka kulia na Elisante Maleko Kaimu Mkurugenzi wa masoko na Huduma kwa wateja kushoto pamoja na maofisa wengine wa shirika hilo wakiwa wakiwa na baadhi ya wateja waliojipatia bima ya maisha ya elimu ya katika banda lao kwenye maonyesho ya Nanenane yanayoendelea mkoani Lindi shirika hilo linashiriki katika maonyesho hayo.ni5Mkurugenzi wa Bima za Maisha Shirika la Bima la Taifa NIC Bi. Rose Lawa wa pili kutoka...

 

10 years ago

Michuzi

SUMAJKT YAIBUKA KIDEDEA KATIKA SEKTA YA KILIMO, SABASABA

SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA SUMAJKT LIMEIBUKA KIDEDEA KATIKA SEKTA YA KILIMO NA UFUGAJI KATIKA MAONYESHO YA 39 YA KIMATAIFA YA SABASABA. 
WATEMBELEE KATIKA BLOGU YAO www.sumajkt.blogspot.com na pia TOVUTU YAO www.sumajkt.go.tz

 

10 years ago

Michuzi

TASAF YAIBUKA KIDEDEA KATIKA UZINGATIAJI WA TARATIBU ZA MANUNUZI (2013/14)

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii nchini TASAF umekuwa Mshindi wa kwanza miongoni mwa taasisi za serikali na mashirika ya umma yanayofanya manunuzi makubwa nchini na hivyo kutunukiwa tuzo ya uzingatiaji wa taratibu na kanuni za manunuzi kwa kipindi cha mwaka 2013/2014.
TASAF imekuwa miongoni mwa taasisi zilizoshinda tuzo ya ubora wa manunuzi kwa nchi za Afrika Mashariki kwa mwaka 2013/2014 na kukabidhiwa tuzo katika hafla iliyofanyika mjini Nairobi nchini Kenya ambako Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani