SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA NIC LASHIRIKI MAONYESHO YA NANENANE MKOANI LINDI
Mkurugenzi wa Bima za Maisha Shirika la Bima la Taifa NIC Bi. Rose Lawa wa pili kutoka kulia na Elisante Maleko Kaimu Mkurugenzi wa masoko na Huduma kwa wateja kushoto pamoja na maofisa wengine wa shirika hilo wakiwa wakiwa na baadhi ya wateja waliojipatia bima ya maisha ya elimu ya katika banda lao kwenye maonyesho ya Nanenane yanayoendelea mkoani Lindi shirika hilo linashiriki katika maonyesho hayo.Mkurugenzi wa Bima za Maisha Shirika la Bima la Taifa NIC Bi. Rose Lawa wa pili kutoka...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-X8UhpitKWWw/VNOG8ektyPI/AAAAAAAHCCY/azgbiqrP1ao/s72-c/IMG_6402.jpg)
SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC) LAKABIDHIWA MRADI WA USIMIKAJI WA HUDUMA YA MKONGO WA TAIFA NA KAMPUNI YA SIMU TANZANIA (TTCL)
![](http://3.bp.blogspot.com/-X8UhpitKWWw/VNOG8ektyPI/AAAAAAAHCCY/azgbiqrP1ao/s1600/IMG_6402.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-69jpcFCMyl0/VNOG80KQAfI/AAAAAAAHCCg/bqVyUsveN2s/s1600/IMG_6404.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Mn0-KAy7Q3w/VNOG9FDwWoI/AAAAAAAHCCo/onxYwiqfNwI/s1600/IMG_6415.jpg)
10 years ago
Dewji Blog06 Feb
Matawi ya Shirika la Bima (NIC) nchini kote yaunganishwa na mkongo wa mawasiliano wa taifa
Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa NIC Bw. Justin Mwandu akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma za shirika hilo kupitia mkongo wa taifa wa mawasiliano ambapo matawi yote nchini ya shirika hilo yameunganishwa pamoja na makao makuu ili kurahisisha huduma za bima zinazotolewa na Shirika hilo nchini kote, Amesema kwa sasa baada ya Kampuni ya simu ya TTCL kufanya kazi nzuri ya kuunganisha mtandao wa huduma za NIC nchini kote kupitia mkongo wa mawasiliano wa taifa mteja anaweza kuhudumiwa...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ikh6Pr542uo/VTZrkayg5pI/AAAAAAAHSRU/4n2Yodj1hxc/s72-c/7.jpg)
SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC) LAUZA NYUMBA KWA WAKALA WA MAJENGO YA SERIKALI.
![](http://4.bp.blogspot.com/-ikh6Pr542uo/VTZrkayg5pI/AAAAAAAHSRU/4n2Yodj1hxc/s1600/7.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-nG0BuuwQvzU/VTZrj6UWejI/AAAAAAAHSRQ/934aB6QA3g4/s1600/6.jpg)
11 years ago
Michuzi06 Aug
PSPF YASHIRIKI MAONYESHO YA WAKULIMA NANENANE MKOANI LINDI KWA MAFANIKIO
BALOZI WA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF, MRISHO MPOTO “MJOMBA” AKIFURAHIA JAMBO NA MENEJA MASOKO WA PSPF, RAHMA NGASSA WAKATI AKITOA BURUDANI KWENYE MAONYESHO YA WAKULIMA NANENANE MKOANI LINDI.
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-mY3_Ij3IJEE/Vc0J6SmJlvI/AAAAAAAHwdM/lT3T5FuPmNc/s72-c/unnamed%2B%252827%2529.jpg)
Shirika La Bima La Taifa (NIC) ladhamini kipindi cha “Stars Kwanza Tusonge Mbele” kilichobuniwa na 93.7 EFM radio na TFF
![](http://1.bp.blogspot.com/-mY3_Ij3IJEE/Vc0J6SmJlvI/AAAAAAAHwdM/lT3T5FuPmNc/s640/unnamed%2B%252827%2529.jpg)
10 years ago
Dewji Blog23 Oct
PAC yajadili hesabu za mwaka wa fedha wa 31 Desemba, 2012 baada ya ripoti ya CAG, kwa shirika la bima la taifa (NIC)
Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Zitto Kabwe akiongoza kamati hiyo siku ya tarehe 23 Oktoba, 2014 katika Ofisi ndogo ya Bunge jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujadili hesabu za mwaka wa fedha wa 31 Desemba, 2013 kwa Shirika la Bima la Taifa (NIC) baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG).
Mbunge wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Ismail Rage akichangia mada wakati wa kamati hiyo siku ya tarehe 23 Oktoba, 2014 katika Ofisi ndogo ya Bunge...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Gw9jzbNT4rM/VEkViYtqFAI/AAAAAAAGs_Q/Ju_LZ8YQLoM/s72-c/unnamed.jpg)
KAMATI YA HESABU ZA SERIKALI (PAC) YAJADILI HESABU ZA MWAKA WA FEDHA WA 31 DESEMBA, 2012 BAADA YA RIPOTI YA CAG, KWA SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Gw9jzbNT4rM/VEkViYtqFAI/AAAAAAAGs_Q/Ju_LZ8YQLoM/s1600/unnamed.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-dxcZvVkq42E/VEkVgfeuyaI/AAAAAAAGs-s/dVCHYTLPBPc/s1600/unnamed%2B(1).jpg)
10 years ago
Dewji Blog05 Aug
Pinda afungua maonyesho ya nanenane kitaifa Lindi
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua maonyesho ya Nanenane kitaifa kwenye uwanja wa Ngongo Lindi Agosti 4, 2015. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa lindi, Mwantumu Mahiza na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
11 years ago
Dewji Blog11 Aug
Tigo yaibuka kidedea Nanenane mkoani Lindi
Makamu wa Rais, Mohamed Gharib Bilal (kulia) akimzawadia tuzo Meneja wa Tigo Kanda ya Kusini Bw. Daniel Mainoya pale kampuni hiyo ya simu ilipoibuka mshindi wa nafasi ya kwanza kwa kundi la taasisi za mawasiliano katika maonesho ya Nanenane yaliyomalizika hivi karibuni mkoani Lindi.
Mainoya na mfanyakazi mwenzake Joe wakionyesha cheti cha ushiriki pamoja na kombe la mshindi wa nafasi ya kwanza kwa kundi la taasisi za mawasiliano katika maonesho ya Nanenane kitaifa yaliyomalizika hivi...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10