Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SUMAJKT YAIBUKA KIDEDEA KATIKA SEKTA YA KILIMO, SABASABA

SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA SUMAJKT LIMEIBUKA KIDEDEA KATIKA SEKTA YA KILIMO NA UFUGAJI KATIKA MAONYESHO YA 39 YA KIMATAIFA YA SABASABA. 
WATEMBELEE KATIKA BLOGU YAO www.sumajkt.blogspot.com na pia TOVUTU YAO www.sumajkt.go.tz

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TPDC yaibuka kidedea kwenye maonesho ya Sabasaba

Greyson Mwase na Malik Munisi
Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC) limeibuka kidedea na kukabidhiwa kikombe cha ushindi katika kundi la mashirika ya petroli na mafuta nchini baada ya kuyabwaga chini mashirika megine mengi yaliyokuwa yanawania kikombe hicho katika maonesho ya kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere vilivyopo jijini Dar es Salaam.
Kikombe hicho kilikabidhiwa na mgeni rasmi wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo Makamu wa Pili wa Rais wa...

 

10 years ago

Vijimambo

CRDB YAIBUKA KIDEDEA KATIKA TUZO ZA NBAA UPANDE WA MABENKI

 Naibu waziri wa fedha Adam Malima akimkabidhi meneja wa fedha wa benki ya CRDB Sosteness Biseko  tuzo  ya NBAA ya ushindi  katika  uandaaji wa taarifa bora za fedha mwaka 2013-2014,jumla ya benki tisa zilishiriki ambapo Benki ya CRDB iliibuka mshindi wa kwanza katika kundi la mabenki, hafla hiyo ilifanyika juzi katika hotel ya Mount Meru jijini Arusha
*********
Mashirika binafsi ,taasisi na idara mbalimbali za serikali zimehimizwa   kushiriki katika mashindano ya tuzo zinazotolewa na bodi ya...

 

10 years ago

Michuzi

TASAF YAIBUKA KIDEDEA KATIKA UZINGATIAJI WA TARATIBU ZA MANUNUZI (2013/14)

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii nchini TASAF umekuwa Mshindi wa kwanza miongoni mwa taasisi za serikali na mashirika ya umma yanayofanya manunuzi makubwa nchini na hivyo kutunukiwa tuzo ya uzingatiaji wa taratibu na kanuni za manunuzi kwa kipindi cha mwaka 2013/2014.
TASAF imekuwa miongoni mwa taasisi zilizoshinda tuzo ya ubora wa manunuzi kwa nchi za Afrika Mashariki kwa mwaka 2013/2014 na kukabidhiwa tuzo katika hafla iliyofanyika mjini Nairobi nchini Kenya ambako Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF...

 

11 years ago

Michuzi

Tigo yaibuka kidedea katika sherehe za Nanenane mkoani Lindi

  Makamu wa Rais Dkt  Mohamed Gharib Bilal (kulia) akimzawadia tuzo Meneja wa Tigo Kanda ya Kusini Bw. Daniel Mainoya pale kampuni hiyo ya simu ilipoibuka mshindi wa nafasi ya kwanza kwa kundi la taasisi za mawasiliano katika maonesho ya Nanenane yaliyomalizika hivi karibuni mkoani Lindi.Bw. Daniel  Mainoya na mfanyakazi mwenzake Joe wakionyesha cheti cha ushiriki pamoja na kombe la mshindi wa nafasi ya kwanza kwa kundi la taasisi za mawasiliano katika maonesho ya Nanenane kitaifa...

 

10 years ago

Michuzi

Veta yaibuka mshindi wa kwanza katika eneo la Uendelezaji Ujuzi na Utoaji Mafunzo, Sabasaba

Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Mhandisi Zebadiah Moshi akionesha cheti cha ushindi wa kwanza wa VETA katika eneo la Uendelezaji Ujuzi na Utoaji Mafunzo katika Maonesho ya 39 Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) baada ya kutunukiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dk Jakaya Mrisho Kikwete (wa pili kutoka kushoto) kwenye sherehe za ufunguzi tarehe 3 Julai 2015. Wengine kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Biashara Tanzania Mama Jacqueline Maleko na kulia ni Waziri wa Viwanda na...

 

10 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA SUMAJKT KUSHIRIKI MAONYESHO YA 39 YA KIMATAIFA YA SABASABA.

SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA SUMAJKT LITASHIRIKI KATIKA MAONYESHO YA 39 YA KIMATAIFA YA SABASABA.TUNAWAKARIBISHA KUJA KUTEMBELEA KATIKA BANDA LA SUMAJKT NA KUPATA BIDHAA NA HUDUMA ZENYE UBORA. PIA WAWEZA KUTUTEMBELEA KATIKA BLOGU YETUwww.sumajkt.blogspot.com na pia TOVUTU YETU www.sumajkt.go.tz

 

10 years ago

Dewji Blog

Umoja wa Mataifa waibuka kidedea katika uhabarishaji na utoaji elimu kwenye tuzo za maonyesho ya 39 ya Sabasaba

DSC_0178

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkadhi Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kushoto) cheti na tuzo katika kipengele cha  Uelimishaji bora kupitia Uandishi wa machapisho na mpangilio bora wa maonyesho, baada ya Umoja wa Mataifa kuibuka mshindi wa kwanza katika maonyesho ya 39 ya kimataifa ya biashara ya Sabasaba yalipozinduliwa rasmi. Wanaoshuhudia tukio hilo...

 

10 years ago

GPL

UMOJA WA MATAIFA WAIBUKA KIDEDEA KATIKA UHABARISHAJI NA UTOAJI ELIMU KWENYE TUZO ZA MAONYESHO YA 39 YA SABASABA‏

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kushoto) Cheti na Tuzo katika kipengele cha Uelimishaji Bora kupitia Uandishi wa Machapisho na Mpangilio Bora wa maonyesho, baada ya Umoja wa Mataifa kuibuka mshindi wa kwanza katika maonyesho ya 39 ya kimataifa ya biashara ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani