Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TASAF YAIBUKA KIDEDEA KATIKA UZINGATIAJI WA TARATIBU ZA MANUNUZI (2013/14)

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii nchini TASAF umekuwa Mshindi wa kwanza miongoni mwa taasisi za serikali na mashirika ya umma yanayofanya manunuzi makubwa nchini na hivyo kutunukiwa tuzo ya uzingatiaji wa taratibu na kanuni za manunuzi kwa kipindi cha mwaka 2013/2014.
TASAF imekuwa miongoni mwa taasisi zilizoshinda tuzo ya ubora wa manunuzi kwa nchi za Afrika Mashariki kwa mwaka 2013/2014 na kukabidhiwa tuzo katika hafla iliyofanyika mjini Nairobi nchini Kenya ambako Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SUMAJKT YAIBUKA KIDEDEA KATIKA SEKTA YA KILIMO, SABASABA

SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA SUMAJKT LIMEIBUKA KIDEDEA KATIKA SEKTA YA KILIMO NA UFUGAJI KATIKA MAONYESHO YA 39 YA KIMATAIFA YA SABASABA. 
WATEMBELEE KATIKA BLOGU YAO www.sumajkt.blogspot.com na pia TOVUTU YAO www.sumajkt.go.tz

 

10 years ago

Dewji Blog

Tume ya Utumishi wa Umma yaendelea kuimarisha uzingatiaji wa sheria, kanuni na taratibu za masuala ya ajira

katibu

Naibu Katibu wa Ofisi ya Rais, Tume ya Utumishi wa Umma Bi. Neema Tawale akieleza kwa waandishi wa Habari (Hawapo pichani) kuhusu tathmini ya Tume juu ya uzingatiaji wa sheria,kanuni na taratibu za masuala ya ajira katika utumishi wa uuma, wakati wa mkutano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Kaimu Katibu Msaidizi wa Tume hiyo Bw. John Mbisso.

naibu katibu

Kaimu Katibu Msaidizi wa Ofisi ya Rais, Tume ya Utumishi wa Umma Bw. John Mbisso  akiongea na waandishi wa (Hawapo pichani) kuhusu...

 

10 years ago

Vijimambo

CRDB YAIBUKA KIDEDEA KATIKA TUZO ZA NBAA UPANDE WA MABENKI

 Naibu waziri wa fedha Adam Malima akimkabidhi meneja wa fedha wa benki ya CRDB Sosteness Biseko  tuzo  ya NBAA ya ushindi  katika  uandaaji wa taarifa bora za fedha mwaka 2013-2014,jumla ya benki tisa zilishiriki ambapo Benki ya CRDB iliibuka mshindi wa kwanza katika kundi la mabenki, hafla hiyo ilifanyika juzi katika hotel ya Mount Meru jijini Arusha
*********
Mashirika binafsi ,taasisi na idara mbalimbali za serikali zimehimizwa   kushiriki katika mashindano ya tuzo zinazotolewa na bodi ya...

 

11 years ago

Michuzi

Tigo yaibuka kidedea katika sherehe za Nanenane mkoani Lindi

  Makamu wa Rais Dkt  Mohamed Gharib Bilal (kulia) akimzawadia tuzo Meneja wa Tigo Kanda ya Kusini Bw. Daniel Mainoya pale kampuni hiyo ya simu ilipoibuka mshindi wa nafasi ya kwanza kwa kundi la taasisi za mawasiliano katika maonesho ya Nanenane yaliyomalizika hivi karibuni mkoani Lindi.Bw. Daniel  Mainoya na mfanyakazi mwenzake Joe wakionyesha cheti cha ushiriki pamoja na kombe la mshindi wa nafasi ya kwanza kwa kundi la taasisi za mawasiliano katika maonesho ya Nanenane kitaifa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Chelsea yaibuka kidedea

Didier Drogba ameweza kuisaidia Chelsea kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Shrewsbury.

 

11 years ago

Mwananchi

CCM yaibuka kidedea Kiembesamaki

>Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imemtangaza Mahmoud Thabit Kombo (CCM), kuwa mshindi wa uwakilishi katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kiembesamaki uliofanyika jana mjini Zanzibar.

 

9 years ago

Mwananchi

CCM yaibuka kidedea Ulanga

Chama cha mapinduzi (CCM) kimeibuka kidedea katika uchaguzi wa ubunge Jimbo la Ulanga baada ya mgombea wake, Goodluck Mlinga kupata kura 25,902 sawa na asilimia 69.78 akiwashinda wapinzani wake katika uchaguzi uliofanyika jana wilayani Ulanga mkoa wa Morogoro.

 

9 years ago

Vijimambo

CCM YAIBUKA KIDEDEA JIJINI MWANZA


Stanslaus Mabula akiongea na wanahabari baada ya kutangazwa mshindi wa Ubunge Jimbo la Nyamagana (CCM)
Na George Binagi-GB PazzoMgombea wa Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Nyamagana Mkoani Mwanza ameibuka mshindi wa kiti cha Ubunge katika jimbo hilo kwa kupata kura 81,017 na hivyo kumbwaga aliekuwa mbunge wa jimbo hilo Ezekiel Wenje kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema aliepata kura 79,280.Matokeo hayo yalitangazwa na Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi Jimboni humo ambae pia ni Kaimu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani