Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TPDC yaibuka kidedea kwenye maonesho ya Sabasaba

Greyson Mwase na Malik Munisi
Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC) limeibuka kidedea na kukabidhiwa kikombe cha ushindi katika kundi la mashirika ya petroli na mafuta nchini baada ya kuyabwaga chini mashirika megine mengi yaliyokuwa yanawania kikombe hicho katika maonesho ya kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere vilivyopo jijini Dar es Salaam.
Kikombe hicho kilikabidhiwa na mgeni rasmi wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo Makamu wa Pili wa Rais wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BENKI KUU YAIBUKA KIDEDEA KWENYE MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI

 Wadau wa Benki Kuu wakiwa na furaha baada ya kushinda tuzo kibao katika siku ya mwisho ya Maonesho ya Wiki ya Utumishi katika bustani ya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo. Pamoja naye ni wafanyakazi katika banda hilo Wadau wa Benki Kuu na tuzo zao na vyeti Wadau wakijidai na makombe yao makubwa Tuzo ya Taasisi inayoendeshwa vyemaTuzo ya Banda Bora katika maonesho hayo

 

10 years ago

Michuzi

SUMAJKT YAIBUKA KIDEDEA KATIKA SEKTA YA KILIMO, SABASABA

SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA SUMAJKT LIMEIBUKA KIDEDEA KATIKA SEKTA YA KILIMO NA UFUGAJI KATIKA MAONYESHO YA 39 YA KIMATAIFA YA SABASABA. 
WATEMBELEE KATIKA BLOGU YAO www.sumajkt.blogspot.com na pia TOVUTU YAO www.sumajkt.go.tz

 

10 years ago

Dewji Blog

Umoja wa Mataifa waibuka kidedea katika uhabarishaji na utoaji elimu kwenye tuzo za maonyesho ya 39 ya Sabasaba

DSC_0178

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkadhi Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kushoto) cheti na tuzo katika kipengele cha  Uelimishaji bora kupitia Uandishi wa machapisho na mpangilio bora wa maonyesho, baada ya Umoja wa Mataifa kuibuka mshindi wa kwanza katika maonyesho ya 39 ya kimataifa ya biashara ya Sabasaba yalipozinduliwa rasmi. Wanaoshuhudia tukio hilo...

 

11 years ago

Michuzi

JK AFANYA ZIARA INGINE TENA KWENYE MAONESHO YA SABASABA LEO

 Rais Jakaya Mrisho kikwete akipozi na viongozi na wafanyakazi katika banda la Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) alipofanya ziara ingine tena leo Julai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana na muda Rais Jakaya Mrisho kikwete akipozi na vijana wa Skauti wanaofanya kazi ya  ulinzi wa viongozi alipofanya ziara ingine tena leo Julai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana na muda
 Rais Jakaya Mrisho kikwete akipozi na viongozi na wafanyakazi katika banda...

 

11 years ago

Michuzi

Ankal atembelea banda la PPF kwenye maonesho ya sabasaba leo

Afisa Kanda Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Monica Mbogoni akimuhudumia Ankal wakati alipotembelea banda la PPF katika maonyesho ya Sabasaba. Afisa Kanda Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Monica Mbogoni akimkabidhi taarifa ya michango yake Ankal  wakati alipotembelea banda la PPF kwenye maonyesho ya  38 ya Sabasaba. Pembeni wanaoshuhudia ni wafanyakazi wa mfuko wa Pensheni wa PPF. Kumbukumbu za PPF zinaonesha Ankal ameanza kuchangia mfuko huo toka  mwaka 1994 Meneja...

 

10 years ago

GPL

UMOJA WA MATAIFA WAIBUKA KIDEDEA KATIKA UHABARISHAJI NA UTOAJI ELIMU KWENYE TUZO ZA MAONYESHO YA 39 YA SABASABA‏

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kushoto) Cheti na Tuzo katika kipengele cha Uelimishaji Bora kupitia Uandishi wa Machapisho na Mpangilio Bora wa maonyesho, baada ya Umoja wa Mataifa kuibuka mshindi wa kwanza katika maonyesho ya 39 ya kimataifa ya biashara ya...

 

11 years ago

Michuzi

WIZARA YA NISHATI NA MADINI YAENDELEA KUNG'ARA KWENYE MAONESHO YA SABASABA

 Mtaalamu kutoka  Tanzania Gemmological Centre (TGC) Bw. Prosper Tingo akitoa maelezo kwa wananchi waliotembelea banda la TANSORT Baadhi ya washiriki kutoka Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) na kampuni ya Max- Malipo wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya  kuanza kwa maoneshoMjiolojia kutoka Idara ya Nishati Bw. Habass Ng’ulilapi akielezea sera ya nishati kwa wananchi waliotembelea banda la Wizara.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Dewji Blog

Banda la TIGO lafurika umati wa watu kwenye maonesho ya kimataifa sabasaba

ipp

Watoa huduma kwa wateja wa Kampuni ya Tigo  wakiendelea na huduma zao kwa wateja waliohudhuria kwa wingi banda la Tigo kwenye maonesho wa kimataifa ya sabasaba jijini Dar Es Salaam. ipp ipp ipp ipp ipp Msanii wa bongo fleva Shilole, alikuwa mmoja kati ya waliohudhuria banda la Tigo kwenye maonesho wa kimataifa ya sabasaba jijini Dar Es Salaam.

 

11 years ago

Michuzi

Kaimu Katibu Mkuu atembelea Banda la Wizara kwenye Maonesho ya Sabasaba

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajabu Gamaha akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili kwenye Banda la Maonesho la Wizara katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere ambako Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanafanyika. Wengine wanaoshuhudia ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Bw. Mkumbwa Ally (mwenye suti) na Bw. Mashaka Chikoli, Afisa kutoka Idara ya Sera na Mipango.Balozi Gamaha akizungumza na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani