Diamond ashinda tuzo ya ‘Worldwide Act Africa/India’ kwenye MTV EMA
Diamond Platnumz ameiletea sifa na heshima kubwa Tanzania kwa mara nyingine, kwa kushinda tuzo kubwa ya ‘Best Worldwide Act Africa/India’ kwenye tuzo za MTV Europe Music Awards 2015 zilizotolewa Milan, Italy usiku wa Jumapili Oct.25. Hii ni kwa mara ya kwanza kwenye historia ya tuzo za MTV EMA toka vipengele vya Worldwide Act vilipoongezwa kwenye […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo515 Oct
Diamond kuchuana na Priyanka Chopra kwenye MTV Europe Music Awards, kipengele ni ‘Best Worldwide Act: Africa/India’
10 years ago
Bongo523 Oct
Sauti Sol waibuka ‘Best African Act’ wa MTV EMA, sasa kuwania ‘Worldwide Act’
9 years ago
Bongo527 Oct
Billboard na Dailymail zaripoti ushindi wa Diamond Platnumz kwenye tuzo za MTV EMA
9 years ago
Bongo511 Sep
Cassper Nyovest ajiondoa kuwania nafasi ya kuingia kwenye tuzo za MTV EMA ambazo Diamond ni Nominee!
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-rc14m10Uv9Y/ViaXaJ43YCI/AAAAAAAIBX4/T-_ijDsJ7F8/s72-c/diamondPlatnumz_001_lrg.jpg)
Diamond Platnumz wina the 2015 MTV EMA Best African Act.
![](http://1.bp.blogspot.com/-rc14m10Uv9Y/ViaXaJ43YCI/AAAAAAAIBX4/T-_ijDsJ7F8/s640/diamondPlatnumz_001_lrg.jpg)
9 years ago
Mtanzania27 Oct
Diamond amshinda Miss Dunia tuzo za MTV-EMA
NA MWANDISHI WETU
MKALI WA muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul, maarufu kama Diamond Platnumz, amempiku mwigizaji na mwanamuziki aliyewahi kuwa mrembo wa dunia mwaka 2000, Priyanka Chopra, kwenye tuzo za MTV Europe Music Awards (MTV-EMA).
Tuzo hizo zilizofanyika nchini Italia usiku wa kuamkia jana, wawili hao walikuwa wanachuana kwenye kipengele cha ‘Best Worldwide Act’, tuzo ambayo ilikuwa na ushindani mkubwa kutoka kwa nyota wengine wa muziki kutoka mataifa ya Australia, New Zealand,...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/dimaond.jpg)
DIAMOND ATWAA TUZO YA MTV EMA NCHINI ITALIA
9 years ago
Bongo512 Dec
Picha: Diamond akabidhiwa tuzo zake za MTV EMA 2015
![diamond ema](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/diamond-ema-300x194.jpg)
Baada ya kushinda tuzo ya ‘Best African Act’ na ‘Best World Wide Act’ kwenye MTV EMA 2015, hatimaye Diamond Platnumz amekabidhiwa rasmi tuzo zake Ijumaa hii Dec 11.
Kupitia Instagram yake Diamond alipost picha akikabidhiwa tuzo hizo na kuandika:
“What a nice day.. have jus Received my Trophies from @MtvEma as the #BestAfricanAct #BestWorldWideAct only God knows How much i was waiting for them….@melaniecarmen @babutale … thaks alot @MtvEma”
Tuzo za MTV Europe Music Awards 2015 zilitolewa...
10 years ago
Bongo501 Oct
Nicki Minaj kuhost tuzo za 2014 MTV EMA ambazo Diamond wa TZ anawania