Diamond, Lady Jaydee wanyakua tuzo za kimataifa
Mwanamuziki Lady Jaydee
NA ZAINAB IDDY, DAR ES SALAAM
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini anayetamba na wimbo wake wa Mdogomdogo, Nasseb Abdul ‘Diamond Platinumz’, juzi ametwaa tuzo mbili katika tuzo za Afrika Music Magazine Award ‘AFRIMMA 2014’ kupitia kipengele cha mwanamuziki bora wa kiume Afrika Mashariki zilizofanyika Eisemann Center Richardson, Texas, Marekani.
Mkali huyo wa wimbo wa My Number One, alishinda tuzo hizo ikiwemo ya Msanii bora wa Afrika Mashariki na ile ya Wimbo bora...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo527 Jul
Diamond na Lady Jaydee washinda tuzo za AFRIMMA 2014 zilizofanyika Marekani
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/N9SP9Z4W-DclNr69IFO*rIKF984nNAfd-NGx6fXT6Ii3Mg*zSCrB54ejK8lJUa8s1EWKsz-DTMMRNGfgIJypI-f7Ewb-UOUH/JAYDEE620x360.jpg)
LADY JAYDEE ASHINDA YA TUZO YA WIMBO BORA WA MWAKA
11 years ago
Bongo530 Jul
Lady Jaydee awashukuru mashabiki baada ya kushinda tuzo ya AFRIMMA, Marekani
11 years ago
Tanzania Daima28 Mar
Lady Jaydee, Diamond nani kuvunja rekodi ya 20% KTMA?
KINYANG’ANYIRO cha Tuzo za Muziki za Kilimanjaro (KTMA 2014), kinaelekea katika hatua ya upigiwaji kura wateule ‘Nominees’, mchakato unaotarajiwa kuanza Aprili Mosi na kuhitimishwa Aprili 30, tayari kwa usiku wa...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/9ojQY4a4MGU/default.jpg)
10 years ago
Bongo514 Jan
Lady Jaydee ashinda ya tuzo ya Wimbo Bora wa Mwaka Afrika Mashariki, ‘Yahaya’ kwenye Bingwa Music Awards -Kenya
10 years ago
Bongo Movies23 May
Wema Sepetu, Ray , Hemedy PHD Wanyakua Tuzo Za ‘Tuzo Za Watu2015’
Mastaa wa Bongo Movies, Wema Sepetu, Vicent Kugosi ‘Ray’ na Hemmedy PHD wameshinda tuzo za TUZO ZA WATU za mwaka huu zilizofanyika usiku wa jana.
Wema sepetu ameshinda tuzo ya muigizaji wa kike anayependwa wakati Ray ameshinda tuzo ya muongozaji wa filamu anayependwa huku Hemmed PHD ameibuka mshindi wa wa tuzo ya muigizaji wakiume anayependwa na filamu ya Kigodoro imeibuka kuwa ni filamu inayopendwa.
Hongereni sana washindi wote.
10 years ago
Bongo520 Jul
Diamond, Alikiba, Vanessa, Jaydee, Ommy Dimpoz, Mpoto watajwa kuwania tuzo za AFRIMMA