Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taasisi ya Kiislamu yawasihi Ukawa kurejea bungeni

WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wametakiwa kurejea bungeni, kwani huko ndiko mahali sahihi pa kujenga hoja za kuboresha Katiba mpya, inayosubiriwa na Watanzania wote.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wanavyuo wawasihi Ukawa kurejea bungeni

Freeman MboweWANAFUNZI kutoka vyuo 10 vya elimu ya juu nchini, wamewasihi wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kurejea ndani ya Bunge Maalumu la Katiba kuendelea na majadiliano.

 

11 years ago

Mwananchi

IBADA MAALUM: Maaskofu wawataka Ukawa kurejea bungeni

>Baraza la Maaskofu la Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), limewataka wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kurudi bungeni bila masharti na kuendelea na mjadala wa Katiba kwa manufaa ya taifa.

 

11 years ago

Mwananchi

KATIBA: Dk Mwinyi awasihi Ukawa Z’bar kurejea bungeni kuitetea Katiba

>Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi amewahimiza wabunge wa kundi la Ukawa upande wa Zanzibar kurejea na kushiriki kwenye Bunge la Katiba ili kumaliza kero na malalamiko katika muundo  wa Muungano kupitia rasimu mpya na kuipa nafasi Zanzibar iweze kujiimarisha kiuchumi.

 

11 years ago

Habarileo

Taasisi ya Kiislamu yataka serikali 2

TAASISI ya Amani kwa Waislamu ya Islamic Peace Foundation (TIPF) imesema muundo wa serikali unaofaa kwa sasa ni Serikali mbili, kinachotakiwa ni kuongeza juhudi katika kurekebisha kasoro zilizopo na siyo kuongeza mzigo kwa kuwa na serikali tatu.

 

10 years ago

Mwananchi

Taasisi za Kiislamu zaburutana kortini

>Baraza la Udhamini la Taasisi ya Kiislamu ya Thaaqib, limefungua kesi Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza likitaka Taasisi ya Islamic Propagation Centre (IPC) kurejesha umiliki na uendeshaji wa shule zake za msingi sekondari.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Taasisi za Kiislamu zamshukia Lukuvi

JUMUIYA na taasisi za Kiislamu nchini zimemtaka Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi kujiuzulu haraka iwezekanavyo kutokana na kauli za uchochezi alizozitoa wakati...

 

11 years ago

Michuzi

MBUNGE WA CHADEMA AELEZA SABABU ZA KUREJEA BUNGENI

Na Magreth Kinabo, MAELEZO Dodoma  Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mhe Said Arfi (pichani) ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mpanda Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA)amezitaja sababu za kurejea katika bunge hilo, kuwa ni hofu ya Mwenyezi Mungu.  Aidha Mhe Arfi ameitaja sababu nyingine ni kwamba amerudi katikaBunge hilo, ili kuhakikisha kwamba anaisadia nchi kupita katika mchakato wa Katiba mpya kwa amani na utulivu kwa kutumia kipaji chake na kuwatumikia...

 

10 years ago

Michuzi

Wajumbe wa Bunge la Katiba waaswa kurejea Bungeni

Na Rose Masaka-MAELEZOViongozi wa vyama vya siasa waliopo nje ya Bunge Maalumu la Katiba wameaswa kurejea bungeni ili kufanya maridhiano ndani ya bunge hilo.
Kauli hiyo imetolewa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema alipokuwa akiongea na waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam.
Jaji Werema amesema kuwa wajumbe walio nje ya Bunge Maalum hawana budi kurejea bungeni na kuacha kumshinikiza Rais kulivunja bunge hilo kwani hana mamlaka ya kulivunja kulingana na sheria...

 

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA MASHAURIANO YATOA WITO KWA WAJUMBE WALIOSUSIA MIKUTANO YA BUNGE MAALUM LA KATIBA KUREJEA BUNGENI

Katibu wa Bunge Maalumu  la Katiba,Yahya Khamis Hamad akizungumza na Wanahabari mapema leo mchana katika ofisi ndogo ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dar,kuhusiana na maoni na ushauri wa kikao cha kamati ya Mashauriano ya Bunge maalum la katiba kilichofanyika jana julai,24,2004 katika Ofisi ndogo za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dar.Mh. Yahya alisoma taarifa hiyo kwa niaba ya Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba,Mh. Samuel Sitta.Baadhi ya Wanahabari kutoka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani