Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi wa mkoa wa Njombe ni mfano wa kuigwa katika zoezi la BVR

Kazi ya kuandikisha wananchi katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kupitia mfumo wa Biometrick Voters Registration (BVR), ambao huhusisha uchukuaji wa alama za vidole na picha, jana iliingia siku ya tatu, huku baadhi yao wakipongeza utendaji wake.

DSC_0034

DSC_0050

Kwa mujibu wa ripoti iliyokusanywa na mwandishi wetu inasema kuwa tokea siku ya kwanza lilipoanza zoezi hilo lilionyesha matumaini maana wananchi wetu walijitokeza kwa wingi.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti wananchi katika vituo vya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

NEC YAKUTANA NA UONGOZI WA MKOA WA DAR ES SALAAM KUTATHIMINI ZOEZI ZIMA LA UANDIKISHWAJI BVR

 Tume ya Taifa ya Uchaguzi imekutana na viongozi waandamizi wa Mkoa wa Dar es Salaam wakiongozwa na mkuu wa mkoa huo, wakuu wa wilaya zote na wakurugenzi wa manispaa zote kutathimini hali ya zoezi zima la uandikishwaji mkoa wa Dar es salaam.
 Pamoja na changamoto zilizoainishwa ikiwemo rasimali Fedha yalijadiliwa kwakina,Tume imetoa wito kwa uongozi wa Dar es salaam kuhakikisha matatizo yaliyoainishwa yanatatuliwa katika siku zilizobaki ikiwemo uhaba wa watumishi vituoni suala la rushwa,na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uganda mfano wa kuigwa

WAKATI baadhi ya nchi za Afrika zikiwa katika jinamizi la kuruhusu au kukataa mapenzi ya jinsia moja, Waganda jana walikusanyika kuliombea taifa lao  kwa kupinga vitendo hivyo. Shughuli hiyo ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

RC Gallawa: NHC mfano wa kuigwa

MKUU wa Mkoa wa Tanga, Luteni Mstaafu Chiku Gallawa, ameyataka mashirika na taasisi za umma nchini kuiga mfano wa kasi ya maendeleo yanayofanywa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC),...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Viongozi wawe mfano wa kuigwa

WAUMINI wa Kikristo Tanzania jana wameungana na wenzao duniani kuadhimisha Sikukuu ya Noeli ambayo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mwokozi wao Yesu Kristo zaidi ya miaka 2000 iliyopita. Sherehe hizo...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Uchaguzi CHADEMA mfano wa kuigwa

HATIMAYE Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimepata safu mpya ya viongozi watakaokivusha kwenye uchaguzi mkuu mwakani. Uchaguzi huo ulikuwa unatazamwa na wachambuzi wa masuala ya kisiasa kama kipimo cha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

UCSAF, Avanti mfano wa kuigwa

KUMEKUWA na malalamiko katika jamii kuwa shule za watoto wenye ulemavu zimesahaulika katika kupatiwa huduma mbalimbali ikiwemo nyenzo za kujifunzia. Hata hivyo wakati hali hiyo ikiwa kilio kikubwa kwa jamii...

 

11 years ago

GPL

JOU-NTWA - MFANO WA KUIGWA

‘Can you believe’ Jou-Ntwa J. Mwaisaka aliyewahi kutamba na Muziki wa Reggae hapo juu ndiye anayeongea maneno haya? KWELI MUNGU HUBADILISHA.

 

10 years ago

Michuzi

KAPU LA SIKUU LA 93.7 EFM NI MFANO WA KUIGWA

Mwezi huu wa Disemba 2014,EFM redio ilianza kuwashukuru wasikilizaji wake kwa kuanzisha “Kapu la sikukuu project”. Madhumuni ya project hii ni kuwashukuru wasikilizaji wa redio ya 93.7 EFM kwa upendo walio uonyesha tangu kufunguliwa kwa redio hiyo mpaka sasa.
Meneja uhusiano ambae pia ni mmoja wa watangazaji wa kipindi cha Joto La Asubuhi,Kanky Mwaigomole alisema kuwa makapu hayo ya sikukuu yalikua yamejaa hasa vitu vya nyumbani.
“Tumehakikisha ya kwamba kapu hili litakalo muendea mshindi na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi Namibia mfano wa kuigwa Afrika

Chama cha Ukombozi wa Namibia SWAPO, kimeshinda kwa zaidi ya asilimia 86 ya kura za uchaguzi wa Rais wa nchi hiyo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani