Mahojiano Maalum: Zawadi Kakoschke
Zawadi KakoschkeBlogger wa http://maisafari.com Naomba utueleze Historia yako kwa ufupi: Naitwa Zawadi Owitti Kakoschke, mama wa watoto wawili Amani na Malaika na mke wa Bart Kakoschke. Nimezaliwa miaka 39 iliyopita huko Songea, Tanzania. Ni mtoto wa pili wa marehemu Fatuma ambae anatokea mkoani Iringa. Mimi ni mjaluo baba yangu anatokea Shirati Rorya mkoani Mara. Kwa sasa makazi yangu yako kwenye nchi za kiarabu ambapo mume wangu anafanyia kazi.
Wewe ni mmiliki wa blog ya ...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo08 Feb
Mahojiano Maalum: Zawadi Owitti Kakoschke
![](http://alphaigogo.com/wp-content/uploads/2015/02/Zawadi-Kakoschke-225x300.jpg)
10 years ago
Vijimambo25 Mar
Mahojiano Maalum: Tumaini Kilangwa
![2015-03-25 05.57.39](http://alphaigogo.com/wp-content/uploads/2015/03/2015-03-25-05.57.39.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-uvKJXO455ow/Va8-m1qL6WI/AAAAAAAACXo/S8sCqDB9aqc/s72-c/FB_IMG_1437541501275.jpg)
Mahojiano maalum: Mahmoud Zubeiry a.k.a binzubeiry blog
![](http://1.bp.blogspot.com/-uvKJXO455ow/Va8-m1qL6WI/AAAAAAAACXo/S8sCqDB9aqc/s400/FB_IMG_1437541501275.jpg)
10 years ago
Dewji Blog04 Mar
Usikose kuperuzi modewjiblog katika mahojiano maalum na Mwanasheria mwenye ‘Albinism’ Dk. Ally Possi
Mwanasheria mwenye Albinism Dk. Ally Possi akiwa ndani ya ofisi za modewjiblog.
Na modewji blog team
“JAMII yenye ushirikina ndio yenye kuamini suala la mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi ambao wana alibinisimu, hivyo ilikuondoa imani hii potofu ni kutoa elimu katika maeneo yote na kuwalinda popote pale, Jambo hili ni jukumu letu sote” anaeleza Dk. Ally Possi.
Hata hivyo alibainisha kuwa, licha ya kuwapo kwa vitendo hivyo vya kikatili vikiwemo vya mauaji dhidi ya watu wenye ulemavu wa...
10 years ago
GPLMISS ILALA NO 2 AWAPATIA ZAWADI WATOTO YATIMA, WAMUOMBEA DUA MAALUM
10 years ago
Vijimambo11 Feb
Mahojiano Maalum: “Ujane siyo ulemavu wala Huyatima siyo kufungwa” -Tabu Obago
![Tabu Obago, akiwa nyumbani kwake Mbagala](http://alphaigogo.com/wp-content/uploads/2015/02/Tab-Obago-169x300.jpg)
Wapendwa wasomaji, wiki iliyopita niliwaletea mahojiano maalum kutoka kwa dada Zawadi Kakoschke. Katika mahojiahano hayo moja ya maswali ambayo nili muuliza ni kama kuna huusiano kati ya majina ambayo wazazi wanawapa watoto wao na mafanikio au tabia ya watoto hao. Sehemu ya mahojiano hayo yalikuwa kama ifuatavyo:-
Wewe binasfi unaamini majina ambayo wazazi wana wapa watoto wao yanachangia katika mafanikio yao kiuchumi, kielimu, na tabia zingine?...
10 years ago
Dewji Blog16 Dec
Vituo vitatu vya watoto wenye uhitaji maalum vyapokea zawadi za krismasi kutoka PSPF
![](http://2.bp.blogspot.com/-gduBIfGPWC0/VIxWLHxSb-I/AAAAAAAAZYk/0wVItceyWGQ/s1600/IMG_20141210_132655%2B-%2BCopy%2B-%2BCopy.jpg)
Kulia ni Afisa Mfawidhi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Mkoa wa Shinyanga Erick Chinimbaga na Afisa Fedha kutoka PSPF Makao Makuu ( kushoto) Samweli Haule wakiwakabidhi zawadi za Krismasi watoto wenye ulemavu wa ngozi katika kituo cha Buhangija kilichopo Shinyanga zawadi za Sikukuu ya Krismasi hapa watoto wenzao wakipokea zawadi hizo kwa niaba.
Akikabidhi Msaada huo Afisa Fedha wa PSPF kutoka Makao Makuu alisema kwamba Mfuko wa Pensheni wa PSPF unalo lengo la kuwasaidia watoto wenye...
10 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-gduBIfGPWC0/VIxWLHxSb-I/AAAAAAAAZYk/0wVItceyWGQ/s1600/IMG_20141210_132655%2B-%2BCopy%2B-%2BCopy.jpg)
VITUO VITATU VYA WATOTO WENYE UHITAJI MAALUM VYAPOKEA ZAWADI ZA KRISMASI KUTOKA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF
10 years ago
Vijimambo![](http://lh4.ggpht.com/-CZ3h9tdiFAc/VChJcUX2MmI/AAAAAAAAMgg/BjiDPT1b1Cw/s72-c/PhotoGrid_1411925803238.jpg)
DIAMOND KUMKABIDHI WEMA SEPETU ZAWADI YA GARI MBILI BMW NA NISSAN MORANO KAMA ZAWADI YA BIRTHDAY YAKE.
![](http://lh4.ggpht.com/-CZ3h9tdiFAc/VChJcUX2MmI/AAAAAAAAMgg/BjiDPT1b1Cw/s640/PhotoGrid_1411925803238.jpg)
na hiki ndicho alichokisema mwanadada zamaradi kuhusiana na zawadi hiyo BIRTHDAY YA MWAKA!!!!!!!!! Hizi ndio zawadi kubwa alizopata WEMA leo.... NISSAN MURRANO na BMW moja kali hatari NYEUPE!!!! Asante mmanyema mwenzangu @diamondplatnumz umefunga watu midomo kudaadeki!!!! Hiyo nyeusi hapo ndio zawadi aliyotoa Diamond kwenda kwa @wemasepetu na zaidi alieleta Kukabidhi ni MAMA DIAMOND!!! how sweeeeeet..... haya sijui jipya lipi tena hapa la kuongea!!!
Utaniazimaga kamoja wema niwe nacruise...