Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YOUNG DEE: AKANA MADAI YA KUKACHA SHULE

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Young Dee akiwa katika studio za Global TV online. makala: Chande Abdallah
Leo hii kwenye Live Chumba cha Habari ya Global Publishers tunaye bwa’ mdogo machachari anayewakilisha vilivyo kwenye muziki wa Hip Hop, Young Dee. Dogo anafanya poa na nyimbo zake kadhaa kama: Dada Anaolewa, Tunapeta, Fununu na Siyo Mchoyo. Katika mahojiano na safu hii inayorushwa pia kupitia Global Tv Online,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Young Killer ajiunga na kundi la Mtu Chee, achukua nafasi ya Young Dee aliyejitoa

Baada kuwa kimya kwa takribani miaka miwili, Kundi la Mtu Chee lililokuwa linaundwa na rappers watatu, Ibrahim Mandingo a.k.a Country Boy, David Genzi a.k.a Young Dee pamoja na Boniventure Kabogo a.k.a Stamina linarudi rasmi likiwa na mabadiliko. Country Boy Member na mmoja wa waanzilishi wa kundi hilo Country Boy amesema kuwa Mtu Chee imepata member […]

 

9 years ago

Bongo5

Young Killer atoa ufafanuzi kuhusu kama kweli amejiunga rasmi Mtu Chee, na kama ana beef na Young Dee baada ya kum-unfollow Instagram

Wiki iliyopita mmoja wa waanzilishi wa kundi la Mtu Chee, Country Boy alisema kuwa Young Dee amejiengua kwenye kundi hilo na nafasi yake imechukuliwa na Young Killer. Wiki hii kuna cover imeanza kusambazwa ya ngoma mpya ya Mtu Chee ambayo kweli wanaonekana Country Boy, Stamina na Young Killer. Bongo5 imemtafuta Young Killer kutaka kufahamu kuhusu […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Asamoah Gyan akana madai ya kafara

Nahodha wa timu ya taifa ya Ghana, Asamoah Gyan, amekanusha madai kuwa alimtoa kafara yake ambaye pia alikuwa mwanamuziki mashuhuri nchini Ghana Castro.

 

11 years ago

GPL

10 years ago

Africanjam.Com

11 years ago

GPL

FUMANIZI LA LULU, YOUNG DEE UTATA

Stori:  Musa Mateja na Mayasa Mariwata
MWISHONI mwa wiki iliyopita, taarifa zilienea katika mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali vya habari Bongo kwamba msanii wa Bongo Fleva, David Genzi ‘Young Dee’ na nyota wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ wamebambwa na polisi wa doria wakivunja amri ya sita ndani ya gari aina ya Hyundai, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, tukio lililojaa utata mkubwa. ...

 

10 years ago

GPL

5 years ago

BBCSwahili

Justin Bieber akana madai ya ubakaji anayodaiwa kufanya mwaka 2014

Mwanamuziki wa kimataifa wa miondoko aina ya R&B na Pop Justine Bieber amekanusha madai ya ubakaji yaliyojitokeza kwenye mtandao wa Twitter kupitia akaunti ya mtu asiyejulikana

 

9 years ago

Bongo5

Country Boy: Sina tatizo na Young Dee

Mtu Chee

Rapa wa kundi la Mtu Chee, Country Boy amesema hana tatizo na Young Dee licha ya kupishana lugha miezi michache iliyopita baada ya rapa huyo kujitoa katika kundi hilo.

<img src="http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/Mtu-Chee.jpg" alt="Mtu Chee" width="640" height="640" class="alignnone size-full wp-image-129808" /0

Country Boy anasema hajawahi kuoongea na Young Dee toka atangaze kuachana na Mtu Chee.

“Sina tatizo na Young Dee, yeye alichagua kufanya kile anachokitaka na sisi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani