Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lollipop kuachia albam mpya ‘Ipo Siku’

Mtayarishaji wa muziki na mtunzi, Lollipop amesema anatarajia kuachia albam mpya itwayo ‘Ipo Siku’. Lollipop ambaye ameandika wimbo wa ‘Basi Nenda’ ya Mo Music pamoja na ‘Nivumilie’ ya Barakah Da Prince, ameiambia Bongo5 kuwa ameamua kutoa albam hiyo ili kuwapa mashabiki wake muziki wa kutosha. “Nimefanya muziki wa bongofleva kwa muda mrefu sana, lakini umefika […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

CloudsFM

TID KUACHIA ALBAM YAKE YA SABA

Staa nguli kwenye game ya Bongo Fleva,Khalid Mohammed ‘TID’ hivi karibuni anaachia album yake ya saba ila kabla hajaachia albam hiyo atafanya bonge la party pande za Dar Live, Mbagala,Jijini Dar. Albam yake ya Zeze ndiyo ilikuwa ya kwanza ikafuatia Sauti Ya Dhahabu,Burudani,Jembe,Sifai, na mwaka 2009 akaachia Prison Voice, baada ya hapo alikaa kimya zaidi ya miaka minne na mwaka huu anaiachia alabam yake ya saba iitwayo ‘Mnyama na Wanyama the album’.
Tid anafunguka kwanini album hii...

 

9 years ago

Bongo5

Roma atangaza kuachia wimbo mpya October 25 siku ya uchaguzi

Baada ya kukumbana na changamoto nyingi alipoachia wimbo wake wa ‘Viva Roma Viva’, Rapper wa Tongwe Records, Roma ametangaza kuja na wimbo mpya ambao atauachia siku ya uchaguzi mkuu. October 25 siku ambayo Watanzania watajipanga kwenye mistari kwajili ya kushiriki zoezi muhimu la kuwachagua viongozi wanaowataka, rapper Roma amepanga kuwapa wimbo mpya utakaotoka siku hiyo. […]

 

9 years ago

Bongo5

Roma ajisalimisha BASATA kuwasikilizisha wimbo mpya aliopanga kuachia kesho siku ya uchaguzi Oct.25

Roma Mkatoliki ameamua kuchukua jukumu la kwenda Baraza La Sanaa Tanzania, BASATA kuwasikilizisha wimbo wake mpya anaotarajia kuuachia Jumapili siku ya uchaguzi Oct.25 ili waupe baraka kuepuka kufungiwa. Uamuzi huo umekuja kutokana na misukosuko aliyokutana nayo baada ya kutoa wimbo wake wa ‘Viva Roma Viva’ hivi karibuni, ambao BASATA waliufungia kutokana na madai kuwa hakuna […]

 

10 years ago

CloudsFM

Stara Thomas afanya mahojiano na kipindi cha Leo Tena,kuachia albam ya ngoma zake za zamani

Msanii Mkongwe wa Bongo Fleva,Stara Thomas akizungumza kwenye kipindi cha Leo Tena leo amezungumzia mambo mengi kuhusu muziki wake pia anatarajia kuachia albamu yake ya nyimbo zake zote za zamani hivi karibuni.Stara akifanya mahojiano na mtangazaji wa kipindi cha Leo Tena,Husna Abdul.

 

9 years ago

Bongo5

Video: Davido aeleza sababu iliyomfanya kuahirisha kuachia album mpya siku 2 kabla ya tarehe iliyokuwa imepangwa

davido ADavido ameweka wazi sababu iliyomfanya yeye na uongozi wake kuahirisha kutoa album yake mpya ‘The Baddest’ hadi mwakani. Staa huyo wa Nigeria amesema kuwa album hiyo iko tayari, lakini siku mbili kabla ya terehe ya kuitoa walipigiwa simu kutoka kwenye kampuni moja kubwa ambayo inataka kuhusika kwenye maswala ya usambazaji. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! […]

 

10 years ago

Bongo5

Drake aachia albam mpya ‘If You’re Reading This It’s Too Late’ kwa kushtukiza

Ule mtindo alioutumia Beyonce kuachia albam mwaka juzi bila kutangaza kabla ndio ameutumia rapper wa Canada, Drake ambaye ametoa albam yake mpya kwa kushtukiza. Albam hiyo iitwayo ‘If You’re Reading This It’s Too Late’ imetoka Alhamisi Feb.12 usiku. ‘If You’re Reading This It’s Too Late’ ina nyimbo 17 na wasanii walioshirikishwa ni pamoja na Lil […]

 

9 years ago

Bongo5

Davido atangaza tarehe mpya ya kuachia album yake mpya ‘Baddest’

Mwenyekiti wa label ya HKN records inayomsimamia Davido, Adewale Adeleke ambaye pia ni kaka yake ametangaza tarehe mpya ya kuachia album mpya ya star huyo wa Nigeria, ‘Baddest’ baada ya kushidwa kutoka mwezi September kama ilivyopangwa awali. Album hiyo ambayo imekuwa ikipangwa kuachiwa na kuahirishwa mara tatu, sasa itatoka Jumamosi ya October 10, 2015. Mastaa […]

 

9 years ago

Michuzi

MASHAUZI CLASSIC KUZINDUA ALBAM MPYA LEO USIKU MANGO GARDEN

Leo usiku ndani ya ukumbi wa Mango Garden Kinondoni kutakuwa na tukio kubwa la kiburudani ambapo Mashauzi Classic Modern Taarab, watazindua albam yao mpya ya “Sura Surambi”.
Uzinduzi wa albam hiyo iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa, utasindikizwa na kundi kongwe la taarab - East African Melody. Mkurugenzi wa Mashauzi Classic, Isha Mashauzi ameiambia JAMBO LEO kuwa albam ya “Sura Surambi” inaundwa na nyimbo sita kali.
Isha amezitaja nyimbo hizo kuwa ni pamoja na “Sura Surambi” ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani