TID: Naleta albamu ya saba
>Wakati idadi kubwa ya wasanii wa Bongo Fleva nchini wakikacha biashara ya kurekodi albamu na kutafuta njia mbadala ya kuuza muziki wao, mwanamuziki wa siku nyingi Khalid Mohamed maarufu (TID, Top In Dar), amesema anatarajia kutoa albamu yake ya saba.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM22 Jul
TID KUACHIA ALBAM YAKE YA SABA
Staa nguli kwenye game ya Bongo Fleva,Khalid Mohammed ‘TID’ hivi karibuni anaachia album yake ya saba ila kabla hajaachia albam hiyo atafanya bonge la party pande za Dar Live, Mbagala,Jijini Dar. Albam yake ya Zeze ndiyo ilikuwa ya kwanza ikafuatia Sauti Ya Dhahabu,Burudani,Jembe,Sifai, na mwaka 2009 akaachia Prison Voice, baada ya hapo alikaa kimya zaidi ya miaka minne na mwaka huu anaiachia alabam yake ya saba iitwayo ‘Mnyama na Wanyama the album’.
Tid anafunguka kwanini album hii...
11 years ago
GPL‘MR UWAZI’ AGAWA ZAWADI SABA SABA KWA WASOMAJI
11 years ago
MichuziWIZARA YA NISHATI NA MADINI YANG’ARA KWENYE MAONESHO YA SABA SABA
11 years ago
Michuzi
SHIRIKA LA POSTA TANZANIA LATOA HUDUMA MBALIMBALI MAONESHO YA SABA SABA


10 years ago
MichuziBENKI YA DCB YAWAPA KIPAUMBELE WA WAJASIRIMALI KATIKA MAONESHO YA SABA SABA
11 years ago
GPL
PSPF YAPATA MWANACHAMA MPYA NDANI YA MAENESHO YA SABA SABA
11 years ago
Michuzi
BENKI YA EXIM KATIKA MAONYESHO YA 38 YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA SABA SABA


10 years ago
MichuziMFUKO WA PENSHENI WA LAPF WASHIRIKI MAONESHO YA SABA SABA 2015
11 years ago
Michuzi