Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HATIMAYE MSIKITI WA KIJIJI CHA MLAMLENI WILAYA YA MKURANGA WAJENGWA UPYA KWA MSAADA WA WASAMARIA WEMA WA NDANIO NA NJE YA NCHI

Na  Ghalib Nassor Monero
Asalaam Alaykum Warahmatullahi wabarakatu, Alhamdulilah....
Kwa Niaba ya wakazi wa kijiji cha Mlamleni , kitongoji cha kimbangulie , wilaya ya Mkuranga  Mkoa wa Pwani ninatoa shukran za dhati kwanza Ma Admin wote wa blogs mlioshirikiana nasi katika kulitangaza jambo hili la kheri.
Pili tunawashukuru wale wote wadau ambao wameshirikiana nasi kwa hali na mali katika Ujenzi wa Jengo hili la msikiti kutoka Nyasi Mpaka kuwa katika Muonekano mpya kama mnavyo ona katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

CHANGIA UJENZI WA MSIKITI KIJIJI CHA MLAMLENI, MKURANGA, MKOA WA PWANI

 Katika Maisha yetu Wanaadamu Ibada ni Jambo Muhimu saana. Uzuri , Usafi wa sehemu ya kuabudu ni Moja katika mambo mazuri yenye kupendeza katika kila Nafsi ya Binaadamu.
Nyumba hii ya Ibada ama Msikiti  huu  Ndugu zetu wanafanya Ibada ya Swala 5 kwa siku , Msikiti huu upo Mkoa wa Pwani , Wilaya ya Mkuranga , Kijiji cha Mlamleni Kitongoji cha Kimbangulile. Wenzetu wameanza kwa Nguvu zao kwa Ujenzi wa Msikiti huu. Na Jitihada nyengine ni kuwa na Matofali yasiyo pungua 300 kwa Ajili ya kuanza...

 

10 years ago

Michuzi

MICHANGO BADO YAHITAJIKA UJENZI WA MSIKITI KIJIJI CHA KIMBANGULILE MKURANGA PWANI

 Huu ndio msikiti wa Masjid Fisabillah ya Mlamleni uliopo Kijiji cha Kimbangulile, Wilaya ya Mkuranga , Mkoa wa Pwani.  Ujenzi wa Msikiti ukiwa umeanza.Hivi ndivyo ujenzi ulipofikia katika ujenzi huo na bado fedha zinahitajika kwaajili ya kuendelea. 
TUNAMSHUKURU  Mwenyezi Mungu kwa Pumzi anayo endelea kutupa.
Ufuatao ni Mrejesho wa Michango yenu ya Ujenzi wa Msikiti wa Masjid Fisabillah ya Mlamleni , Mkoa wa Pwani , Wilaya ya Mkuranga , Kijiji cha Kimbangulile.


Ikumbukwe kupitia Blogs na...

 

10 years ago

Michuzi

TBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA CHA MAJI KIJIJI CHA MAGOZA, MKURANGA

 Ofisa Elimu Wilaya ya Mkuranga, aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya hiyo,  Benjamin Majoya akikata utepe kuzindua rasmi kisima cha maji kilichojengwa kwa msaada wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kwa gharama ya sh. mil 56, katika Kijiji cha Magoza, Kata ya Kiparang'anda, Mkuranga, Mkoa wa Pwani. Kushoto ni Diwani wa Kata hiyo, Karu Karavina na Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa TBL, Steve Kilindo (wa pili kulia).
 Ofisa Elimu Wilaya ya Mkuranga, aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya hiyo,  Benjamin...

 

9 years ago

Dewji Blog

Msaada wa wasamaria wema wa matibabu unahitajika kwa dada huyu

Ndugu Wasamaria wema

Napenda kutumia fursa hii kukushirikisha habari ya kusikitisha kuhusu dada Joyce Mwambepo (pichani akiwa na mwanaye, na migu yake iliyopooza) mkaazi wa Sinde jijini Mbeya. Dada huyu mwenye umri wa miaka 27 anaishi na bibi yake mwenye umri wa miaka 80 pamoja na mwanaye mwenye umri wa miaka 4. Kwa bahati mbaya mwezi April mwaka jana dada huyu alipata ajali ya kugongwa na gari ambayo haikusimama kumsaidia. Ila kwa msaada wa wasamaria wema alipelekwa hospitali ya rufaa...

 

5 years ago

Michuzi

MTOTO WA MIAKA TISA AOMBA MSAADA KWA WASAMARIA WEMA AKAPATE MATIBABU YA MOYO MUHIMBILI


NA  YEREMIAS  NGERANGERA…NAMTUMBOMtoto mwenye umri wa miaka  tisa na mwanafunzi wa darasa la tatu  katika shule ya msingi Likuyuseka wilayani Namtumbo  mkoani Ruvuma Jeska James Kifaru anaomba kutoka kwa wasamaria wema kumsaidia mchango wa fedha ili aweze  kwenda matibabu ya moyo katika hospitali ya Taifa Muhimbili  baada ya wazazi wake kutokuwa na uwezo wa kumfikisha katika hospitali hiyo.Akiongea akiwa katika ofisi ya Halmashauri ya wilaya ya Namtumbo  Jeska alisema anaomba msaada kwa...

 

9 years ago

Michuzi

Msikiti wa Ijumaa wa Kijiji cha Umbuji { Masjid Shuraa } Jimbo la Uzini Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja wazinduliwa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al – Hajj Dr. Ali Mohammed Shein amesema ni jambo la faraja kuona kwamba waumini wa Dini ya Kiislamu waliojalaliwa uwezo wanaendelea kujitokeza katika ujenzi wa majengo ya Misikiti na madrasa za Kisasa katika maeneo mbali mbali hapa Nchini. Alisema mwamko huo umesaidia kupata majengo mazuri nay a kisasa kwa mujibu wa maendeleo ya sayansi na teknolojia kiasi kwamba mazingira ya kufanyia Ibada yanaridhisha katika kuwafundisha vijana Quran...

 

9 years ago

Vijimambo

IDDI SANDALY ATOA MSAADA WA COMPUTER SHULE YA SEKONDARi YA KIJIJI CHA MTIBWANI, WILAYA YA MAINA MKOANI TANGA


Rais wa DMV Bwn. Iddi Sandaly amekabidhi msaada wa computer shule ya sekondari ya Mtibwani iliyopo Kijiji cha Mtibwani Wilaya ya Maina Mkoani Tanga. Katika makabidhiano hayo Bwn. Sandaly aliongea na Walimu na wanafunzi wa sekondari hiyo na wao kumshukuru na sasa shule hiyo ndio itakua na lab ya kwanza itakayokua na computer katika Wilaya hiyo ya Maina. Rais wa DMV Bwn. Iddi Sandaly (mwenye t-shirt) nyekundu akizitoa computer kwenye mabox na kumkabidhi mwalimu. Bwn. Iddi Sandaly akifanya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Msikiti mkubwa Afrika wajengwa Algeria

Msikiti utakaoshindana na maeneo mengine ya Kiislam ya kuabudia makubwa kuliko yote duniani unajengwa pwani ya Algeria

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani