Wakazi Kijiji cha Naiyobi Ngorongoro walalamika kero ya maji.
Wakazi wa Kijiji cha Naiyobi wilayani Ngorongoro mkoani Arusha wamelalamikia kero ya uhaba wa maji inayosababisha kukesha kwenye bomba la kijiji kwa takribani siku tatu wakisubiri huduma hiyo.
Wakizungumza na kituo hiki wananchi hao wamesema kwa muda mrefu wamekua wakiteseka kupata huduma za maji huku akinamama wakilazimika kukesha visimani na watoto wadogo wakisubiri maji.
Wanakijiji Daniel Sereki na Rehema Laizer wamekwenda mbali zaidi na kudai kushuhudia tukio la mama mjamzito katika eneo...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziHatimaye wakazi wa kijiji cha Amani mkoani Tabora kuanzia usiku wa leo watalala bila kero ya kunguni!
10 years ago
GPLMAJI TAKA, BARABARA MBOVU NI KERO KWA WAKAZI WA MWENGE DAR
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-s18MPlBsAHE/UyxJxwUUHyI/AAAAAAAFVWM/SAFBg2Cdd3w/s72-c/001.jpg)
WAZIRI WA MAJI JUMANNE MAGHEMBE AZINDUA MRADI WA MAJI KIJIJI CHA KWADELO WILAYA YA KONDOA
![](http://3.bp.blogspot.com/-s18MPlBsAHE/UyxJxwUUHyI/AAAAAAAFVWM/SAFBg2Cdd3w/s1600/001.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Uio9JO2qkNg/UyxJzDOIsKI/AAAAAAAFVWU/10LAS6ZwszU/s1600/002.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-S2HUNEZOPgc/UyxJyyUiuAI/AAAAAAAFVWY/nmi0TYV91W8/s1600/003.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-YSbZ-gToqN0/VTtAnpZV86I/AAAAAAAA7fg/-3nKYZwi5f4/s72-c/AMI%2B1.jpg)
NAIBU WAZIRI WA MAJI MH AMOS MAKALLA AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI KIJIJI CHA MKONGO NAKAWALE
![](http://1.bp.blogspot.com/-YSbZ-gToqN0/VTtAnpZV86I/AAAAAAAA7fg/-3nKYZwi5f4/s1600/AMI%2B1.jpg)
Naibu Waziri wa Maji, Mh Amos Makalla amefanya ziara ya kikazi wilaya ya Namtumbo pamoja na mambo mengine amezindua mradi mkubwa Maji kijiji cha Mkongo Nakawale ambao watu zaidi ya 4000 wanapata Maji safi.
Aidha amekagua mradi wa Maji Milonji na ametoa agizo hadi kufikia tarehe 12 mei mwaka huu mkandarasi awe amekamilisha kuchimba...
9 years ago
Dewji Blog24 Dec
Mradi wa maji wa sh Milioni 343 wazinduliwa kijiji cha Mabogini, RC Makalla ataka vyanzo vya maji vitunzwe
![](http://1.bp.blogspot.com/-sq8hYuBdAsQ/VnqQ4oM226I/AAAAAAAAJWU/RsmzTklLDGg/s640/1.jpg)
Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Amos Makalla mwenye miwani akizindua huduma ya maji katika kijiji cha Mabogini, mkoani Kilimanjaro wenye thamani ya Sh Milioni 343.
Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro
ZAIDI ya wananchi 3000 wa kijiji cha Mabogini, kitongoji cha Shabaha, mkoani Kilimanjaro, watanufaika na huduma ya maji safi na salama, baada ya kupelekewa mradi wenye thamani ya Sh Milioni 343. Mradi huo uliozinduliwa jana na Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro, Amos Makalla, umesimamiwa na Mamlaka ya Maji Safi...
11 years ago
MichuziWAZIRI WA MAJI AZINDUA MRADI WA MAJI WA SHILINGI MILIONI 300 KIJIJI CHA MVUMI MAKULU MKOANI DODOMA.
11 years ago
Dewji Blog12 Aug
Ridhiwani Kikwete azindua Kisima cha Maji, Lambo katika kijiji cha jamii ya Wafugaji cha Mbala,Chalinze
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwan Kikwete akionozana na akina mama wa jamii ya kimasai waliobeba maji waliyoyateka baada ya mbunge huyo kuzindua kisima cha maji katika Kijiji cha Mbala, Chalinze, Bagamoyo mkoani Pwani jana. Kisima hicho pamoja na lambo la kunyweshea mifugo vimejengwa na Kanisa la Wasabato kwa gharama ya sh. mil. 76. Kushoto ni Kiongozi wa mradi huo, Joseph Chagama na nyuma yake ni Askofu wa Kanisa la Wasabato Jimbo la Mashariki,Mark Malekana. (PICHA NA RICHARD...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10