Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM ikiingia madarakani bodaboda kurasimishwa

ILANI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya awamu ya tano, imebainisha kuwa itarasimisha huduma za bodaboda na pikipiki za matairi matatu (bajaj), ili huduma hizo zitambulike kisheria.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Lipumba- Ni vigumu kuiondoa CCM madarakani

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimekiri kwamba ni vigumu kuondoa Chama Cha Mapinduzi (CCM) maradakani bila kuwa na umoja na mshikamano baina ya wanachama na viongozi.

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa watamba ‘mseto’ kuing’oa CCM madarakani

Mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika amesema mchanganyiko wa viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) katika ngazi ya Serikali za Mitaa ni dalili tosha ya kuking’oa madarakani Chama cha Mapinduzi.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwambulukutu: CCM itakaa madarakani miaka mingine 50 ijayo

Je, Chama cha Mapinduzi, CCM, kilipoamua kuruhusu mfumo wa vyama vingi kilikuwa na wazo kwamba Chama kingine kinaweza kukiangusha?  Je  sasa kinaweza kukubali kushindwa kwenye chaguzi zinazoendelea nchini?

 

11 years ago

Mwananchi

UKWELI UTAKUWEKA HURU: Kwa ishara hizi umefika mwisho wa CCM kuwa madarakani

>Wahenga walisema, ‘kila kitu  chenye mwanzo pia kina mwisho wake.’ Usemi huu una ukweli ndani yake ingawa katika baadhi ya nyakati  unapuuzwa na watu hasa wenye upeo  mdogo wa kufikiri au wale waliochanganyikiwa.

 

9 years ago

Vijimambo

Serikali ya CCM Yaahidi Kuweka Umeme Vijiji Vyote Tanzania Ndani ya Miaka Miwili Madarakani


Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wanachama wa CCM pamoja na wananchi wa Jimbo la Kilindi kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni Mkoa wa Tanga. Miongoni mwa ahadi aliyoitoa kwa wanaKilindi ni kulishughulikia suala la upatikanaji wa huduma za maji safi na salama pamoja na ujenzi wa barabara ya kuingia na kutoka katika Wilaya hiyo.
Baadhi ya wananchi na wanachama wa CCM Kijiji cha Kwediboma wakiwa wamesimamisha msafara wa...

 

11 years ago

Habarileo

Mali zote za Serikali kurasimishwa-JK

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete ameagiza mali zote za Serikali, zikiwemo nyumba, kurasimishwa kwenye miliki ya Serikali kwa kutafutiwa na kupatiwa hati na nyaraka nyingine muhimu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Machinga, bodaboda kuisulubu CCM

WAFANYABIASHARA ndogo ndogo ‘machinga’, mamantilie, waendesha pikipiki ‘Bodaboda’ na walemavu jijini Dar es Salaam, wameapa kutokipigia kura Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika chaguzi zijazo ukiwemo uchaguzi mkuu mwakani. Wakizungumza kwa...

 

9 years ago

Habarileo

Wenye bodaboda 500 Ubungo wajiunga CCM

WAENDESHA bodaboda zaidi ya 500 katika Jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam, wameahidi kuwa wanachama watiifu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya kupewa elimu kuhusu nini kilisababisha wao kuzuiwa kuingia katikati ya Jiji la Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

JAMBO LEO YAICHABANGA BODABODA FC TAMASHA LA BODABODA UKONGA

 Mlinda mlango Maganga Benjamin wa timu ya Bodaboda Wilaya ya Ilala, akiudaka mpira katikati ya wachezaji wa timu ya Jambo Leo 'Wagumu Stars' Zahoro Mlanzi (kushoto) na Ali Salum wakati wa Tamasha la Bodaboda lililofanyika kwenye Uwanja wa Ukonga Gerezani, Dar es Salaam. Mgeni rasmi katika tamasha hilo alikuwa Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa. Jambo Leo ilishinda mabao 2-1. Moja ya kizazaa langoni mwa Bodaboda FC iliyosababishwa na washambuliaji wa Jambo Leo Mshambuliaji wa timu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani