Lipumba- Ni vigumu kuiondoa CCM madarakani
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimekiri kwamba ni vigumu kuondoa Chama Cha Mapinduzi (CCM) maradakani bila kuwa na umoja na mshikamano baina ya wanachama na viongozi.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi16 Jul
Ni vigumu mno kumpata mgombea safi ndani ya CCM
Wakati muhula wa mwisho wa Rais Jakaya Kikwete ukiendelea kuyoyoma, tayari baadhi ya makada wa CCM wameshaanza kupasha misuli ya kumrithi.
9 years ago
Habarileo13 Sep
CCM ikiingia madarakani bodaboda kurasimishwa
ILANI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya awamu ya tano, imebainisha kuwa itarasimisha huduma za bodaboda na pikipiki za matairi matatu (bajaj), ili huduma hizo zitambulike kisheria.
10 years ago
Mwananchi13 Jan
Ukawa watamba ‘mseto’ kuing’oa CCM madarakani
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika amesema mchanganyiko wa viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) katika ngazi ya Serikali za Mitaa ni dalili tosha ya kuking’oa madarakani Chama cha Mapinduzi.
10 years ago
Mwananchi17 Dec
Mwambulukutu: CCM itakaa madarakani miaka mingine 50 ijayo
Je, Chama cha Mapinduzi, CCM, kilipoamua kuruhusu mfumo wa vyama vingi kilikuwa na wazo kwamba Chama kingine kinaweza kukiangusha?  Je sasa kinaweza kukubali kushindwa kwenye chaguzi zinazoendelea nchini?
11 years ago
Mwananchi25 Jun
UKWELI UTAKUWEKA HURU: Kwa ishara hizi umefika mwisho wa CCM kuwa madarakani
>Wahenga walisema, ‘kila kitu chenye mwanzo pia kina mwisho wake.’ Usemi huu una ukweli ndani yake ingawa katika baadhi ya nyakati unapuuzwa na watu hasa wenye upeo mdogo wa kufikiri au wale waliochanganyikiwa.
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-m0wIEoMH_u8/VgN7L38XRuI/AAAAAAAAEHM/R1yXW_vA5Rw/s72-c/IMG_0077.jpg)
Serikali ya CCM Yaahidi Kuweka Umeme Vijiji Vyote Tanzania Ndani ya Miaka Miwili Madarakani
![](http://3.bp.blogspot.com/-m0wIEoMH_u8/VgN7L38XRuI/AAAAAAAAEHM/R1yXW_vA5Rw/s640/IMG_0077.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-TnZStOx6i40/VgN7_LIt7AI/AAAAAAAAEHo/QP53ldCHiHU/s640/IMG_0126.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-xIto0wTqyME/VgN6e6Yb5II/AAAAAAAAEG0/tBZDFfmfhGg/s640/IMG_0046.jpg)
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/LIPUMBAS.jpg)
LIPUMBA SASA RASMI CCM
Richard Manyota na Oscar Ndauka SIKU chache baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Haruna Lipumba kujiuzulu wadhifa wake huo, sasa mwanasiasa huyo mtaalamu wa mambo ya uchumi ametajwa waziwazi kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), Uwazi Mizengwe ya Uchaguzi limedokezwa....Soma zaidi====>http://bit.ly/1UH6HT2
11 years ago
Mwananchi25 May
Lipumba adai JK alitishwa CCM
Ziara ya siku 12 ya viongozi wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) nje ya Bunge, imeibua mengi kuhusu Mchakato wa Mabadiliko ya Katiba unaendelea nchini.
10 years ago
TheCitizen10 Aug
Lipumba: I haven’t taken bribe from CCM
The former Civic United Front (CUF) national chairman, Prof Ibrahim Lipumba, said on Saturday that together with NCCR-Mageuzi presidential aspirant, Dr George Kahangwa, they agreed to let Dr Willibrod Slaa, be Ukawa presidential front man before the former premier, Edward Lowassa came into the picture.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania