Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyakazi, machinga waikana CCM

NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

CHAMA cha Wafanyakazi wa Sekta ya Uchukuzi na Mawasiliano (COTWU T), kimesema hakijaridhishwa na mchakato wa kuwapata wabunge wa viti maalum kupitia kundi la wafanyakazi kwa kuwa mchakato huo ulikuwa wa kificho hivyo hakitambui uteuzi huo.

Akizungumza Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa COTWU (T), Mathias Mjema alisema wao kama wanachama wameshangazwa na uteuzi wa wabunge  Angellah Kairuki (DSM) na Hawa Chakoma (Pwani) kwa kuwa hakukuwa na ushirikishwaji...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Machinga, bodaboda kuisulubu CCM

WAFANYABIASHARA ndogo ndogo ‘machinga’, mamantilie, waendesha pikipiki ‘Bodaboda’ na walemavu jijini Dar es Salaam, wameapa kutokipigia kura Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika chaguzi zijazo ukiwemo uchaguzi mkuu mwakani. Wakizungumza kwa...

 

9 years ago

Daily News

Soft loans for 'machinga' on CCM poll wish list


Soft loans for 'machinga' on CCM poll wish list
Daily News
SMALL traders in Dar es Salaam, street hawkers and food vendors, are set to benefit from low interest loans from selected banks in the city. CCM Union presidential running mate Ms Samia Suluhu Hassan said in Charambe when addressing a public rally in ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Machinga watakiwa kwenda Machinga Complex

WAFANYABIASHARA wadogowadogo ‘machinga’ walioondolewa  katika maeneo yasiyo rasmi jijini Dar es Salaam wametakiwa kwenda kufanyia biashara zao  katika jengo la Machinga Complex. Mwenyekiti wa Bodi ya Usimamizi ya Machinga Complex,...

 

11 years ago

Mtanzania

Kinana ataka CCM kuwa karibu na wafanyakazi

Abdulrahman Kinana

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana

NA DEBORA SANJA, DODOMA

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amesema chama hicho kinatakiwa kuwa karibu na wafanyakazi na kutetea masilahi yao.

Kinana alitoa kauli hiyo mjini hapa jana katika hafla ya kukabidhiwa kadi ya uanachama kutoka Chama cha Wafanyakazi wa Hifadhi, Hotelini, Majumbani, Huduma za Jamii na Ushauri (CHODAWU) iliyofanyika katika Ukumbi wa CCM Makao Makuu.

Alisema mara nyingi wafanyakazi wamekuwa wakijitetea...

 

11 years ago

Michuzi

DKT. BILAL AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA CCM NA WAFANYAKAZI WA KIWANDA CHA MGOLOLO (W) MUFINDI, IKULU DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Viongozi wa CCM Wilaya na Mufindi wlioongazana na baadhi ya Wafanyakazi wa Kiwanda cha Mgololo, wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo Mei7, 2014. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa CCM Wilaya ya Mufindi na baadhi ya wafanyakazi wa Kiwanda cha Mgololo, waliofika Ofosini kwake...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA CHUO CHA UTALII NCHINI WAUNDA BARAZA LA WAFANYAKAZI.


Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasiliamaliwatu(DHRN) wa Wizara ya Maliasili na Utalii,Said Msambachi akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Chuo cha Utalii Tanzania, uliofanyika katika Kampasi ya Temeke jijini Dar es Salaam leo kwa niaba ya Katibu mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Adelhe Meru.  Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utalii Kampasi ya Bustani,  Rosada Musoma akizungumza katika ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Chuo cha...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wafanyakazi wa wizara ya uchukuzi washerehekea vema siku ya wafanyakazi Duniani jijini Dar

DSC_0566

Sehemu ya wafanyakazi wa wizara ya Uchukuzi, wakiwa wamejipanga tayari kwa ajili ya kushiriki katika maandamano ya siku ya wafanyakazi Duniani yaliyofanyika Kitaifa Jijini Dar es Salaam, katika Uwanja Wa Taifa, jijini Dar es Salaam leo Asubuhi.

DSC_0576

Sehemu ya Wafanyakazi wa Wizara ya Uchukuzi, wakikimbia katika maandamano ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliyofanyika Kitaifa Jijini Dar es Salaam, katika Uwanja Wa Taifa,jijini Dar es Salaam leo Asubuhi.

DSC_0577

Wafanyakazi wa Wizara ya Uchukuzi wakitoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani