Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinana ataka CCM kuwa karibu na wafanyakazi

Abdulrahman Kinana

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana

NA DEBORA SANJA, DODOMA

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amesema chama hicho kinatakiwa kuwa karibu na wafanyakazi na kutetea masilahi yao.

Kinana alitoa kauli hiyo mjini hapa jana katika hafla ya kukabidhiwa kadi ya uanachama kutoka Chama cha Wafanyakazi wa Hifadhi, Hotelini, Majumbani, Huduma za Jamii na Ushauri (CHODAWU) iliyofanyika katika Ukumbi wa CCM Makao Makuu.

Alisema mara nyingi wafanyakazi wamekuwa wakijitetea...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mama Kikwete ataka jamii kuwa karibu na yatima

Mama Salma KikweteJAMII ina jukumu la kuwatetea, kuwalinda na kuwasemea watoto yatima ambao ni hazina ya Taifa.

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA ATAKA WAZAZI KUCHAGUA WATU WENYE SHUGHULI ZAO KUWA WAJUMBE WA KAMATI ZA SHULE


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakiwapungia mkono wakazi wa Bagamoyo wakati wakiwasili kwenye uwanja wa mkutano wa shule ya Msingi Jitegemee.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimpa mkono wa pongezi mshahiri maarufu wa CCM mkoa wa Pwani Ndugu Ali Pongwe baada ya kutoa ushairi mzuri kabla ya kuanza kwa mkutano.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kata ya Magomeni wilaya ya Bagamoyo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana atinga Masasi, ataka CCM iendelee kuibana serikali juu ya wafujaji wa fedha za umma

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki ufyatuaji matofali kwa kutumia mashine ya kujengea ofisi ya CCM Wilaya ya Masasi, wakati wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG).

 Kinana akilakiwa katika Kijiji cha Mwena-Ndanda alipoanza ziara katika Wilaya ya Masasi, mkoani...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AWATAKA WANANCHI KUWA MAKINI NA VIONGOZI WENYE UCHU WA MADARAKA.

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia  sehemu ya wakazi wa Nungwi na Wafuasi wa CCM katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Skuli,jimbo la Nungwi,wilaya ya Kaskazini A,mkoa wa Kaskazini Unguja.Kinana amewataka Wananchi hao kuwa makini na baadhi ya viongozi wenye tamaa ya madaraka kwa kuahidiwa mambo ambayo hayatekelezeki,pia amewataka Wananchi kujitokeza kwa wingi siku ikifika ya kupiga kura ya ndiyo kwa katiba inayopendekezwa,kwani imejaa mambo mengi na...

 

10 years ago

Habarileo

Wazazi waaswa kuwa karibu na watoto

WAZAZI na walezi nchini, wametakiwa kuwa karibu na watoto wao ili kuwapa malezi bora na kuwaepusha na makundi mabaya ya uhalifu.

 

10 years ago

GPL

JOKATE ATAJA SABABU ZA KUWA KARIBU NA WANAUME WENGI

Stori: Imelda Mtema
MWANAMITINDO na mtangazaji kiwango Bongo, Jokate Mwegelo amefunguka kuwa sababu kubwa inayomfanya awe karibu zaidi na wanaume ni marafiki zake wa kike kuwa nje ya nchi. Mwanamitindo na mtangazaji kiwango Bongo, Jokate Mwegelo. Akizungumza na mwanahabari wetu, Jokate alisema amekuwa akipata malalamiko kutoka kwa watu wengi kuwa kampani yake kubwa ni wanaume hadi wengine kumuona ni malaya wakati si kweli....

 

11 years ago

GPL

HATA KAMA YUKO MBALI, UNAWEZA KUWA KARIBU NAYE! - 3

TUNAENDELEA kujifunza mbinu za kumsogeza mwenzi wako karibu. Tumeshaona mengi katika matoleo yaliyopita. Rafiki zangu, wakati mwingine majukumu ya kikazi husababisha wenzi au wanandoa wakaa mbalimbali. Jambo hilo huwa changamoto kubwa sana kwa wengi, hushindwa kujua namna ya kuboresha uhusiano wao ili waweze kuendelea kuwa na uhusiano wenye nguvu. Katika matoleo yaliyopita tuliona jinsi mwanamke anavyoweza kufanya kwa mwanaume...

 

10 years ago

Bongo5

Mabeste: Nilisimama kufanya muziki ili kuwa karibu na mwanangu

Rapper Mabeste amedai kuwa ilimbidi asimame kufanya muziki kwa mwaka mmoja na zaidi ili kutenga muda wa kutosha wa kukaa nyumbani na mwanae wa kiume, Kendrick. Mabeste amesema kutenga muda huo ilikuwa ni muhimu kwake ili kumpa nafasi mwanae kumfahamu zaidi baba yake na pia kutumia muda huo kufanya shughuli zingine za kumuingizia kipato tofauti […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani