Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RPC Arusha aonya makundi yanayotaka kufanya vurugu

Kamanda wa Polisi mkoa Arusha, Liberatus Sabas amesema jeshi hilo limebaini vikundi vilivyojipanga kufanya vurugu na akavitaka kuacha kutekeleza mpango huo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

RPC aonya makundi yanayotaka kufanya vurugu Arusha

Kamanda Mkuu wa polisi mkoa Arusha, Liberatus Sabas amesema jeshi hilo limebaini uwepo wa vikundi vilivyojipanga kufanya vurugu na kuvionya kuacha mara moja.

 

10 years ago

Habarileo

Vijana wadai waliajiriwa kufanya vurugu Arusha

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless LemaZAIDI ya vijana 1,000 wanaodaiwa kuwa ni wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mjini hapa, wameandamana kupinga hatua ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema ambaye pia ni kiongozi wa chama hicho, kutaka kugombea tena uwakilishi wa jimbo hilo.

 

11 years ago

Mwananchi

Msajili wa vyama aonya vurugu za wafuasi wa Chadema na Zitto

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kujiepusha na vurugu na uvunjifu wa amani kinapotatua mgogoro wake na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wake, Zitto Kabwe.

 

11 years ago

Mwananchi

Makundi chanzo cha vurugu, mivutano Bunge la Katiba [VIDEO]

Uwepo wa makundi haya na kutambuliwa kwake na bunge kunachochea mgawanyiko na kujenga uhasama baina ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba.

 

9 years ago

Daily News

Armed forces battle for Arusha RPC cup


Armed forces battle for Arusha RPC cup
Daily News
THERE is more to the police than just pistols, guns and ammunition as members of the Arusha armed forces are currently taking part in the first RPC Cup soccer tournament organised by Regional Police Commander (RPC) Liberatus Sabas. The event is ...

 

10 years ago

Habarileo

Wassira ajitosa kuvunja makundi CCM Arusha

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu ), Stephen Wasira amesema yupo tayari kuvunja makundi ya kudumu, yanayoonekana kuwapo baina ya Mbunge wa zamani wa Jimbo Arusha Mjini kupitia CCM, Felix Mrema na Batilda Burian, aliyewahi kuwania ubunge katika jimbo hilo, lakini hakufanikiwa.

 

5 years ago

Michuzi

WANAOKAIDI KUVUNJA MAKUNDI CCM ARUSHA KUKIONA

Na Woinde Shizza, Arusha

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Zelote Stephen amewatumia salaam za onyo kali baadhi ya viongozi na wanachama wa Chama hicho mkoani Arusha ambao bado wameendelea kukaidi agizo lake alilolitoa mara tu baada ya kuchaguliwa kwenye nafasi hiyo la kuvunja makundi ndani ya saa 48.

Zelothe ametuma salam hiz0 wakati akifungua mkutano wa halmashauri kuu ya Chama cha mapinduzi wilaya ya Ngorongoro na kusema kuwa licha ya kuwa maelekezo yake yametekelezwa kwa asilimia kubwa...

 

10 years ago

Habarileo

Nyumba 12 zachomwa kwa tuhuma za kufanya vurugu

WAKAZI wa Kijiji cha Mingenyi, Kata ya Gehandu, wilayani Hanang’ mkoani Manyara, wamechoma nyumba 12 zinazoishi kaya 50 wakiwatuhumu kufanya vurugu wakati wa kurudiwa kwa uchaguzi wa Serikali za mitaa katika eneo hilo.

 

10 years ago

Habarileo

Mbunge akanusha kufanya vurugu kwenye ndege

MBUNGE wa Bunge la Afrika Mashariki Tanzania (EALA) Shy-Rose Bhanji amesema tuhuma dhidi yake zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii na magazeti mengine katika nchi wanachama wa jumuiya hiyo, zimelenga kuchafua sifa yake, sababu kubwa akisema ni chuki dhidi ya watu wasioipenda misimamo yake ndani ya bunge hilo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani