WANAOKAIDI KUVUNJA MAKUNDI CCM ARUSHA KUKIONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-QVHAj0g0Chs/XlafI80ZgUI/AAAAAAALfng/AERdfxhmzHY14e0USjM7D-9mOtsLSBdJQCLcBGAsYHQ/s72-c/maxresdefault-2.jpg)
Na Woinde Shizza, Arusha
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Zelote Stephen amewatumia salaam za onyo kali baadhi ya viongozi na wanachama wa Chama hicho mkoani Arusha ambao bado wameendelea kukaidi agizo lake alilolitoa mara tu baada ya kuchaguliwa kwenye nafasi hiyo la kuvunja makundi ndani ya saa 48.
Zelothe ametuma salam hiz0 wakati akifungua mkutano wa halmashauri kuu ya Chama cha mapinduzi wilaya ya Ngorongoro na kusema kuwa licha ya kuwa maelekezo yake yametekelezwa kwa asilimia kubwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo14 Nov
Wassira ajitosa kuvunja makundi CCM Arusha
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu ), Stephen Wasira amesema yupo tayari kuvunja makundi ya kudumu, yanayoonekana kuwapo baina ya Mbunge wa zamani wa Jimbo Arusha Mjini kupitia CCM, Felix Mrema na Batilda Burian, aliyewahi kuwania ubunge katika jimbo hilo, lakini hakufanikiwa.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-3tNWGRM2Mqg/Xkqf6fD1X6I/AAAAAAALdv0/u_-POg4KbAcwWpZipGU0FUAdfgVc-a92ACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200217_112050.jpg)
WANACHAMA WA CCM WATAKIWA KUVUNJA MAKUNDI
Wanachama Wa chama cha mapinduzi nchini wametakiwa kuondoa tofauti zao na kivunja makundi haswa katika kipindi hichi wanapoelekea katika uchaguzi Mkuu ili kukiwezesha chama hicho kupita kwa kishindo.
Hayo yamebainishwa na mjumbe wa kamati kuu CCM Taifa ambaye pia ni Mwenyekiti Wa jumuiya ya wazazi Edmund Mndolwa alipokuwa akiongea na viongozi Wa chama hicho mkoani Arusha Jana (Leo)kabla ya kuanza ziara ya siku tano ya kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa...
10 years ago
Habarileo06 Feb
CCM yahimizwa kuvunja makundi ndani ya chama
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma kimewataka wanachama wake kuvunja makundi na kuweka wazi kuwa makundi ndani ya chama yanatishia uhai wa chama kuliko vyama vya siasa vya upinzani.
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-oSAdf26Jffc/VdOojNhn9VI/AAAAAAAHyEY/OrRoJorUd3c/s72-c/blogger-image--1067664046.jpg)
MWAMOTO awaomba waliokuwa wagombea ubunge na udiwani Kilolo kuvunja makundi
![](http://1.bp.blogspot.com/-oSAdf26Jffc/VdOojNhn9VI/AAAAAAAHyEY/OrRoJorUd3c/s640/blogger-image--1067664046.jpg)
Na MatukiodaimaBlog, Kilolo
Mgombea mteule ubunge ccm jimbo la Kilolo Venance Mwamoto ametangaza msahama kwa wajumbe wa kamati ya siasa na wagombea udiwani ambao walikuwa upande wa mbunge wa zamani Prof Peter Msolla huku akiwataka kupenda ili kuwezesha jimbo hilo kupiga hatua ya kimaendeleo Mwamoto alisema kuwa hana kinyongo na...
10 years ago
Dewji Blog26 Feb
Polisi Arusha wakodishwa kuvunja mikono ya mdaiwa
Mkazi wa Loksale, Samweli Shani (47), akiwa amefungwa POP baada ya kuvunjwa mikono yake na polisi, kushoto ni ndugu yake Gabriel Shani akionyesha picha za X-ray alizopigwa zikionyesha jinsi mikono ilivyovunika.
Kamanda wa polisi mkoani Arusha, Liberatus Sabas, amekiri kupokea malalamiko ya mkazi mmoja wa Loksale wilaya ya Monduli, Samwel Petro Shani (47) ya kuvunjwa mikono yake miwili kutokana na kipigo cha askari Polisi wa kituo cha Leskale.
Hata hivyo amesema kwamba kwa sasa yupo likizo...
9 years ago
Mwananchi24 Oct
RPC aonya makundi yanayotaka kufanya vurugu Arusha
9 years ago
Mwananchi25 Oct
RPC Arusha aonya makundi yanayotaka kufanya vurugu
10 years ago
Mwananchi09 Jul
Butiku: Viongozi CCM magwiji wa kuvunja Katiba
10 years ago
Habarileo02 Jun
CCM yawaasa wanachama na makundi
KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro, Rojas Lomuli amewataka viongozi wa chama hicho kuepuka kujiingiza katika makundi ndani ya chama katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu.