Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWAMOTO awaomba waliokuwa wagombea ubunge na udiwani Kilolo kuvunja makundi

Mwamoto akionyesha fomu ya ubunge kulia kwake ni dada wa prof Peter Msolla Anna Msola na kutoka kulia ni msimamizi mkuu wa uchaguzi Rukia Mhango na Msaidizi wake 


Na MatukiodaimaBlog, Kilolo


Mgombea mteule ubunge ccm jimbo la Kilolo Venance Mwamoto ametangaza msahama kwa wajumbe wa kamati ya siasa na wagombea udiwani ambao walikuwa upande wa mbunge wa zamani Prof Peter Msolla huku akiwataka kupenda ili kuwezesha jimbo hilo kupiga hatua ya kimaendeleo  Mwamoto alisema kuwa hana kinyongo na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

CCM yatambulisha wagombea udiwani, ubunge

Chama cha Mapinduzi (CCM), kimewatambulisha wagombea udiwani na ubunge katika Manispaa ya Bukoba, huku aliyekuwa meya wa manispaa hiyo, Dk Anatory Amani akiachwa.

 

10 years ago

Vijimambo

FOMU ZA WAGOMBEA URAIS ,UBUNGE PAMOJA NA UDIWANI KESHO

 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),Jaji Mstaafu,Damian Lubuva (katikati) akizungumza na waandishi habari juu juu ya maendeleo mbalimbali katika kuelekea uchaguzi mkuu uliofanyika leo Makao Makuu ya NEC jijini Dar es Salaam,Kulia Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Kamishina Suleiman Kova na Kushoto ni Mkuu wa Idara ya Uendeshaji Uchaguzi,Clothilde Komba. Kamanda wa polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam,Kamishina Suleiman Kova akizungumza na waandishi habari juu...

 

10 years ago

Vijimambo

WANAWAKE WAGOMBEA WAWEKA MIKAKATI YA KUSHINDA UDIWANI NA UBUNGE 2015

Mgeni rasmi wa katika Kongamano hilo Mhe. Getrude Mongella(kushoto) akiwa na baadhi ya wabunge wanawake wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania wakiimba nyimbo mbalimbali
Kwa Mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, Idadi ya Watanzania sasa imefikia milioni 44.9 huku wanawake wakiwa ni asilimia 51.3 ilihali wanaume ni asilimia 48.7. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 inabainisha kuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni ya kidemokrasia, ya kidunia ambayo...

 

10 years ago

Michuzi

FOMU ZA WAGOMBEA URAIS ,UBUNGE PAMOJA NA UDIWANI KESHO-LUBUVA

 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),Jaji Mstaafu,Damian Lubuva (katikati) akizungumza na waandishi habari juu juu ya maendeleo mbalimbali katika kuelekea uchaguzi mkuu uliofanyika leo Makao Makuu ya NEC jijini Dar es Salaam,Kulia Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Kamishina Suleiman Kova na Kushoto ni Mkuu wa Idara ya Uendeshaji Uchaguzi,Clothilde Komba. Kamanda wa polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam,Kamishina Suleiman Kova akizungumza na waandishi habari juu...

 

9 years ago

Dewji Blog

Felix Mabula akataliwa na wagombea Ubunge na Udiwani wa Chadema jimbo la Hanan’g

DSC06033

Mgombea Ubunge Jimbo la Hanang Derick Magoma akizungumza na waandishi wa Habari (hawapo pichani) juu ya kutokua na imani na Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo hilo ambaye ni Mkurugenzi wa Wilaya ya Hanang Felix Mabula madai ambayo wamewasilisha kwa tume ya uchaguzi iteue Msimamizi ili kufanikisha uchaguzi huru na wa haki.Kushoto ni Mwenyekiti wa Chadema Hanan`g  Isack Joseph  na kulia ni Mgombea udiwani kata ya Endasiwold John Farayo. (Habari picha na Woinde Shizza).

Wagombea wa Nafasi za...

 

5 years ago

Michuzi

HATUTAKI KUTUMIA NGUVU NYINGI KUWANADI WAGOMBEA NAFASI YA UBUNGE NA UDIWANI-CCM LUDEWA

Chama cha mapinduzi wilayani Ludewa Mkoani Njombe kimesema hakitaki kutumia nguvu nyingi kuwanadi wagombea  wa nafasi ya Ubunge na udiwani, hivyo wagombea hao wanapaswa kuhakikisha wanakubalika katika jamii.

Hayo aliyasema katibu wa chama hicho wilaya Bakari Mfaume katika mkutano wa kamati kuu ya chama hicho uliolenga kujadili utaratibu na mchakato mzima wa uchukuaji fomu za kugombea nafasi hizo.

Alisema kuwa kwa sasa hawataki kukata viuno majukwaani na kuongea sana ili kumfanya akubalike...

 

9 years ago

Michuzi

mama salma kikwete anadi wagombea ubunge na udiwani kata ya ubungo jijini dar es salaam

 Jijini Dar es Salaam wakati wa Kampeni ya kumnadi Mjumbe wa NEC –CCM Lindi Mjini ,Mama Salma Kikwete,akizungumza na wakazi wa Kata ya Makurumla Magomeni mgombea wa Ubunge Jimbo la Ubungo,Didas Masaburi na Diwani wa kata hiyo Rajabu Hassani  Mjumbe wa NEC –CCM Lindi Mjini ,Mama Salma Kikwete,akizungumza na kuonesha Irani ya uchaguzi wakazi wa Kata ya Makurumla Magomeni Jijini Dar es Salaam wakati wa Kampeni ya kumnadi mgombea wa Ubunge Jimbo la Ubungo,Didas Masaburi na Diwani wa kata hiyo...

 

9 years ago

Vijimambo

WAGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI USO KWA USO NA WAPIGA KURA WAO MUFINDI , WAULIZWA MASWALI MAZITO JUU YA AJENDA YA WATOTO


       Ndg Patrick Lalika, akiuliza Swali kuhusu Mazingira hatarishi kwa Watoto katika mdahalo uliofanyika katika Shule ya Msingi Igowole wilayani Mufindi, ambao ulishirikisha wanafunzi kutoka Shule za Msingi Igowole, Ibatu na Kisalasi, pamoja na walimu, wazazi na walezi ambao waliwahoji wagombea wa Ubunge
Mwalimu  Nico Mgala, Akiuliza swali kuhusu mrundikano wa wanafunzi madarasani katika .mdahalo uliofanyika katika Shule ya Msingi Igowole wilayani Mufindi, ambao ulishirikisha wanafunzi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wagombea ubunge na udiwani uso kwa uso na wapiga kura wao Mufindi, waulizwa maswali mazito juu ya ajenda ya watoto

   Ndg Patrick Lalika, akiuliza Swali kuhusu Mazingira hatarishi kwa Watoto katika mdahalo uliofanyika katika Shule ya Msingi Igowole wilayani Mufindi, ambao ulishirikisha wanafunzi kutoka Shule za Msingi Igowole, Ibatu na Kisalasi, pamoja na walimu, wazazi na walezi ambao waliwahoji wagombea wa Ubunge Mwalimu Nico Mgala, akiuliza swali kuhusu mrundikano wa wanafunzi madarasani katika .mdahalo uliofanyika katika Shule ya Msingi Igowole wilayani Mufindi, ambao ulishirikisha wanafunzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani