Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vijana wazua vurugu Mbeya

DSC00217Na Pendo Fundisha, Mbeya
KUNDI la vijana linalosadikiwa kuwa ni vibaka limeibuka na kufanya vurugu zilizoambatana na uvunjifu wa amani katika eneo la Soweto na Mwanjelwa jijini hapa.
Kutokana na hali hiyo, Polisi mkoani Mbeya walilazimika kutumia nguvu ya ziada kuwatawanya vijana hao ambao tayari walianza kuweka matairi, mawe na magogo kwenye barabara kuu ya Dar es Salaam-Zambia katika eneo la Mwanjelwa.
Kabla ya vurugu hizo baadhi ya wafanyabiashara ambao walikuwa kwenye mgomo wa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Mashabiki wa Algeria wazua vurugu

Mashabiki wa Algeria wazua vurugu Ufaransa na kupora baada ya ushabiki kutibuka

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wapigadebe wazua vurugu Mnazi Mmoja

BAADHI ya wapigadebe wa kituo cha daladala Mnazi Mmoja, Dar es Salaam jana walizua vurugu baada ya kuwapangia abiria utaratibu wa kuingia kwenye daladala. Wakizungumza na Tanzania Daima jijini Dar...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kenya: Wajumbe wa ODM wazua vurugu

Vurugu zimezuka katika uchaguzi wa chama kikuu cha upinzani cha ODM nchini Kenya kufuatia madai ya udanganyifu katika uchaguzi.

 

10 years ago

GPL

WAANDAMANAJI WAZUA VURUGU MJINI MISSOURI, MAREKANI

Waandamanji wakifurahia jambo baada ya kuchoma maduka wakati wa vurugu hizo. Polisi wakiwa eneo la tukio kutuliza ghasia zilizotokana na waandamanaji.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Mswada tata wazua vurugu bungeni Kenya

Wabunge wa Kenya wametofautiana pakubwa bungeni kufuatia mjadala mkali kuhusu mswaada tatanishi wa usalama kiasi cha kulazimisha bunge kusitisha kikao kwa muda

 

10 years ago

Mwananchi

Samaki wazua hofu, taharuki Mbeya

Hofu imetanda kwa wakazi wa Mbeya na mikoa ya jirani baada ya kuzagaa kwa samaki wanaodaiwa kufa kwa sumu iliyotoka migodi ya nchi jirani ya Malawi kutokana na maji yake kutiririka kuelekea Ziwa Nyasa.

 

10 years ago

Michuzi

MADEREVA WA BODABODA NA BAJAJI JIJINI MBEYA WAZUA TAFRAN MCHANA WA LEO

 Madereva wa bajaji jijini Mbeya, Mapema wameandamana kuanzia eneo la Mafiati kuelekea Mwanjelwa huku wakichoma moto mataili ya gari kwenye baarabara kuu Tunduma katika makutano ya eneo hilo, kwa madai ya kwamba wanahitaji wapewe ruhusa ya kutembea na kuruhusiwa kupita barabara kuu na kupunguziwa mapato ya ushuru wa bajaji hizo, hali ya usalama ilitetereka kidogo mjini hapa, hadi pale  jeshi la polisi lilipofika  kutuliza gasia kwa kupiga mabomu ya machozi kukabili hali hiyo.picha zote...

 

10 years ago

Vijimambo

KONGAMANO LA VIJANA MKOANI MBEYA WAKATI WA KUAZIMISHA SIKU YA VIJANA DUNIANI



 Mgeni Rasmi ambaye ni Afisa Vijana Halmashauri jiji la Mbeya  Onah Temu akitoa hotuba katika siku ya Vijana Duniani ambayo kwa Mkoa wa Mbeya ilifanyikia Ukumbi wa Chuo kikuu Cha Mzumbe Kampasi ya Mbeya. Maandamano kuelekea katika Ukumbi ambapo vijana wanakutana kwa ajili ya Sherehe yao. Mratibu wa Mradi wa Restless Fadhiri Mtanga akitoa mada kuhusu Maendeleo ya Vijana  Wakili Stephen John akiwashauri vijana kuto tumika na wanasiasa Muwezeshaji wa Sherehe hiyo ya Vijana  Mwadawa Mbando...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kongamano la Vijana mkoani Mbeya wakati wa kuadhimisha siku ya vijana duniani

Mgeni rasmi ambaye ni Afisa Vijana Halmashauri jiji la Mbeya  Onah Temu akitoa hotuba katika siku ya Vijana Duniani ambayo kwa Mkoa wa Mbeya ilifanyikia Ukumbi wa Chuo kikuu Cha Mzumbe Kampasi ya Mbeya.

IMG_3165

Vijana wakisikiliza kwa makini watoa mada kaika sherehe hiyo iliyofanyika ukumbi wa Mzumbe Mbeya.

Mratibu wa Mradi wa Restless Fadhiri Mtanga akitoa mada kuhusu Maendeleo ya Vijana.

Wakili Stephen John akiwashauri vijana kuto tumika na wanasiasa.

Muwezeshaji wa Sherehe hiyo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani