Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashabiki wa Algeria wazua vurugu

Mashabiki wa Algeria wazua vurugu Ufaransa na kupora baada ya ushabiki kutibuka

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Vijana wazua vurugu Mbeya

DSC00217Na Pendo Fundisha, Mbeya
KUNDI la vijana linalosadikiwa kuwa ni vibaka limeibuka na kufanya vurugu zilizoambatana na uvunjifu wa amani katika eneo la Soweto na Mwanjelwa jijini hapa.
Kutokana na hali hiyo, Polisi mkoani Mbeya walilazimika kutumia nguvu ya ziada kuwatawanya vijana hao ambao tayari walianza kuweka matairi, mawe na magogo kwenye barabara kuu ya Dar es Salaam-Zambia katika eneo la Mwanjelwa.
Kabla ya vurugu hizo baadhi ya wafanyabiashara ambao walikuwa kwenye mgomo wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wapigadebe wazua vurugu Mnazi Mmoja

BAADHI ya wapigadebe wa kituo cha daladala Mnazi Mmoja, Dar es Salaam jana walizua vurugu baada ya kuwapangia abiria utaratibu wa kuingia kwenye daladala. Wakizungumza na Tanzania Daima jijini Dar...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kenya: Wajumbe wa ODM wazua vurugu

Vurugu zimezuka katika uchaguzi wa chama kikuu cha upinzani cha ODM nchini Kenya kufuatia madai ya udanganyifu katika uchaguzi.

 

10 years ago

GPL

WAANDAMANAJI WAZUA VURUGU MJINI MISSOURI, MAREKANI

Waandamanji wakifurahia jambo baada ya kuchoma maduka wakati wa vurugu hizo. Polisi wakiwa eneo la tukio kutuliza ghasia zilizotokana na waandamanaji.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Mswada tata wazua vurugu bungeni Kenya

Wabunge wa Kenya wametofautiana pakubwa bungeni kufuatia mjadala mkali kuhusu mswaada tatanishi wa usalama kiasi cha kulazimisha bunge kusitisha kikao kwa muda

 

11 years ago

GPL

Mashabiki Yanga wazua balaa Boko

Ibrahimu Mussa BAADHI ya mashabiki wa Yanga wamelalamikia kitendo cha uongozi wa klabu hiyo kutumia kiasi kikubwa kulipia uwanja ambao wanafanyia mazoezi klabu hiyo ya Boko Veterani kwa ajili ya kujiandaa na mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly, kwa madai kuwa wana uwezo wa kujenga wa kwao. Mashabiki hao walikuwa wakifuatilia mazoezi hayo na kushuhudia namna uwanja huo ulivyo na ‘pichi’ nzuri, hali...

 

10 years ago

GPL

TAMASHA LA FIESTA 2014: DAVIDO, ALI KIBA, DIAMOND NA T.1 WAZUA GUMZO KWA MASHABIKI

Tamasha la Serengeti Fiesta 2014, usiku wa kuamkia leo lilifunga mitaa ya Jiji la Dar na viunga vyake ambapo burudani ya kufa mtu ilidondoshwa kwenye Viwanja vya Leaders, Kinondoni jijini Dar.

 

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA FIESTA LAFANA,DAVIDO,ALI KIBA,DIAMOND WAZUA GUMZO KWA MASHABIKI,T.I AWAKUNA WABONGO

Mmoja wa askari waliokuwa wamepangwa katika suala zima la kusimamia usalama ndani ya tamasha la Fiesta 2014 akihakikisha usalama wa kutosha unakuwepo katika eneo hilo,na watazamaji wanapata burudani iliyokusudiwa kutoka kwa wasanii mbalimbali waliotumbuiza usiku wa kuamkia leo katika tamasha la Fiesta 2014 lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika viwanja vya Lidaz Kinondoni jijini Dar.Shaa na madansa wake wakilishambulia jukwaa. 
Pichani kulia ni Msanii kutoka nchini Nigeria ajulikanae...

 

10 years ago

GPL

MASHABIKI WAMUUA MCHEZAJI ALGERIA

MCHEZAJI kutoka Cameroon amekufa baada ya kupigwa kichwani wakati mashabiki waliokereka waliporusha mawe mwisho wa mechi ya Ligi ya Algeria. Albert Ebosse enzi za uhai wake. Albert Ebosse, aliyekuwa na umri wa miaka 24, ndiye aliyefunga mabao mengi katika Ligi ya Algeria msimu uliopita.
Alirushiwa kitu wakati mashabiki walipokerwa kuwa timu yake, JS Kabylie, iliposhindwa kwa mabao 2-1 katika mechi iliyochezwa nyumbani, Tizi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani